Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Pumzika kwa Amani shoga yangu

Ila Penina ameweza...

Yaoneakana alikuwa vizuri kwenye gemu na machejo....

IMG-20240523-WA0013.jpg


Apumzike kwa amani.
 
RIP Penny. Vita vya mapenzi ulivipiga ila mwendo ukakatishwa na mshamba mmoja asiyejielewa. Penny alikuwa zawadi ya muumba kwa mabachela ila msukuma mmoja kwa ubinafsi wake hakujali maslahi mapana ya mabachela. Ni muda sasa wa kijana kukubaliana na ukweli kuwa hauko peke yako kwa huyo manzi uliye naye. Kuna watu wasiojulikana pia wanashiriki kutafuna hiyo manzi. Kwenye sala zako weka nguvu kubwa kuomba wasiojulikana waendelee kutojulikana. Siku ukijua achana na huyo demu hapohapo kwasababu huwa sio bahati mbaya.
 
Haya mambo huwa yapo,
Mshkaji wangu mmoja ujanani mkewe akawa kipanga,jamaa mtu wa safari karudi tukaenda kupiga masanga kumbe ana kisu usiku ule akamuue Mkewe.
Aisee vibaka anawashukuru usiku ule maana waliiba kile kisu cha kuchaji kiko fasta kuchinja wakatambaa nacho.
Hapo tunalewa apate stimu akamvamie Mkewe usiku mi sijui.
Kesho yake ananipa story kwamba leo nisingekua uraiani.
Kwani vipi ndio kufunguka pale tulikaa nilikua napata stimu nikirudi home nikafanye mauaji.
Ooh ikawaje.
Ndio kusema wife anazingua mda tu, nilikua narudi nimnyamazishe nipotee.
Mfukoni nna kisu cha uwindaji.
Si vibaka wakaiba.
Aisee niliishia kucheka tu🤣🤣🤣.
Na jamaa akawa anawashukuru sana wale vibaka kumuibia.
Wamemuokoa otherwise angeenda kuua.
 
Hapa naona mwanamke kibonge tu huo uzuri watu wanaousema siuoni.

Kaisiki Mubaba Wangee...!!!🤪🤪

Iiweeeh Baba Bataringaya, boojoooh...!!!

Sasa uritaka awe braki byuti kama ndizi za kamachumu ndo uone uzuri wake...!!!

Wazungu wanamsemo huu: "the closer to the bones, the sweeter the meat..." kama nimeukosea huo msemo mtu anirekebishe...

Yaani nyama tamu ni ile iliyo karibu na mifupa. Sasa wanaopenda nyamanyama huwa hawapati huo utamu???! Au wanamaanisha nyama ya kati?

Binafsi siwezi sema mzuri ama laah, ila hapo kuna rangi inayovutia wengi haswa binamu zangu Wasukuma....😁😁😁😁, mkao huo sio wanawake wote wanauweza, hiyo nayo ni kivutio, mengine tuwaachie waliokuwa wanamkula wanajua uzuri wake, labda alikiwa na sauti ya kumtoa nyoka pangoni...🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️

Nakumbuka wakati nafanya kazi kampuni flani ya simu, nilikuwa nikiongea na wateja unakuta shida ya mteja imeisha ila anataka kuendeleza maongezi.
Namwambia hii simu ya kiofisi inarekodiwa na kusikilizwa na haturuhusiwi kuwakatia simu wateja, ikabidi saa ingine jiwe najiweka sauti ya kikohozi....

Sasa Baba Taibali, mabungo yangu yakwapi? Nna kiwi na sanvita ya blackcurrent...😋.

Msalimie shangazi yangu, ile ahadi yangu ya kujaza pasi yake ya kusafiria iko palepale.
 
Mali safi, itakuwa alijua kumkuna jamaa na jamaa hana krismas mbili mjini akajaaa na kuoza, mtoto mwenyewe hakumaliza ujana na alimwona jamaa hana jipya.

Hiyo ya kumkuna jamaa akajaa naielewa, kuna watu wanakutana na nyuchi za KE/ME zinawafanya hawaelewi chochote zaidi ya kukojoa kwenye hizo nyuchi. Sijui ndo mambo ya solimeti...🤷‍♀️🤷‍♀️
 
Hiyo ya kumkuna jamaa akajaa naielewa, kuna watu wanakutana na nyuchi za KE/ME zinawafanya hawaelewi chochote zaidi ya kukojoa kwenye hizo nyuchi. Sijui ndo mambo ya solimeti...[emoji2368][emoji2368]
Huwa wanapata nini cha zaidi ambacho mpaka wanapenda kiasi hawajielewi ? Kukojoa ni kuleukule tu me hawa wanaozimikaga nahisi ni mtu jinsi alivyoumbwa labda na ushirikina akikufanyia
 
Back
Top Bottom