Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.

Nitaleta update zaidi.

Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!

UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah
Fundi ujenzi kafanya yake
 
Umasikini ndio unafanya watu kupenda sana hadi kuua mwanamke. Unaweza kuzifuma pesa ukawekeza kwa mwanamke ila kwa vile umasikini uko kwenye damu yako ndio hayo unaweza kufanya kwa kupata msongo wa mawazo. Ndio maana masikini uwa wakipata papuchi wanaichuchumia hadi bao 3 hivi. Tajiri hawana muda huo ukiwasaliti wanaanza kwingine na ka goli kao uwa kamoja tu. Matajiri uwa hata hawachukii wanawake wanaowasaliti maana wanajua hio papuchi ni yao wakiitaka tu.
Wasukuma wanapenda kizembe sana
 
Attachments

  • IMG-20240523-WA0013.jpg
    IMG-20240523-WA0013.jpg
    69.8 KB · Views: 3
  • IMG-20240523-WA0014.jpg
    IMG-20240523-WA0014.jpg
    39.6 KB · Views: 2
  • IMG-20240523-WA0015.jpg
    IMG-20240523-WA0015.jpg
    103 KB · Views: 5
  • IMG-20240523-WA0016.jpg
    IMG-20240523-WA0016.jpg
    90.3 KB · Views: 2
Kwanza kabisa hiyo sababu yako haina sourcing wala statistical evidence.

Umeitoa tu kama opinion yako.

Ndiyo maana nimekunukuuu wewe.

Mpaka sasa hujaweza kuitetea.
Evidence ipo, wanaume wengi wanahudumia wanawake na ndio sababu inawafanya waumie zaidi wakiachwa au kusalitiwa

Mtu anakumbuka huduma, pesa alizowekeza kwa mwanamke maumivu yanawazidia

Inahitaji mtu mwenye moyo mgumu kuweza kukabili hizo hisia za uchungu
Wenye moyo mdogo ndio hawa wanaotoa uhai wa wenzao.
 
Sasa nikikunukuu wewe uliyeleta hiyo habari hapa na kusema hao wanaume waache huo ujinga kwa nini wewe unaona kama nakuambia hivyo wewe?

Wewe ni mmoja wao?
 
Wanawake wengi wazuri wanajeuri na wanaona wanaume wote hatuna akili mbele zao hivyo wanaweza kufanya lolote wanavyojiskia. Unakuta mmepangwa hata 10 mnahudumia sasa hapo kosa dogo tu linaleta maafa . Wanaume wenzangu kuweni kama mimi kuwa na fedha ila usitumie fedha kumhonga mwanamke ukishakuwa na hela utapewa bure mafundi ujenzi boda boda ndio watamhonga
 
Sasa nikikunukuu wewe uliyeleta hiyo habari hapa na kusema hao wanaume waache huo ujinga kwa nini wewe unaona kama nakuambia hivyo wewe?

Wewe ni mmoja wao?
Rudi mpaka kwenye ujumbe wako ulioniquote umeniambia mimi direct

Nisingekua na shida kama ungequote bila kunishutumu direct
 
Back
Top Bottom