PostGE2025 Pendekezo Rahisi: Maneno 3 akiyasema Samia kesho yatazuia Maandamano yasiyo na Ukomo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Gwajima mwenyewe MWIZI. na ningefurahi sana kama kweli ANGEIBIWA na KUFILISIWA KABISA.
Wewe wapi umeshakusikia msukuma mmoja mwenye mtaji wa spika na mic akapata za kuibiwa zenye thamani ya BILIONI 2?

Acheni kutetea MWIZI. na MNAFIKI.
Yule jamaa ni MNAFIKI NA ADUI KABISA.
Hana ukweli hata kidogo.
Siku za nyuma alikuwa namba moja kupigia promo CCM. Leo kibao kimegeuka kawa adui yao
Hao wote CCM, CHADEMA sio Nani WOTE WEZI MAJAMBAZI wanaotaka kuimaliza hii nchi.
Na wajinga km wewe mnatokwa mapovu meengi as if lissu Ndio mkombozi wa taifa hili la waungwana

Lissu siku akiongoza nchi hii haitofika mwezi tutachinjana humu fasta sana.
Yule ni kibaraka wa wazungu.
Chadema chama cha mafisadi kama CCM.
No different whatsoever.
 
Mapendekezo haya ndugu Mzee Mwanakijiji ni rahisi, mepesi na yanawezekana kwa binadamu halisi pekee, wenye nafsi za unyenyekevu na mioyo iliyopondeka, sio kwa hawa hayawani chini ya huyu bibi!

Kwa sbb ishara zote wameshaonesha kuwa, matukio ya kuchinja maelfu ya roho za watu ile 29/10 na kuendelea siku nne au tano, yalipangwa muda mrefu si kwa bahati mbaya au ajali tu, bali kwa kudhamiria kabisa. Ushahidi ni mtiririko wa matendo yao tangu wakati huo hadi sasa kujaribu kufunika ushahidi

Ni watu ambao hawajutii chochote kwa dhamira zao. Hawa wanasubiri kujutishwa na tutawalazimisha wajute kwa uchungu mkali na machozi

Tuelewe tu kuwa, huyu Samia na genge lake la kihuni, wameshaandikiwa kufa kwa sababu ya jeuri, kiburi cha madaraka na utajiri wa fedha na mali za wizi kutoka ktk rasrimali asili zetu walizoiba wakishirikiana na mabeberu ya kiarabu wa Oman na Dubai!!

Kuthibitisha hiki ninachokiandika hapa, kesho jiandae kupigwa na mshangao wa mwaka kwa fyongo na mipasho utakayosikia

Mungu Yehova bado anampenda sana huyu bibi na ndiyo maana anaendelea kumpa fursa ya kutengeneza mambo yake.

Akii - waste tena, hatakuwa na wa kumlaumu kwa hukumu ya ghadhabu ya Mungu atakayokutana nayo muda mchache tu mbele yetu

I rest my case
 
Hilo suala la watu wengi waliokufa wameuawa majumba sio kweli hata kidogo na wewe unajua sio kweli lkn una lengo lako la kusema huu UONGO NA Laana ya uongo haipiti bure.
Itakurudia tu.

Kwenye suala la kutekwa mimi siwezi kusema ni kweli au la. JF sio chombo cha kuaminika kwa asilimia 100. Kila mtu analeta yake humu.
Na kuhusu suala la jeshi la kmkm pia sina uhakika hata asilimia 1% kuwa ni la kweli. Wakati wa maandamo nilikuwa mimi na wenzagu zaidi ya 15 tunaona askari wengi sana maeneo yetu na hakuna hata mmoja aliyekuwa ana sura za kizanzibari. Hayo madai yanahitaji uchunguzi.

Tumemsikia Dr Slaa akisema CHADEMA walikuwa wanatekana wao kwa wao. Nani mkweli au nani muongo hayo anajua Mungu peke yake na hao walidaiwa kutekwa.

Hapa tuongelee UHALISIA.
JE hao so called waandamaji HAWAKUWA MAJAMBAZI WEZI WAUWAJI?
 
Mzee Mwanakijiji Kuna mahala kasema "The bucks stops with the president" nikamkumbuka Rais wa marekani enzi hizo Harry Truman,alikua na kibao ofisini kwake kimeandikwa "The bucks stops here"

Kuonesha uwajibikaji,.Alianzisha uchunguzi huru juu ya scandal ya rushwa na ufisadi ambayo ilikua inahusisha vigogo wa serikali yake..

As you said decision za namna hii hasa likija suala la accountability kwa mtu mweusi,ni jambo lisilowezekana...
 
I rate this post 2 out of 10

Atleast bc ungesema aachie madaraka ndipo D9 hatuandamani.


Bila ya manyonyo kufa siwezi kuelewa chochote kile.
Upo sahihi dogo, yote alozungumza mleta mada ni bure kabisa. Hoja nyepesi sana sana hizo.
 
Hata manabii wa uongo wanatumia mistari hiyo hiyo kupotosha

So sishangai kibaraka ya serikali ya waongo kutumia mistari kupotosha

Ni vizuri umetambua kuwa umeongea upumbavu
NABII WA UONGO KAMA GWAJIMA .
Pumbavu zake.na wote wanaomkubali hawana akili.

We mtoto mimi hunijui.
Hakuna siku hata moja nimetetea serikali ya CCM ila tatizo unajitoa ufaham.
Uliza wanaonijua

Hapa tunasema tena

Yyt atakaeandama na kuchoma miundo minutes ya nchi yetu RISASI NI HALALI KWAKE.
FULL STOP
Hamuwezi kuturudisha nyuma miaka 100 kwa tamaa zenu za kipumbavu.
Yaani akili yenu Lissu akiwa RAIS basi wooote mtakuwa mamilionare kwa wiki moja tu.

Acheni bange.
 
Unampangia rais cha kusema!?..kishakua rais halali leo!?.. wajinga sana nyinyi
 
Anachoongea mnyiramba mwenzagu mwigulu ndio msimamo wa Samia

Usitegemee chochote kutoka Kwa rais haramu
 
CCM walivyo waroho wa madaraka kufanya hivyo labda uwaue
 
Hahahaha...aisee nimecheka mpaka nimepaliwa hapa eti kuna Mchungaji wa kisukuma wa kuweka mali....🤣🤣🤣🥰
 
wameuawa majumba sio kweli hata kidogo na wewe unajua sio kweli lkn una lengo lako la kusema huu UONGO NA Laana ya uongo haipiti bure.
Itakurudia tu.
Hilo la laana itakumaliza wewe na vizazi vyako maana wewe ndiye muongo na unafanya kazi ya kishetani ya kutetea wauaji.

Ipo mifano mingi sana ya uhakika ila siwezi kuorodhesha yote hapa.

Nikuulize, hukusikia kuhusu wale vijana 17 waliouawa wakiwa ndani ya nyumba wanaangalia mpira?

Na je, hukusikia kuhusu wale watoto 7 wa Academy ya michezo waliouawa wakiwa ndani, baadhi wakiwa na umri chini ya miaka 10?

Mauaji ya wasio na hatia yalikuwa mengi mno

 
Mnaitetea CCM na serikali zake ila kutwa mmejaa kwenye platform mliyoifungia wenyewe. Bila VPN hamuwezi kutapika huu uharo.
 
Ila Chadema..... siku hizi wanamuita ndugu Samia sio Rais Samia 😄
 
Well said mkuu fingers crossed alisome na kulifanyia kazi bandiko lako...
 
Mnaitetea CCM na serikali zake ila kutwa mmejaa kwenye platform mliyoifungia wenyewe. Bila VPN hamuwezi kutapika huu uharo.
Anaetetea Ccm babu yako.
Mimi sio mwana siasa.
Usipende kudandia mwendokasi kwa mbele
Utamwagwa kinyesi
 
Again And again you keep on repeating garbage.
Wewe hizi habari unachota JF kisha unataka wote tule.
Acha kupenda kudakia story kisha ulazimishe watu wote wazikubali.
Bora kukaa kimya.
 
Hauna lolote. Mpumbavu mmoja wewe.
Teh teh teh .
Hii ndio shida ya kujadili na watoto ambao bado wananuka maziwa.
Sasa hoja zimeisha. Yamebaki mapovu .
Haya kakojoe ulale .
 
Hii nchi kuna hawa wajinga ambao walizoea kuona serikali ina viongozi wenye majina kama yao, miaka nenda rudi wakati wa nyerere na kuendelea na hakuna mendeleo yoyote walioleta kwa wananchi zaidi ya wizi
Sasa wanaumia sana kuona majina ya waliokuwa wanawaita vilaza, ndio maana tuona TEC wameshika bango

Kama maandamano yalikuwa ya amani kwa nini watu wameibiwa na kuchomewa mali zao, na miundo mbinu kuharibiwa?
Sina huruma kwa waliouwawa kwa kukutwa kwenye uharibifu wa mali za watu au miundo mbinu.....
 
1.Akubali kwamba hakuchaguliwa

2. Akubali kujiuzuluu.

3. Akubali kwamba hakukuwa na uchaguzii ,na serikali yake ilihusika kuuwa waandamanaji wasio na hatia naom e radhi na awake miili yao .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…