Pesa haimpi kiburi Mwanamke bali humpa uwezo wa kutovumilia ujinga

Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii.

Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na sauti na msimamo, si kwa sababu ya majivuno, bali kwa sababu ya kujua thamani yake.

Pesa humsaidia mwanamke kuweka mipaka iliyo wazi katika mahusiano na mazingira yake. Haoni tena ulazima wa kuvumilia dharau, unyanyasaji, au tabia zisizo na heshima. Badala yake, anachagua yale yanayomjenga na kumuinua.

Hii si kiburi, bali ni ishara ya kujiheshimu na kujilinda dhidi ya mambo yanayoweza kumuumiza.
Kwa upande mwingine, jamii mara nyingi huchanganya kujiamini kwa mwanamke mwenye pesa na kiburi.

Mwanamke anaposema “hapana” au kusimama kwa haki yake, huonekana kama ana majivuno. Ukweli ni kwamba pesa zimempa nafasi ya kutokubali ujinga na hali zinazomshusha hadhi.

Hivyo, kile kinachoonekana kama kiburi ni ujasiri wa kusimamia ukweli wake.

Pesa si chanzo cha kiburi kwa mwanamke bali ni nyenzo ya kumwezesha kuishi maisha yenye heshima na uhuru.

Zinampa uwezo wa kuchagua, kujilinda, na kuthamini utu wake. Mwanamke mwenye uwezo wa kifedha anaishi kwa misingi ya thamani, si kwa kuvumilia kila jambo, na hapo ndipo nguvu yake halisi inapodhihirika.
Ila sio wanawake wa kitanzania
 
Uko sahihi, sio kwa mwanamke tu ni kwa binadamu yeyote anahitaji nguvu ya maamzi isiyotokana na njaa.

Pesa na Elimu ni nguvu zinazotumika kutoa uwezo wa kusikilizwa na kufanya maamzi bila kutegemea return kwa mtu unayefanya maamzi juu yake. Angalia mfano wa viongozi tulionao wenye vipato vidogo wanavyofanya kazi/kutekeleza majukumu kwa kuweweseka

Lakini Pesa na Elimu ikitumika vibaya ndo inaleta kibri, wanawake wengi wenye pesa na elimu hasa ambao hawakupata malezi sahihi ya baba wanachangamoto ya kutaka kuwa juu ya mwanaume kwa sababu hawakuwahi kuona utii wa mama kwa baba. Hivyo dhana ya mwanamke mwenye pesa na elimu kuwa na kibri inaanzia kwenye kukosa utii na kufanya maamzi yanayoongozwa na kipato.
 
huwezi kufanya maamuzi bila kumshirikisha mume ndio, lakini kuna mambo madogo madogo hayana ulazima mpaka mume apitishe au ataarifiwe tu!
yeah hapo upo sawa dadang, nikweli mala zote mwanamume humpa uhulu mke wake atimize mambo madogo madogo lakn likija suala la maamzi makubwa yanayohusu familia yenu ni lazima mwanamke uwe mtoa maoni tu, haijalishi unakipato cha aina gani. ndo mana nilipinga lile andiko dada.
 
Ni sawa ulivyo sema ila mwanamke akipata pesa ni kama mtu mwenye kidonda kibichi yani hataki kiingie maji wala nzi aguse.
 
Money has a unique spiritual gravity that can easily distort a person's character if they aren't careful.

Inahitaji Hekima, busara na kutumia logic zaidi katika kufanya maamuzi. Hii ndio sababu wanawake wenye nafasi za CEO ni wachache sana; kutokana na uhalisia kwamba mwanamke ni kiumbe mwenye hisia zaidi kuliko logic. Hisia katika kufanya maamuzi yanayoathiri wengi ni hatari zaidi ukilinganisha na wanaume ambao wameonyesha kuwa na utulivu na wenye hekima na busara katika maamuzi yao.
 
Mwanamke hatambui hilo
Imefika hatua wanasema na wao wanatamani kama wanaume?
It's their egos speaking
 
Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii.

Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na sauti na msimamo, si kwa sababu ya majivuno, bali kwa sababu ya kujua thamani yake.

Pesa humsaidia mwanamke kuweka mipaka iliyo wazi katika mahusiano na mazingira yake. Haoni tena ulazima wa kuvumilia dharau, unyanyasaji, au tabia zisizo na heshima. Badala yake, anachagua yale yanayomjenga na kumuinua.

Hii si kiburi, bali ni ishara ya kujiheshimu na kujilinda dhidi ya mambo yanayoweza kumuumiza.
Kwa upande mwingine, jamii mara nyingi huchanganya kujiamini kwa mwanamke mwenye pesa na kiburi.

Mwanamke anaposema “hapana” au kusimama kwa haki yake, huonekana kama ana majivuno. Ukweli ni kwamba pesa zimempa nafasi ya kutokubali ujinga na hali zinazomshusha hadhi.

Hivyo, kile kinachoonekana kama kiburi ni ujasiri wa kusimamia ukweli wake.

Pesa si chanzo cha kiburi kwa mwanamke bali ni nyenzo ya kumwezesha kuishi maisha yenye heshima na uhuru.

Zinampa uwezo wa kuchagua, kujilinda, na kuthamini utu wake. Mwanamke mwenye uwezo wa kifedha anaishi kwa misingi ya thamani, si kwa kuvumilia kila jambo, na hapo ndipo nguvu yake halisi inapodhihirika.
kwa wanawake walio wengi hata akiwa na hela , Familia yake (mume wake na watoto) wanaweza kunufaika nayo kwa kiasi kidogo sana kwani, walio wengi huelekeza nguvu zaidi kwao walikozaliwa kuliko kujenga familia yao (yeye na mume wake)
Sina hakika kama Mungu alivyo waunganisha muwe mwili mmoja alikusudia hivyo.
Lakini pia; Kitendo cha Mwanamke kutaka kusafiri sijui Sumbawanga kwenye riadha, Sijui kwenda kwenye mkesha wa vikoba, sijui wapi nk ukataliwe na Mumeo sio sababu ya unyanyasaji?
Mume ni kiongozi hivyo ana angalia pia, uhusiano wa safari na ndoa yako, hali ya watoto, nyumba nk
UKIWA KWENYE NDOA NA UKAWA NA MAWAZO HASI, UTAJIONA MTUMWA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO kwani hata mume akiomba umchotee maji ya kunywa au pengine umwekee maji ya kuoga utaona anakutesa.
NAONA KAMA UNAFAA KUWA MCHEZAJI WA TIMU YA KATAA NDOA...
 
yeah hapo upo sawa dadang, nikweli mala zote mwanamume humpa uhulu mke wake atimize mambo madogo madogo lakn likija suala la maamzi makubwa yanayohusu familia yenu ni lazima mwanamke uwe mtoa maoni tu, haijalishi unakipato cha aina gani. ndo mana nilipinga lile andiko dada.
Yuko sahihi, huo upande tu ndio tumerekebisha! msome between the lines, bila kujiweka kwenye position yoyote!
 
Ikawaje hali hiyo iwakute karibu wanawake wote?.
Unprovocative question; hata Mama yako angelikuwa na Pesa asingeliishi na Baba yako.. Je, Ni ujinga upi Baba yako anao kiasi kwamba Mama yako angelikuwa na Pesa asingeliishi na Baba yako?.
 
Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii.

Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na sauti na msimamo, si kwa sababu ya majivuno, bali kwa sababu ya kujua thamani yake.

Pesa humsaidia mwanamke kuweka mipaka iliyo wazi katika mahusiano na mazingira yake. Haoni tena ulazima wa kuvumilia dharau, unyanyasaji, au tabia zisizo na heshima. Badala yake, anachagua yale yanayomjenga na kumuinua.

Hii si kiburi, bali ni ishara ya kujiheshimu na kujilinda dhidi ya mambo yanayoweza kumuumiza.
Kwa upande mwingine, jamii mara nyingi huchanganya kujiamini kwa mwanamke mwenye pesa na kiburi.

Mwanamke anaposema “hapana” au kusimama kwa haki yake, huonekana kama ana majivuno. Ukweli ni kwamba pesa zimempa nafasi ya kutokubali ujinga na hali zinazomshusha hadhi.

Hivyo, kile kinachoonekana kama kiburi ni ujasiri wa kusimamia ukweli wake.

Pesa si chanzo cha kiburi kwa mwanamke bali ni nyenzo ya kumwezesha kuishi maisha yenye heshima na uhuru.

Zinampa uwezo wa kuchagua, kujilinda, na kuthamini utu wake. Mwanamke mwenye uwezo wa kifedha anaishi kwa misingi ya thamani, si kwa kuvumilia kila jambo, na hapo ndipo nguvu yake halisi inapodhihirika.
Ndio inavyokuwa na inawapa uhuru ndio mana tunawaona hao wenye hela wakina Zari, Shilole,Madam Rita nk, wakiwa wanabadilisha vijana aka serengeti boy, sasa sijajua bora msimamo au kupoteza heshima mbele ya jamii yako. Wanawake wenye hela tunawaona huku mwendo wa kubadilisha serengeti boys na waume za watu, ila si shangai kwani fedha zimewapa uhuru ambao unashusha heshima zao au labda kubadilisha wanaume hovyo hovyo sio ujinga na mara zote hutumia hela zao kuendesha hao mahusiano.

Ndio maana kutokana na attitude zao,hujikuta wanaanguki kwa wanaume ambao ni weak, waoga wa maisha, Mario na wapenda vitonga na hawa enjoy mahusiano, sababu mara nyingi wao hugharamia hayo mahusiano na kama unayojua wengi wao age goo na mwanaume lazima atatafuta kabinti kingine cha kumliwaza, akigundua anamuacha anaenda kwa mwengine maisha yake yatakuwa kuacha na kutafuta mwengine wa kumlea.
 
Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii.

Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na sauti na msimamo, si kwa sababu ya majivuno, bali kwa sababu ya kujua thamani yake.

Pesa humsaidia mwanamke kuweka mipaka iliyo wazi katika mahusiano na mazingira yake. Haoni tena ulazima wa kuvumilia dharau, unyanyasaji, au tabia zisizo na heshima. Badala yake, anachagua yale yanayomjenga na kumuinua.

Hii si kiburi, bali ni ishara ya kujiheshimu na kujilinda dhidi ya mambo yanayoweza kumuumiza.
Kwa upande mwingine, jamii mara nyingi huchanganya kujiamini kwa mwanamke mwenye pesa na kiburi.

Mwanamke anaposema “hapana” au kusimama kwa haki yake, huonekana kama ana majivuno. Ukweli ni kwamba pesa zimempa nafasi ya kutokubali ujinga na hali zinazomshusha hadhi.

Hivyo, kile kinachoonekana kama kiburi ni ujasiri wa kusimamia ukweli wake.

Pesa si chanzo cha kiburi kwa mwanamke bali ni nyenzo ya kumwezesha kuishi maisha yenye heshima na uhuru.

Zinampa uwezo wa kuchagua, kujilinda, na kuthamini utu wake. Mwanamke mwenye uwezo wa kifedha anaishi kwa misingi ya thamani, si kwa kuvumilia kila jambo, na hapo ndipo nguvu yake halisi inapodhihirika.
Inaweza kuwa kweli ila nature ni Mwalimu mzuri sana.
 
Vijana wenzangu wanataka wanawake maskini, uneducated and jobless ili wawanyanyase kwenye kivuli cha unyenyekevu na uvumilivu.
 
Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii.

Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na sauti na msimamo, si kwa sababu ya majivuno, bali kwa sababu ya kujua thamani yake.

Pesa humsaidia mwanamke kuweka mipaka iliyo wazi katika mahusiano na mazingira yake. Haoni tena ulazima wa kuvumilia dharau, unyanyasaji, au tabia zisizo na heshima. Badala yake, anachagua yale yanayomjenga na kumuinua.

Hii si kiburi, bali ni ishara ya kujiheshimu na kujilinda dhidi ya mambo yanayoweza kumuumiza.
Kwa upande mwingine, jamii mara nyingi huchanganya kujiamini kwa mwanamke mwenye pesa na kiburi.

Mwanamke anaposema “hapana” au kusimama kwa haki yake, huonekana kama ana majivuno. Ukweli ni kwamba pesa zimempa nafasi ya kutokubali ujinga na hali zinazomshusha hadhi.

Hivyo, kile kinachoonekana kama kiburi ni ujasiri wa kusimamia ukweli wake.

Pesa si chanzo cha kiburi kwa mwanamke bali ni nyenzo ya kumwezesha kuishi maisha yenye heshima na uhuru.

Zinampa uwezo wa kuchagua, kujilinda, na kuthamini utu wake. Mwanamke mwenye uwezo wa kifedha anaishi kwa misingi ya thamani, si kwa kuvumilia kila jambo, na hapo ndipo nguvu yake halisi inapodhihirika.
I will beg to differ on that. It depends na malezi na kama ana experience ya kushika pesa hiyo before au hajatokea kwenye shida.

Kama ametoka kwenye familia duni, akashika pesa kidogo tu. Kiburi chake si cha hii because anakuwa hana descpline, hana control

For those waliotoka kwenye successful family hutoona hizo tabia or huwa wana react kawaida

So kusema hawavumiilii ujinga ni massive hoax
 
Ungesema tu pesa inamfanya mwanamke kuwa nusu dume na kapu..mbu kadooogoz! Umezunguka saaaaaana!
 
I will beg to differ on that. It depends na malezi na kama ana experience ya kushika pesa hiyo before au hajatokea kwenye shida.

Kama ametoka kwenye familia duni, akashika pesa kidogo tu. Kiburi chake si cha hii because anakuwa hana descpline, hana control

For those waliotoka kwenye successful family hutoona hizo tabia or huwa wana react kawaida

So kusema hawavumiilii ujinga ni massive hoax
Kipindi niko kweny bingo za road construction nilkutana na bi mdashi flan hivi anawawe kinoma akasema tumjengee lami kwake.. Kutoka getini mpk usawa wa barabara tukadhani labda anamakuu ila she was one of the humblest person. Mumewe haukuwa na mawe kumzidi ila alimnyenyekea as if utadhani karogwa.

What I learned is that a woman with integrity and wisdom hawezi kuwa na uhuru kupindukia kumzidi mwanaume especially in the house. Anajua position yaje
 
Back
Top Bottom