Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Hapo mwisho kwenye mbwembwe umezingua madon wa dar mikwala sana
 
Usenge tu, matajiri wa maana kama akina Bakhresa au Mo huwezi kukuta wanafanya usenge huo

Tafuta video Musk anafanya mausenge hayo utupostie humu

Hao sio matajiri ni washamba waliopata pesa
Mtafute mjukuu wa bakhresa fujo anazo zifanya, hao matajiri ukitaka kuziona Bata zao nenda nje, mkuu huko unakutana na watu usio wategemea Kuna watu ukiwaona unashangaa, hivi na huyu ana kunywaga pombe
 
We jamaa unaufahamu vitu, Huwa wanamgao unakuta wamerundikana balaa, wengine wachafu kinoma, ila pesa zinazo mwagwa
 
Mtafute mjukuu wa bakhresa fujo anazo zifanya, hao matajiri ukitaka kuziona Bata zao nenda nje, mkuu huko unakutana na watu usio wategemea Kuna watu ukiwaona unashangaa, hivi na huyu ana kunywaga pombe
Zayed ni mjinga fulani tu katika ukoo wa Bakhresa, janja ana show off kiaina lakini sio kama za hao wafukua dhahabu wa Geita

Kwa pesa alizozikuta kwao kama angeamua kufanya hizo mbanga angekuwa maarufu sana Tz nzima ila ni wachache sana wanaomjua Zayed kwa sababu sio mshamba wa pesa

Wanakula bata lakini huwezi kukuta wanafanya mambo ya ******* kama ya hao Wasukuma
 
Mkuu uliona ile harusi ya mwezi mzima ya Tajiri wa India?
Jifunze kwanza kuhusu tamaduni za harusi za India

Iko hivi kwa India, harusi huwa si tu ndoa bali ni pia onyesho la utamaduni, uwezo wa kifedha na hadhi ya familia
 
Ni Msukuma sio?
 
Sasa atafanya kufuru gani pesa ya familia alafu hao wajamaa wa madini ni self made huyo kula Bata mpaka aombe Kwa Mzee ilihali wazee wa madini wanazisaka wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…