Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #261
PESA haipo mwanza Jiji ni kubwa hapo wapo watumiaji, nenda porini huko ukawe wa kwanza kuzishika, kabla hazija pelekewa mwanza na darWatatolewa kafara acha wajichanganye huko usukumani majamaa ni machawi kinoma,
Au wafanywe misukule maana malaya wengi dar wameshachafuliwa kiroho ni km makapi
Sizani kama katoro ina pesa kuizidi chunya sidhani asee chunya pesa ipo, nyingi sana, usicho kujua hao matajiri wa geita wana migodi chunya Hilo pia una paswa ulijueMimi nikipata nafasi lazima nifike nijionee.
Kwanza zile gari barabarani ni kufuru.
Huko Katoro hakujapishana sana na Chunya.
Barabarani huwa zinapita gari za kufuru ambazo Mbeya mjini hazipo.
Nyie,watu wanayo hela🔥🔥🔥
Matajiri wa geita hawapati pesa zao geita wanazikamatia mahala pengine mfano chunya mbeya, wamejaa wanamigodi kuleaMaisha ya mitandaoni hayajawahi kunikimbiza hivyo! Niende kisa hizo trends like seriously?😅
Mwisho wa siku ukiacha hayo yote yakufikirika inabaki kuwa pesa ni kitu muhimu mno Angalia kwanza hata chadema wanapasuana kisa pesa tu basi...unadhani kabudi ni mjinga kusema kuwa alitolewa jalalani akapewa ulaji( pesa)?Unajua maana ya net worth? Kwahiyo unajaribu kutuaminisha kwamba hiyo zawadi iliyotolewa haikuwa sehemu ya net worth ya mtoa zawadi?
Sawa bibiNa wewe kuwa shabiki mrembo
Ila wanafanyaje?Wenye pesa hawafanyi ule ujinga
Michezo ni hiyo hiyo kanda ya ziwa yote kulipo na wasukuma ulozi haukosekani, point yangu ni hivi,,,pesa wanayo ila ina mapicha picha mengi ya kishirikinaPESA haipo mwanza Jiji ni kubwa hapo wapo watumiaji, nenda porini huko ukawe wa kwanza kuzishika, kabla hazija pelekewa mwanza na dar
Ukiona ndoa ya davido na chioma, kelele zilipigwa na pesa kweli ipo Mzee tulia kabisaHizo ndo kelele zenyewe ambazo pesa haizitaki sasa
Pengine?Alichofanya huyu jamaa siyo kigezo cha kifedha (HARUSI NI MAANDALIZI PENGINE YA MWAKA MZIMA
Itakuwa kula yako ni mpaka upinde mgongo sio bureSawa bibi
Angalia ndoa za matajiri yule tajiri wa India alishusha mastar wakubwa wa marekani kuperform vi dakika vitano tu bila jasho na pesa mingiIla wanafanyaje?
Mbona washirikina wa kwenu sio matajiri?Michezo ni hiyo hiyo kanda ya ziwa yote kulipo na wasukuma ulozi haukosekani, point yangu ni hivi,,,pesa wanayo ila ina mapicha picha mengi ya kishirikina
Yaani mtu unafanya wivu hata kwa watu usiowajuaAngalia ndoa za matajiri yule tajiri wa India alishusha mastar wakubwa wa marekani kuperform vi dakika vitano tu bila jasho na pesa mingi
Huja tembea wewe,Michezo ni hiyo hiyo kanda ya ziwa yote kulipo na wasukuma ulozi haukosekani, point yangu ni hivi,,,pesa wanayo ila ina mapicha picha mengi ya kishirikina
Huna hela kaka tumesha sema pesa HAITAJI KELELE Fanya watu waone hao unaowasema ni mikopo hiyo pesa cash mtitiUkiwa ktk business hasa kubwa utagundua kuwa watu wengine Wana pesa ila hawajaamua kufanya vurugu yoyote.
So nyie ambao mpo shocked na 1.4B inaonekana hampo ktk circle au mzunguko wa watu wenye pesa.
Aende songea mangoma Yale na manguo mweusi, lakini bado bilabilaMbona washirikina wa kwenu sio matajiri?
Mkuu wewe unaishi Kijiji GaniUkiona ndoa ya davido na chioma, kelele zilipigwa na pesa kweli ipo Mzee tulia kabisa
Huja tembea wewe,
Huna hela kaka tumesha sema pesa HAITAJI KELELE Fanya watu waone hao unaowasema ni mikopo hiyo pesa cash mtiti
Najitambua huo mtego unao taka kuniingizia nimekustukia Kwa heri shoga, vinaanzaga hivihivi,Itakuwa kula yako ni mpaka upinde mgongo sio bure
Hii mbona ipo kitambo! Migodi ikitema wadada wa mjini huenda huko ila sasa hivi bei imepungua sababu wadada wamekua wengi huko baada ya kusanuka soko limevamiwa