Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwa waliyemdanganya awape Euro Mil 27 kwa sababu wana corona alafu wakazila???[emoji23][emoji23]
Taka kabisa
Kigogo ni nani, na anahusika vipi na tunachokiongea hapa?kigogo kawasaliti saaahv anatukana mmmoja mmoja wa chadema
Yesu ni mzungu?
Mkuu hivi kumbe una akili ndogo hivi?
Hivi kumbe we fala kiasi hiki. Nlikuwanakurank pakubwa sana.
Kuna waafeika wachache wajinga sio kidogo wanaamini kabisa wazungu wanahanaika wa ajili ya mtu mweusi. Never leo salary slip nataka nikusaidie hautawaza kizembe hivo tenaView attachment 1631013
Jamaniii nani kaniharibu😀😀😀We umaharibiwa sana hapo nyuma hukuwa ivyo.
Rubbish of the HIGHEST DEGREE😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣 YANI WAFUASI WA CHADEMA VICHWA VYAO HOVYO KABISArubbish!
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.
Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:
"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"
Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.
Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.
Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Ivi Unamaanisha Unachoandoka We Jombaa?? Umekula nini Wakati unaandika Shubamit ivi huyu Anaetetea Watu Wenye Anatarget wakiwa Ma prezooo wamlipe unasema ako credible
Wananchi tutaachana na wazungu kina Bob Amsterdam pale tu CCM nayo itakapovunja ndoa yao na polisi.What a stupid idea! Waafrika gani hao, kina salary slip? Kweli kuna watu Afrika, sasa huyu sijui huko shuleni alikwenda kufanya nini.
@ mama D ninecheka sana Kuna Watu humu hawawizi kwa kutumia Mbogo😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣kakarupuka kama Ushuzi Eti Apewe Tuzoo Tuzo gani Ya USHOGA auHaha Dr Bill huyu Salary Slip atakua kwenye lile kundi la wanaume wendawazimu kwa mujibu wa post ya GENTAMYCINE tumshauri afate ushauri ANATAKIWA KULIA SANA ili aweze kupona
Mtaalam wa Saikolojia: Mwanaume asipolia tena kwa kutoa kabisa Machozi mara Nne kwa Mwezi ajue anaukaribisha Uwendawazimu
"Kiuumbaji na hata Kisaikolojia tu Mwanaume ni Mtu ambaye anakuwa amebeba mambo mengi Kichwani na Akilini mwake tena mazito mazito na makubwa makubwa kuliko Mwanamke. Hivyo basi moja ya Tiba ya haraka ili kumuepusha akae vyema Kifikra na Kuhimili mambo anatakiwa ajitahidi kila Wiki awe analia...www.jamiiforums.com
RubbishHuyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.
Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:
"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"
Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.
Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.
Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Basis endeleeeni Kupumulia na wazunguu mpka akili zikae sawaWananchi tutaachana na wazungu kina Bob Amsterdam pale tu CCM nayo itakapovunja ndoa yao na polisi.
Trade off.
Salary Slip
Alienda kunywa uji tuWhat a stupid idea! Waafrika gani hao, kina salary slip? Kweli kuna watu Afrika, sasa huyu sijui huko shuleni alikwenda kufanya nini.