Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.

Nitaleta update zaidi.

Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!

UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah

==========

JamiiForums ilipowasiliana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amesema: “Ni tukio la kweli na tumeshatufikia, mwenye mamlaka ya kutoa taarifa zaidi ni RPC Jumanne Muliro, wasiliana naye atakupa taarifa na tayari ameshalizungumzia.”

Jumanne Muriro siyo RPC ni ZPC
 
Aaagh, Peninaaaah, hiyo pic sasa
 
Kuuwana kisa mapenzi ni ujinga mkubwa sana,sema watu wengi wanaaminiana pasipo kufanya uchunguzi wa muda mrefu.
 
Hajavaa chupi
Screenshot_20240523-221352.jpg
 
Back
Top Bottom