Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Huyu ni wa kutolea kutu tu hamna kitu hapo huyo mlugaluga kajipoteza bureIla penina pis kali maamaee. She really deserved to continue to live. Such a beautiful soul gone forever.
View attachment 2997714
Ni mwenyewe kweli huyo?Ila penina pis kali maamaee. She really deserved to continue to live. Such a beautiful soul gone forever.
View attachment 2997714
Jumanne Muriro siyo RPC ni ZPCKwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah
==========
JamiiForums ilipowasiliana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amesema: βNi tukio la kweli na tumeshatufikia, mwenye mamlaka ya kutoa taarifa zaidi ni RPC Jumanne Muliro, wasiliana naye atakupa taarifa na tayari ameshalizungumzia.β
AAShida ya afya ya akili ni kubwa mno , inabidi kabla ya kujihusisha na mtu utafiti wa kina ufanyike.
Aaagh, Peninaaaah, hiyo pic sasaKwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah
==========
JamiiForums ilipowasiliana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amesema: βNi tukio la kweli na tumeshatufikia, mwenye mamlaka ya kutoa taarifa zaidi ni RPC Jumanne Muliro, wasiliana naye atakupa taarifa na tayari ameshalizungumzia.β
Nasemajee βYanavyohangaika na kuhenyeka kututafutia PESAβ π€£π€£π€£Yanavyo tenaπ
Treeeeenaahh.!! πNa vitabu vimeandika kabisa tafuteni kwa jasho Wanawake wale ajabu leo hii leo wanapaniki ππ
Hakuna cha ugonjwa wa kili wala nini, ni ukatili huoUgonjwa wa akili.
WiFi yako atanyakuliwa siku si nyingi , ngoja tupitishe bakuli la mchango.Treeeeenaahh.!! π
Wifi ongeza volume hawajasikia
Mpaka sasa umewapoizoni wangapi kaka?Binafsi nakupoison tu na cyanide unajifia zako.
Kwa dunia hili la androidi unadakwa kirahisi......Kabisa kabisa. Kosa la mwamba kafanya kwenye mazingira ya uwazi angemlia timing amchinje bila kuacha ushahidi wala trace yoyote
Na nani tena?? Ujue siku hizi niko busy hadi umbea unanipita wa humu!! π€£π€£π€£π€£WiFi yako atanyakuliwa siku si nyingi , ngoja tupitishe bakuli la mchango.
Kumbe lilikuwa lishangazi lool!Pumzika kwa Amani shoga yangu
Labda huko kwenu, njoo TarimeMwanamke hapigwi mapanga au mashoka ni pambo la nyumba!
Unashangaa buku 8 wakati hapo Kino Studio palikuwa na gesti inaitwa Kamwala ilikuwa 3,000 mpaka mwaka jana hapo!Duh,gesti bk8 si ndiyo zile unakuta taulo imekakamaa unaweza kuisimamisha ikasimama na hata rangi yake ya asili haijulikani
πππWiFi yako atanyakuliwa siku si nyingi , ngoja tupitishe bakuli la mchango.
Huyo Mwanaume kwenye picha ndio muuwajiHajavaa chupi
View attachment 2997765