Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Godamn right brother lakini such souls are very rareKipindi niko kweny bingo za road construction nilkutana na bi mdashi flan hivi anawawe kinoma akasema tumjengee lami kwake.. Kutoka getini mpk usawa wa barabara tukadhani labda anamakuu ila she was one of the humblest person. Mumewe haukuwa na mawe kumzidi ila alimnyenyekea as if utadhani karogwa.
What I learned is that a woman with integrity and wisdom hawezi kuwa na uhuru kupindukia kumzidi mwanaume especially in the house. Anajua position yaje