Nakuzingua tu
Hao wanaoua hawajielewi siwezi kuua mtu kwa chochote wala kugombania mwanaume
Mimi nitaendelea kukugombania wewe tu ila sitaua mtu bali watakufa wenyewe kwa presha au kujiua wenyewe tu pale watakapoona nakupenda na kukulinda kwa upendo kama mboni ya jicho langu. Ulinzi wangu kwako ni Upendo tu nitakaokuwa nakupatia
 
Unaupiga mwingi sana Lucas
Kweli watakufa kwa presha waoπŸ€ΈπŸ˜‚
 
Siku hizi watu hawaogopi tena Ukimwi wanaogopa UTI tu.
 
Dah! Kuna mmoja alijilengesha kwangu Kinondoni nikaahidi kumwongezea mtaji. Sasa nikampa 20k atangulie lodge, yeye akaenda kuchukua ya chini ya kiwango sijui 8k au 10k hata mlango ulikuwa wa kufunga kwa nguvu sana isitoshe pana bar nje na boda kibao.
Nikambandua viwili halafu nikasepa bila kumpa hata 100 atajilipa aliyofisadi.
 
Kansas inayowatafuna ke tz na dunia ni kwamba barter trade system kati ya tundu na Hela!!hii dhana inanifadhaisha sana !Huwa nawaambia vijana nyie sio bidhaa ya kuuza wajifunze kujitafutia ili waingie kwenye mahusiano kupata mwenza sio kuuza uchi apate unafuu wa life!!
 
Hopeful ulitumia condom, mabaamedi wanakitombesha kinoma sio wa kwenda nao pekupeku
 
Mimi nitaendelea kukugombania wewe tu ila sitaua mtu bali watakufa wenyewe kwa presha au kujiua wenyewe tu pale watakapoona nakupenda na kukulinda kwa upendo kama mboni ya jicho langu. Ulinzi wangu kwako ni Upendo tu nitakaokuwa nakupatia
majiraaaniii njoeni huku Lucas Mwamshamba kwa mara ya kwanza hajamsifia mama na jambo la kuchangamsha zaidi anatupia maneno matamu matamu,
Kwako mwalimu kashasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…