Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Hlafu unakuta boya ana ndugu zake wanaisha maisha ya tabu kijijini aisee Hii dunia kuna mambo ya ajabu sana. Mimi nilishawahi Tajiri anahonga ili ndugu wa kimada afaulu shule ya private. Huku ana ndugu yake kapiga 1.11 shule ya serikali hana hata nauli ya kwenda advance level. Wanaume tunajisahau sana tukivimbiwa Mungu tusaidie.
Mkuu umeongea ukweli mtupuuu
 
Huyu ndiye amechomwa visu saba?wala haisikitishi labda angekufa kwenye tukio akiwa anamuokoa mtu amezama baharini au anaungua moto ndani ya nyumba otherwise huko wanakouwana huwa ni sababu za kipumbavu sana.

Na hii ni moja ya matokeo ya mistakes ndogo ndogo anazozifanya binadamu kwa sababu anajiona mjanja,upo ktk mahusiano na mtu but hutaki kumuheshimu,hutaki kujiheshimu wewe mwenyewe,kauli mbaya,dharau plus kujiona cake mtu mwenyewe ulieolewa/owana nae huijui back ground yake pengine alishakuwa chizi huko nyuma then unaendekeza ujinga?kama alifanya chochote ktk niliyoorodhesha hapo basi she deserve what she got.
 
Mkuu umeongea ukweli mtupuuu
Mimi nilishaapa nikipata mtoto yeyote anayependa kusoma katika ukoo wetu nampeleka shule kadri ya uwezo wangu. Familia nyingi za kitajiri zinafeli malezi kwa sababu unalazimisha wanao wasome. Wakati ungeshomesha watoto wa ndugu wanaopjua nini maana ya elimu wanao wangejifunza kutoka kwao.
 
Mimi nilishaapa nikipata mtoto yeyote anayependa kusoma katika ukoo wetu nampeleka shule kadri ya uwezo wangu. Familia nyingi za kitajiri zinafeli malezi kwa sababu unalazimisha wanao wasome. Wakati ungeshomesha watoto wa ndugu wanaopjua nini maana ya elimu wanao wangejifunza kutoka kwao.
Mkuu una moyo mzuri sana
Wengi hawana moyo wa kusaidia watoto wa ndugu zao hata elimu
Mungu akubariki
 
yaani munaona kuua wanawake ni kama vile kuchinja ng'ombe au?
Asili ya maisha hayataki wazembe na ardhi haichoki kuwapokea,na kuuawa hawauawi wanawake tu hata wanaume wanauawa vile vile.

Kuuawa na mwenzako wa mahusiano ya kingono ni makosa yanasababishwa na wenyewe wenye kufanyiana hayo hawezi tu mtu kumuuwa mwenzake mlioitana wapenzi kama hakujatokea ujinga na ndicho hata hapa kimetokea
 
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.

Nitaleta update zaidi.

Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!

UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah


==========

JamiiForums ilipowasiliana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amesema: “Ni tukio la kweli na tumeshatufikia, mwenye mamlaka ya kutoa taarifa zaidi ni RPC Jumanne Muliro, wasiliana naye atakupa taarifa na tayari ameshalizungumzia.”


Kwa kifupi Ngosha "Amemshaya wena" mtoto Penina.
 
Daah, niliwahi kumgongea Mzee mmoja Mke wake aisee (alikuwa na kabinti kadogo), Huyu mzee alikuwaga hatokitoki ndani kwa matatizo ya miguu na pressure but that time alipata nguvu za kuzunguka mji mzima akinitafuta! Angenipata sijui ingekuwa Je!![emoji848]
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom