Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Jamaa kamfanyia binti yake Send off kwa kadri ya uwezo wake,Sisi mbungila tunaanza kujaji utajiri wake😀😀😀😀😀😀

Huyo Jamaa Sio kinyonge tutafute hela🤗🤗🤗🤗
 
Watu wa geita,Kahama na Katoro namna mmeanza kutupanda kichwani Darslam!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…