Hapa naona mwanamke kibonge tu huo uzuri watu wanaousema siuoni.
Kaisiki Mubaba Wangee...!!!π€ͺπ€ͺ
Iiweeeh Baba Bataringaya, boojoooh...!!!
Sasa uritaka awe braki byuti kama ndizi za kamachumu ndo uone uzuri wake...!!!
Wazungu wanamsemo huu: "the closer to the bones, the sweeter the meat..." kama nimeukosea huo msemo mtu anirekebishe...
Yaani nyama tamu ni ile iliyo karibu na mifupa. Sasa wanaopenda nyamanyama huwa hawapati huo utamu???! Au wanamaanisha nyama ya kati?
Binafsi siwezi sema mzuri ama laah, ila hapo kuna rangi inayovutia wengi haswa binamu zangu Wasukuma....ππππ, mkao huo sio wanawake wote wanauweza, hiyo nayo ni kivutio, mengine tuwaachie waliokuwa wanamkula wanajua uzuri wake, labda alikiwa na sauti ya kumtoa nyoka pangoni...π€·ββοΈπ€·ββοΈπ€·ββοΈ
Nakumbuka wakati nafanya kazi kampuni flani ya simu, nilikuwa nikiongea na wateja unakuta shida ya mteja imeisha ila anataka kuendeleza maongezi.
Namwambia hii simu ya kiofisi inarekodiwa na kusikilizwa na haturuhusiwi kuwakatia simu wateja, ikabidi saa ingine jiwe najiweka sauti ya kikohozi....
Sasa Baba Taibali, mabungo yangu yakwapi? Nna kiwi na sanvita ya blackcurrent...π.
Msalimie shangazi yangu, ile ahadi yangu ya kujaza pasi yake ya kusafiria iko palepale.