Fundi ujenzi kafanya yake
 
Wasukuma wanapenda kizembe sana
 
Kwanza kabisa hiyo sababu yako haina sourcing wala statistical evidence.

Umeitoa tu kama opinion yako.

Ndiyo maana nimekunukuuu wewe.

Mpaka sasa hujaweza kuitetea.
Evidence ipo, wanaume wengi wanahudumia wanawake na ndio sababu inawafanya waumie zaidi wakiachwa au kusalitiwa

Mtu anakumbuka huduma, pesa alizowekeza kwa mwanamke maumivu yanawazidia

Inahitaji mtu mwenye moyo mgumu kuweza kukabili hizo hisia za uchungu
Wenye moyo mdogo ndio hawa wanaotoa uhai wa wenzao.
 
Sasa nikikunukuu wewe uliyeleta hiyo habari hapa na kusema hao wanaume waache huo ujinga kwa nini wewe unaona kama nakuambia hivyo wewe?

Wewe ni mmoja wao?
 
Wanawake wengi wazuri wanajeuri na wanaona wanaume wote hatuna akili mbele zao hivyo wanaweza kufanya lolote wanavyojiskia. Unakuta mmepangwa hata 10 mnahudumia sasa hapo kosa dogo tu linaleta maafa . Wanaume wenzangu kuweni kama mimi kuwa na fedha ila usitumie fedha kumhonga mwanamke ukishakuwa na hela utapewa bure mafundi ujenzi boda boda ndio watamhonga
 
Sasa nikikunukuu wewe uliyeleta hiyo habari hapa na kusema hao wanaume waache huo ujinga kwa nini wewe unaona kama nakuambia hivyo wewe?

Wewe ni mmoja wao?
Rudi mpaka kwenye ujumbe wako ulioniquote umeniambia mimi direct

Nisingekua na shida kama ungequote bila kunishutumu direct
 
Yaan watu wengine wanajitafutia matatizo tu sasa demu anauza glocery we nae unamwita demu wako wakati yule ni malaya...hv mteja kalipa bill lak 3 ataacha kumpongeza mteja wake?...yaan mbususu ipo sokoni we unataka iwe yako peke yako inawezekanaje?
Kwani Ukiuza Grocery hana haki ya kuwa na Mtu?
 
Huyu ndio dada aliye uwawa kisa wivu wa mapenzi?πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Hawa ndiyo wanaitwa ma-papa ya mji. Nadhani wengi mnaelewa kuwa samaki papa hawezi kuliwa na mtu mmoja na akaisha. Anakatwa vipande vidogo vidogo halafu kila mwenye fedha ananunua na kujilia. Ajabu kuna mtu anataka amle papa wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…