Mkuu umeongea ukweli mtupuuu
 
Huyu ndiye amechomwa visu saba?wala haisikitishi labda angekufa kwenye tukio akiwa anamuokoa mtu amezama baharini au anaungua moto ndani ya nyumba otherwise huko wanakouwana huwa ni sababu za kipumbavu sana.

Na hii ni moja ya matokeo ya mistakes ndogo ndogo anazozifanya binadamu kwa sababu anajiona mjanja,upo ktk mahusiano na mtu but hutaki kumuheshimu,hutaki kujiheshimu wewe mwenyewe,kauli mbaya,dharau plus kujiona cake mtu mwenyewe ulieolewa/owana nae huijui back ground yake pengine alishakuwa chizi huko nyuma then unaendekeza ujinga?kama alifanya chochote ktk niliyoorodhesha hapo basi she deserve what she got.
 
Mkuu umeongea ukweli mtupuuu
Mimi nilishaapa nikipata mtoto yeyote anayependa kusoma katika ukoo wetu nampeleka shule kadri ya uwezo wangu. Familia nyingi za kitajiri zinafeli malezi kwa sababu unalazimisha wanao wasome. Wakati ungeshomesha watoto wa ndugu wanaopjua nini maana ya elimu wanao wangejifunza kutoka kwao.
 
Mkuu una moyo mzuri sana
Wengi hawana moyo wa kusaidia watoto wa ndugu zao hata elimu
Mungu akubariki
 
yaani munaona kuua wanawake ni kama vile kuchinja ng'ombe au?
Asili ya maisha hayataki wazembe na ardhi haichoki kuwapokea,na kuuawa hawauawi wanawake tu hata wanaume wanauawa vile vile.

Kuuawa na mwenzako wa mahusiano ya kingono ni makosa yanasababishwa na wenyewe wenye kufanyiana hayo hawezi tu mtu kumuuwa mwenzake mlioitana wapenzi kama hakujatokea ujinga na ndicho hata hapa kimetokea
 
Kwa kifupi Ngosha "Amemshaya wena" mtoto Penina.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…