Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Kwanini unataka iwavutie wanawake tu.... Anyway jaribu Issey Miyake na Hugo Boss, ni perfume nzuri sana za kiume japo sijui kama sinawavutia wanawake...

Mimi nimezitumia hizo perfume kwa miaka kama mitano na uzuri wake hata kama umevaa rafu rafu zinakufanya unaonekana nadhifu na unapata heshima stahiki.[/SIZE][/FONT]

wewe ni mwongo wa kutupwa!
 
Sio lazima uende........watu kibao wanasafiri siku hizi.......dunia kijiji.......bongo nyingi fake.........ukihitaji huwezi kosa...........

Si hadi umpate? Sisi wa nanjilinji tutajuaje mtu anasafiri?
 
Ni perfume gani ya kiume ambayo harufu yake huwa inawavutia sana wakina dada?

Me natumiaga Versace kila demu nae kutana nao uwa wanaulizaga unatumia perfume gani.? N pia toka nimeanza kuitumia cjawahi tongoza nikakataliwa embu kaitafute n we
 
Kwa fikra hizi za vijana haishangazi kuona CCM bado unaendelea kutawala taifa hili pamoja na madudu wanayofanya ndani ya nchi.... Hii..
 
Ni perfume gani ya kiume ambayo harufu yake huwa inawavutia sana wakina dada?
Kuna pafyumu inaitwa PESA kwa kiswahili au MONEY kwa lugha ya mh Malkia. Hii itakufaa sana maana ìnavutia sana akina dada. Ukipata hyo kila mwanamke ni wako bila kujali umri,rangi,elimu,utaifa, umaarufu,waliolewa kwa wasioolewa hata bongo muvi utawakimbia mwenyewe. Tahadhari: Zaidi ya kuvutia Wasichana, pia inavutia Ukimwi sambamba.
 
Eeh.....haya bana........upo wapi sasa.......mi nipo Calabash njoo basi.........

Doc unakuja mjini kimya kimya? Toa taarifa mapema ufikie kwangu kabisa.

Bahati mbaya sio mpenzi wa kukaa bar, ukitoka nishtue.
 
Kwa fikra hizi za vijana haishangazi kuona CCM bado unaendelea kutawala taifa hili pamoja na madudu wanayofanya ndani ya nchi.... Hii..

Nchi ina watu zaidi ya milion 50, wote hatuwezi kuwaza siasa muda wote. Ndo maana kuna wanamichezo, walimu, madaktari etc.

Kama unaona siasa ni uwanja wako basi endelea ila ni makosa ukalazimisha wote tuwaze yako.
 
Back
Top Bottom