Pendekezo: Wakili wa Kimataifa, Robert Amsterdam apewe nishani ya kupigania haki, uhuru na utu wa mtu mweusi

Yani bora hata apewe maalim seif yule wa zanzibar
 
Robert kiboko ya madikteta naona wakuu wa dunia wamepanga kuyafurusha madikteta ili kumkomboa mwafrika asiuwawe
 
"he can guarantee nothing" sasa si atulie tu,ni kanafanya mambo kaonekane na kenyewe kamefanya

hakafanyi kwa lengo la kuhakikisha anapata anachoamini ni haki yake ila anafanya nayeye aonekane kafanya

huyu nae ni mtu wa kumuweka kwenye list,mpenda sifa mpenda kuonekana hebu acheni kumpaisha for nothing.
 
Ivi Unamaanisha Unachoandoka We Jombaa?? Umekula nini Wakati unaandika Shubamit ivi huyu Anaetetea Watu Wenye Anatarget wakiwa Ma prezooo wamlipe unasema ako credible
 
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.

Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.

Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:

"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"

Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.

Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.

Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.

Haha Dr Bill huyu Salary Slip atakua kwenye lile kundi la wanaume wendawazimu kwa mujibu wa post ya GENTAMYCINE tumshauri afate ushauri ANATAKIWA KULIA SANA ili aweze kupona

What a stupid idea! Waafrika gani hao, kina salary slip? Kweli kuna watu Afrika, sasa huyu sijui huko shuleni alikwenda kufanya nini.
Wananchi tutaachana na wazungu kina Bob Amsterdam pale tu CCM nayo itakapovunja ndoa yao na polisi.

Trade off.

Salary Slip
 
Haha Dr Bill huyu Salary Slip atakua kwenye lile kundi la wanaume wendawazimu kwa mujibu wa post ya GENTAMYCINE tumshauri afate ushauri ANATAKIWA KULIA SANA ili aweze kupona

@ mama D ninecheka sana Kuna Watu humu hawawizi kwa kutumia Mbogo😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣kakarupuka kama Ushuzi Eti Apewe Tuzoo Tuzo gani Ya USHOGA au
 
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.

Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.

Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:

"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"

Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.

Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.

Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Rubbish
 
Back
Top Bottom