Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #321
Washikaji ZANGU wengi tumezaliwa geita wote ila wametajirikia mbeyatuliza akili mbeya machimboni pesa ipo, ila konekshen muhimu sana watu wamefirisika mpaka kupata stroke, si mchezo DHAHABU inadatisha ukijaa kwenye mfumoHakuna mtu anaweza kujilipua kuhamia ghafla, sehemu ambayo Bado hajaijua vizuri.
Kwani nawewe unashindaga tu jf bila kazi kama mimi? 😅Ukipata na mimi naziomba
Hahahaa🤣 zipo kibao tena hata kuto lala wakati mwingine, jumlisha na ibada, una amka una sali alafu una vuta PC, unaanza kucheki wateja oda, reply kama hizi kucheki michongo, kupitia hesabu za Jana, kupanga mipango ya siku nzima, kufatilia madeni Yako nk shughuli ni nyingi ni vile hatutilii maananiOoh hapo sawa, naomba namimi shughuli za kuniamsha saa 11
Nimeshinda sana humu bila kaziKwani nawewe unashindaga tu jf bila kazi kama mimi? 😅
Tupe hayo madili mwanetu.Hahahaa🤣 zipo kibao tena hata kuto lala wakati mwingine, jumlisha na ibada, una amka una sali alafu una vuta PC, unaanza kucheki wateja oda, reply kama hizi kucheki michongo, kupitia hesabu za Jana, kupanga mipango ya siku nzima, kufatilia madeni Yako nk shughuli ni nyingi ni vile hatutilii maanani
Demu nae msemea, alikua geita mitaa ya balenge ka sikosei alikua na saloon ya kike, miaka hiyo alikua mfupi mweupeeee peOoh hapo sawa, naomba namimi shughuli za kuniamsha saa 11
Hahahaaa Dr Chenza Oviedo hana hela bali kelele tu ,ni content creator kama Chief GVdIlAVu.Jamaa wa Singapore ndo nani? Ama unamaanisha Dr ibra chenza PhD
RRONDO King Kong III
adriz de mbusii
Watu wanakalili maisha ndo mana nimemwambia huyo demu hapo juu, akili za humu ni ngumu kuamini Kuna matajiri hii picha inaonesha wengi humu waajiriwa, tajiri ana mudawa kufanya chochote muda wowote maaana hana limit, kutoka Kwa mtu yeyoteNimeshinda sana humu bila kazi
Sema maisha yanabadilika sana..nyakati zinabadilika.
Ila watu bwana
Kwahiyo wakikuona jf wanaona kama huna kazi
Stay tuned,Tupe hayo madili mwanetu.
Wanawake wanawaharibia kivipi? Ulishaona mwanamke kawa bilionea kwa kujiuza kwa bilionea?Mtu kupata Bilioni 6 za dhahabu ni kugusa tu. Kinachowaharibia ni Wanawake.
Kuna slay queen ana ngombe zaidi ya elfu moja nadhani ndio anaongoza Tanzania nzima.Mkuu Mimi sija ona kipya hapo, ndo maisha Yao tangu miaka hiyo mfano kipindi Hummer zinatoka Kuna don pale geita aliivuta mpya, miaka hiyo hata huyu kijana nahisi hajatajirika
Watu wanashindwa kujua wale matajiri wa mitandaoni, wengi ni pesa za mikopo ukiacha aseet, pesa cash zimetulia Kwa watu hukoKuna slay queen ana ngombe zaidi ya elfu moja nadhani ndio anaongoza Tanzania nzima.
Me kama kuna tajiri humu anidondoshee tu nina rejesho la asa leo hakuna namnaWatu wanashindwa kujua wale matajiri wa mitandaoni, wengi ni pesa za mikopo ukiacha aseet, pesa cash zimetulia Kwa watu huko
Hamna cha pesa wala nini ni ulimbukeni tu.mo dewj tunajua ni tajiri lakini hakufabya haruhi ya gharama hivyoKanda ziwa kuna watu wanapesa na leo watu wameshtuka ila walishindwa kuwa na media za dotto magari.Maana wange mkaribisha dotto leo wange mfilamba kwa moto
Kuna pesa za kujulikana na serikali alafu kuna pesa serikali hakufahamu.Hata hapo USA unawafahamu rokafela kwanza ndio uje ulete majibu yako.Hamna cha pesa wala nini ni ulimbukeni tu.mo dewj tunajua ni tajiri lakini hakufabya haruhi ya gharama hivyo
Unataka kusema aliyefanya harusi anamzidi mohamed dewj kwenye utajiri?Kuna pesa za kujulikana na serikali alafu kuna pesa serikali hakufahamu.Hata hapo USA unawafahamu rokafela kwanza ndio uje ulete majibu yako.
Nimekutajia hiyo familia ambayo inashikilia uchumi wa USA asilimia 85
Wewe mgeni wa Dar.Watu wa dar mna ka wivu fulani hivi, bata wanazokula watu kanda ya ziwa zinawauma sana 😏😏😏, dar mtu kwenda na laki mbili bar mpaka bendi inamtaja wakati huo huo mwembeni bar kakola mtu kuteketeza 600k kwenye mtungi ni kawaida na siyo mmoja na mara moja
Usilolijua kaa kimya basi.Ushawahi kuchimba hata shimo la chooUnataka kusema aliyefanya harusi anamzidi mohamed dewj kwenye utajiri?
Kuna watu wanaweza biashara aiseeKuna slay queen ana ngombe zaidi ya elfu moja nadhani ndio anaongoza Tanzania nzima.
Ili umsikie. Maana ulikuwa humfahamu.Mbona huyo GSM kapiga kelele mpaka nchi nzima imesikia?