Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Wao wana migodiHela za ndagu ndio maana hawana hata maendeleo.
Wengine matajiri ila wazazi wao wanalAla kwenye vibanda.
Kama Bil 6 wao ni kugusa tu kwa mtu mmojammoja mbona hawana hata kiwanda cha kutengeneza juice
Wee Nisubirini Jamani😂😂😂
Nitakukodishia fisi kutoka usukumani ondoa shaka😎Make cheke kwanza mi huko iwe jua,iwe mvua hata kwa usafiri wa ungo nitafika.
Wahii ohoo!😅Wee Nisubirini Jamani😂😂😂
Yaani watu wana stress za maisha sanaUlishawahi kufika ukanda huo? Ila story za mitandaoni bana😅
Unataka kunambia hao matajiri wa katoro hakuna hata mmoja mwenye akaunti jf? Hakosekani hata mmoja ila uwezo wa kuzurula kila uzi humu ndo atakua hana sababu wapo busyAwapi humu wengi ni waajiriwa wa serikali sasa tangu lini muajiriwa akawa tajiri?
Mzee anatumia hela zake anavyotakaKabisa! Hakuna haja ya kuchukia kila mtu atumie billion zake anavyotaka!😂
Labda hivyo...ila watu wana pesa sana kitaani ila ukiwa humu jamii forum kila kitu ni kigumu...mfano lete mada ya kuomba ushauri wa kilimo cha mpunga utasikia kilimo cha kutegemea mvua ni kamari mno ila sasa chakushangaza ukienda huko wanakolima mpunga unakuta watu wanapiga mshindo mno na wana pesa...Unataka kunambia hao matajiri wa katoro hakuna hata mmoja mwenye akaunti jf? Hakosekani hata mmoja ila uwezo wa kuzurula kila uzi humu ndo atakua hana sababu wapo busy
Kabisa!!Mzee anatumia hela zake anavyotaka
Kaweza sana
Katushtua🔥🔥🔥🔥 na tumeshtuka
Nakubali watu wana pesa mtu hawezi kumwaga billion 1 ambayo hanaLabda hivyo...ila watu wana pesa sana kitaani ila ukiwa humu jamii forum kila kitu ni kigumu...mfano lete mada ya kuomba ushauri wa kilimo cha mpunga utasikia kilimo cha kutegemea mvua ni kamari mno ila sasa chakushangaza ukienda huko wanakolima mpunga unakuta watu wanapiga mshindo mno na wana pesa...
Amini ni wengi sana huyo mzee hawakuwa wakimfahamu, na ndiyo pesa inataka hivyo.Mzee anatumia hela zake anavyotaka
Kaweza sana
Katushtua🔥🔥🔥🔥 na tumeshtuka
Yaani unatumia kipimo cha Mohammed dewj ? Hivi haujui kila mmoja ana uhuru wa pesa yake?Hamna cha pesa wala nini ni ulimbukeni tu.mo dewj tunajua ni tajiri lakini hakufabya haruhi ya gharama hivyo
Sijui wapi hatuelewani mimi naamini huyo ana pesa ndefu sanaNakubali watu wana pesa mtu hawezi kumwaga billion 1 ambayo hana
Huo siyo uhuru bali ni ushamba na ulimbukeni.Kwahiyo Mo dewj unamlinganisha na huyo mshamba wa hela?Yaani unatumia kipimo cha Mohammed dewj ? Hivi haujui kila mmoja ana uhuru wa pesa yake?
Mimi namuona Mohammed ni mshamba sana kuliko tajiri murj wa ndanda fc kwasababu yeye hata siku moja hautaona anamuuliza mchezaji nani anaekulipa pesa kama sio mimi au kumuona anasusasusa timu kama demu vile mohamedHuo siyo uhuru bali ni ushamba na ulimbukeni.Kwahiyo Mo dewj unamlinganisha na huyo mshamba wa hela?
Wewe ndie umeeleza vizuriKuna hela za kuheshimu kama. Za kina Mzee Mengi, Mo, Bakhresa, etc. Hizo ni za utafutaji kweli. Za madini ni suala lingine. Ni za ujasiri zaidi na sio kitaaluma
Pesa za migodini zipo hivyoZayed ni mjinga fulani tu katika ukoo wa Bakhresa, janja ana show off kiaina lakini sio kama za hao wafukua dhahabu wa Geita
Kwa pesa alizozikuta kwao kama angeamua kufanya hizo mbanga angekuwa maarufu sana Tz nzima ila ni wachache sana wanaomjua Zayed kwa sababu sio mshamba wa pesa
Wanakula bata lakini huwezi kukuta wanafanya mambo ya ******* kama ya hao Wasukuma