RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
1.Pep na Mess hakuna mwenzake aliemfanya mwenzake kuwa bora bali wote ni bora.Kwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.
Pep aliwakuta xavi na iniesta wakiwa kwenye peak zao, kwa kikosi kile hata Bashite angeweza shinda mataji na Barca
Pep was a failure at Bayern, Bayern kushinda bundesliga ni kama kupaka mkate siagi, kazi rahisi sana under Kocha yeyote yule, lile ni kombe Lao miaka nenda rudi hata kabla ya Pep. Bayern walihitaji UEFA kitu ambacho Pep alishindwa
Mancity atasumbua sana msimu huu na kubeba EPL ila UEFA asahau. Hatoshida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile. Mtoto halali na hela kule
Pale pale city msimu ujao watakua wamepata dawa yake ndo EPL ilivyo, next season anatoka kapa. Utamkataa
2.Pep aliwakuta Xavi,na Iniesta wakiwa kwenye peak lakini kwasababu nae yupo bora ndio maana aliweza kuyafanya aliyofanya.
3.Pep kushindwa kuchukua ubingwa wa UEFA Buyern sio kufeli kwa Pep,bali buyern hakupendezwa na mfumo wa ufunfishaji wa Pep ndio maana aliamua aondoke.Kama ambavyo Mo alishindwa kuchukua UEFA akiwa R.Madrid huku akiwa nawachezaji bora duniani.
4.Kuhusu kuchukua EPL hilo liko wazi atachukua sio tu atachukua,atachukua na huku kazinyanyasa timu kuzifunga na kuchezea Mpira anavyotaka.Kuhusu kuchukua EPL msimu ujao kama akiendelea kuwa Man city basi atachukua.
5.Kuhusu kusahau UEFA ungetwambia nikocha yupi wa EPL atachukua UEFA.Mimi siwezi kusema pep hatochukua au atachukua Uefa hata Man utd anaweza kuchukua ingawa ni timu mbovu ukilinganisha na Man city.
Xavi, iniest,Sergio wa Barcelona ndio hawa KDB,Silva(Gurdogan) na Fernadinho.Ndio maana unaona hata sasa ingawa man city ana beki mbovu lkn bado anazisurubu timu zenu za EPL.Maana Pep haamini zaidi ktk uzuiaji bali ushambuliaji kama ilivokuwa barca.
Man city kwa sasa Mendi,Company,stone na Silva wana injury lkn bado wanawasurubu na wataendelea kuwasurubu.