Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Clive Christian hakunaga......Google that.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clive Christian hakunaga......Google that.
Bila kusahau AYU na GIFT OF ZNZ
Kwanini unataka iwavutie wanawake tu.... Anyway jaribu Issey Miyake na Hugo Boss, ni perfume nzuri sana za kiume japo sijui kama sinawavutia wanawake...
Mimi nimezitumia hizo perfume kwa miaka kama mitano na uzuri wake hata kama umevaa rafu rafu zinakufanya unaonekana nadhifu na unapata heshima stahiki.[/SIZE][/FONT]
Sio lazima uende........watu kibao wanasafiri siku hizi.......dunia kijiji.......bongo nyingi fake.........ukihitaji huwezi kosa...........
Si hadi umpate? Sisi wa nanjilinji tutajuaje mtu anasafiri?
Ni perfume gani ya kiume ambayo harufu yake huwa inawavutia sana wakina dada?
Bvulgari
Woow.........unatumia hiyo........?........
When I was msichana nilikua navutiwa na Ray's tu
.
sh ngapi!?Clive Christian hakunaga......Google that.
Kuna pafyumu inaitwa PESA kwa kiswahili au MONEY kwa lugha ya mh Malkia. Hii itakufaa sana maana ìnavutia sana akina dada. Ukipata hyo kila mwanamke ni wako bila kujali umri,rangi,elimu,utaifa, umaarufu,waliolewa kwa wasioolewa hata bongo muvi utawakimbia mwenyewe. Tahadhari: Zaidi ya kuvutia Wasichana, pia inavutia Ukimwi sambamba.Ni perfume gani ya kiume ambayo harufu yake huwa inawavutia sana wakina dada?
Eeh.....haya bana........upo wapi sasa.......mi nipo Calabash njoo basi.........
Kwa fikra hizi za vijana haishangazi kuona CCM bado unaendelea kutawala taifa hili pamoja na madudu wanayofanya ndani ya nchi.... Hii..
Daaah!Perfume bora kabisa kuwavutia warembo ni NMB NBC CRDB EXIM N.K ukizpata hz warembo watamiminika
mimi natumia Joop(red)
kouros
versace(blue)
wanazipenda sana
Mkuu tutajie za chini ya elfu 50 au laki.