Pesa haimpi kiburi Mwanamke bali humpa uwezo wa kutovumilia ujinga

Kama binadamu mwenyew hana free will, huo uhuru unatoa wapi?
 
Usiache kwenda Huo msikiti ndugu Shaaban Kitwana.
 
Ninachofahamu mimi ni kwamba, pesa huongeza kile kilichokuwemo ndani ya mtu.

Mwenye busara huongezeka busara, mwenye kiburi huongezeka kiburi.
 
Binafsi sioni shida!
sawa naheshimu msimamo wako lakini lejea aya ya pili ya andiko..,nanukuu (mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha anaweza kufanya maamuzi yake pasina kutegemea maamuzi ya wengine.)najua inawezekana upo kwenye ndoa, je unadhani ni sahihi kwakuw mwanamke unajiweza ndio ufanye maamzi bila kumushilikisha kichwa(mmeo)? kisa tu unajiweza? na ndomaana sijakubaliana na andiko ila ni kwa wale tu wapo kwenye ndoa dada. lakini kwa mwanamke single anauhulu wa kuamua chochote anataka mana yeye anajiongoza,.
 
Mimi naona tungekua tunaishi kishkaji tuu, wanawake kwa wanaume. Kila mtu afanye afanyalo tumechezewa
 
huwezi kufanya maamuzi bila kumshirikisha mume ndio, lakini kuna mambo madogo madogo hayana ulazima mpaka mume apitishe au ataarifiwe tu!
 
Mimi naona tungekua tunaishi kishkaji tuu, wanawake kwa wanaume. Kila mtu afanye afanyalo tumechezewa
mkuu umeongea kitu wengi tunataman lakini tambua kanuni za ulimwengu ni kuwa kuna mtawala na mtawaliwa sasa bahati nzuli wewe me umepewa kutawala je unakubali vip ke tutoke ngoma droo wkati kila kitu ke anategemea kutoka me? usikate tamaa hivo hawa viumbe tumeumbiwa sisi me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…