Raphael haule
New Member
- Jun 7, 2026
- 2
- 0
Ila sio wanawake wa kitanzaniaPesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii.
Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na sauti na msimamo, si kwa sababu ya majivuno, bali kwa sababu ya kujua thamani yake.
Pesa humsaidia mwanamke kuweka mipaka iliyo wazi katika mahusiano na mazingira yake. Haoni tena ulazima wa kuvumilia dharau, unyanyasaji, au tabia zisizo na heshima. Badala yake, anachagua yale yanayomjenga na kumuinua.
Hii si kiburi, bali ni ishara ya kujiheshimu na kujilinda dhidi ya mambo yanayoweza kumuumiza.
Kwa upande mwingine, jamii mara nyingi huchanganya kujiamini kwa mwanamke mwenye pesa na kiburi.
Mwanamke anaposema “hapana” au kusimama kwa haki yake, huonekana kama ana majivuno. Ukweli ni kwamba pesa zimempa nafasi ya kutokubali ujinga na hali zinazomshusha hadhi.
Hivyo, kile kinachoonekana kama kiburi ni ujasiri wa kusimamia ukweli wake.
Pesa si chanzo cha kiburi kwa mwanamke bali ni nyenzo ya kumwezesha kuishi maisha yenye heshima na uhuru.
Zinampa uwezo wa kuchagua, kujilinda, na kuthamini utu wake. Mwanamke mwenye uwezo wa kifedha anaishi kwa misingi ya thamani, si kwa kuvumilia kila jambo, na hapo ndipo nguvu yake halisi inapodhihirika.
Uko sahihi, sio kwa mwanamke tu ni kwa binadamu yeyote anahitaji nguvu ya maamzi isiyotokana na njaa.Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii.
Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na sauti na msimamo, si kwa sababu ya majivuno, bali kwa sababu ya kujua thamani yake.
Pesa humsaidia mwanamke kuweka mipaka iliyo wazi katika mahusiano na mazingira yake. Haoni tena ulazima wa kuvumilia dharau, unyanyasaji, au tabia zisizo na heshima. Badala yake, anachagua yale yanayomjenga na kumuinua.
Hii si kiburi, bali ni ishara ya kujiheshimu na kujilinda dhidi ya mambo yanayoweza kumuumiza.
Kwa upande mwingine, jamii mara nyingi huchanganya kujiamini kwa mwanamke mwenye pesa na kiburi.
Mwanamke anaposema “hapana” au kusimama kwa haki yake, huonekana kama ana majivuno. Ukweli ni kwamba pesa zimempa nafasi ya kutokubali ujinga na hali zinazomshusha hadhi.
Hivyo, kile kinachoonekana kama kiburi ni ujasiri wa kusimamia ukweli wake.
Pesa si chanzo cha kiburi kwa mwanamke bali ni nyenzo ya kumwezesha kuishi maisha yenye heshima na uhuru.
Zinampa uwezo wa kuchagua, kujilinda, na kuthamini utu wake. Mwanamke mwenye uwezo wa kifedha anaishi kwa misingi ya thamani, si kwa kuvumilia kila jambo, na hapo ndipo nguvu yake halisi inapodhihirika.
yeah hapo upo sawa dadang, nikweli mala zote mwanamume humpa uhulu mke wake atimize mambo madogo madogo lakn likija suala la maamzi makubwa yanayohusu familia yenu ni lazima mwanamke uwe mtoa maoni tu, haijalishi unakipato cha aina gani. ndo mana nilipinga lile andiko dada.huwezi kufanya maamuzi bila kumshirikisha mume ndio, lakini kuna mambo madogo madogo hayana ulazima mpaka mume apitishe au ataarifiwe tu!
That's personal.how old are u?
Mwanamke hatambui hiloMoney has a unique spiritual gravity that can easily distort a person's character if they aren't careful.
Inahitaji Hekima, busara na kutumia logic zaidi katika kufanya maamuzi. Hii ndio sababu wanawake wenye nafasi za CEO ni wachache sana; kutokana na uhalisia kwamba mwanamke ni kiumbe mwenye hisia zaidi kuliko logic. Hisia katika kufanya maamuzi yanayoathiri wengi ni hatari zaidi ukilinganisha na wanaume ambao wameonyesha kuwa na utulivu na wenye hekima na busara katika maamuzi yao.
It’s not a scam rafikimarriage is scam!
we are cooked!
kwa wanawake walio wengi hata akiwa na hela , Familia yake (mume wake na watoto) wanaweza kunufaika nayo kwa kiasi kidogo sana kwani, walio wengi huelekeza nguvu zaidi kwao walikozaliwa kuliko kujenga familia yao (yeye na mume wake)Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii.
Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na sauti na msimamo, si kwa sababu ya majivuno, bali kwa sababu ya kujua thamani yake.
Pesa humsaidia mwanamke kuweka mipaka iliyo wazi katika mahusiano na mazingira yake. Haoni tena ulazima wa kuvumilia dharau, unyanyasaji, au tabia zisizo na heshima. Badala yake, anachagua yale yanayomjenga na kumuinua.
Hii si kiburi, bali ni ishara ya kujiheshimu na kujilinda dhidi ya mambo yanayoweza kumuumiza.
Kwa upande mwingine, jamii mara nyingi huchanganya kujiamini kwa mwanamke mwenye pesa na kiburi.
Mwanamke anaposema “hapana” au kusimama kwa haki yake, huonekana kama ana majivuno. Ukweli ni kwamba pesa zimempa nafasi ya kutokubali ujinga na hali zinazomshusha hadhi.
Hivyo, kile kinachoonekana kama kiburi ni ujasiri wa kusimamia ukweli wake.
Pesa si chanzo cha kiburi kwa mwanamke bali ni nyenzo ya kumwezesha kuishi maisha yenye heshima na uhuru.
Zinampa uwezo wa kuchagua, kujilinda, na kuthamini utu wake. Mwanamke mwenye uwezo wa kifedha anaishi kwa misingi ya thamani, si kwa kuvumilia kila jambo, na hapo ndipo nguvu yake halisi inapodhihirika.
Yuko sahihi, huo upande tu ndio tumerekebisha! msome between the lines, bila kujiweka kwenye position yoyote!yeah hapo upo sawa dadang, nikweli mala zote mwanamume humpa uhulu mke wake atimize mambo madogo madogo lakn likija suala la maamzi makubwa yanayohusu familia yenu ni lazima mwanamke uwe mtoa maoni tu, haijalishi unakipato cha aina gani. ndo mana nilipinga lile andiko dada.
😏That's personal.
Ndio inavyokuwa na inawapa uhuru ndio mana tunawaona hao wenye hela wakina Zari, Shilole,Madam Rita nk, wakiwa wanabadilisha vijana aka serengeti boy, sasa sijajua bora msimamo au kupoteza heshima mbele ya jamii yako. Wanawake wenye hela tunawaona huku mwendo wa kubadilisha serengeti boys na waume za watu, ila si shangai kwani fedha zimewapa uhuru ambao unashusha heshima zao au labda kubadilisha wanaume hovyo hovyo sio ujinga na mara zote hutumia hela zao kuendesha hao mahusiano.Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii.
Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na sauti na msimamo, si kwa sababu ya majivuno, bali kwa sababu ya kujua thamani yake.
Pesa humsaidia mwanamke kuweka mipaka iliyo wazi katika mahusiano na mazingira yake. Haoni tena ulazima wa kuvumilia dharau, unyanyasaji, au tabia zisizo na heshima. Badala yake, anachagua yale yanayomjenga na kumuinua.
Hii si kiburi, bali ni ishara ya kujiheshimu na kujilinda dhidi ya mambo yanayoweza kumuumiza.
Kwa upande mwingine, jamii mara nyingi huchanganya kujiamini kwa mwanamke mwenye pesa na kiburi.
Mwanamke anaposema “hapana” au kusimama kwa haki yake, huonekana kama ana majivuno. Ukweli ni kwamba pesa zimempa nafasi ya kutokubali ujinga na hali zinazomshusha hadhi.
Hivyo, kile kinachoonekana kama kiburi ni ujasiri wa kusimamia ukweli wake.
Pesa si chanzo cha kiburi kwa mwanamke bali ni nyenzo ya kumwezesha kuishi maisha yenye heshima na uhuru.
Zinampa uwezo wa kuchagua, kujilinda, na kuthamini utu wake. Mwanamke mwenye uwezo wa kifedha anaishi kwa misingi ya thamani, si kwa kuvumilia kila jambo, na hapo ndipo nguvu yake halisi inapodhihirika.
Inaweza kuwa kweli ila nature ni Mwalimu mzuri sana.Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii.
Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na sauti na msimamo, si kwa sababu ya majivuno, bali kwa sababu ya kujua thamani yake.
Pesa humsaidia mwanamke kuweka mipaka iliyo wazi katika mahusiano na mazingira yake. Haoni tena ulazima wa kuvumilia dharau, unyanyasaji, au tabia zisizo na heshima. Badala yake, anachagua yale yanayomjenga na kumuinua.
Hii si kiburi, bali ni ishara ya kujiheshimu na kujilinda dhidi ya mambo yanayoweza kumuumiza.
Kwa upande mwingine, jamii mara nyingi huchanganya kujiamini kwa mwanamke mwenye pesa na kiburi.
Mwanamke anaposema “hapana” au kusimama kwa haki yake, huonekana kama ana majivuno. Ukweli ni kwamba pesa zimempa nafasi ya kutokubali ujinga na hali zinazomshusha hadhi.
Hivyo, kile kinachoonekana kama kiburi ni ujasiri wa kusimamia ukweli wake.
Pesa si chanzo cha kiburi kwa mwanamke bali ni nyenzo ya kumwezesha kuishi maisha yenye heshima na uhuru.
Zinampa uwezo wa kuchagua, kujilinda, na kuthamini utu wake. Mwanamke mwenye uwezo wa kifedha anaishi kwa misingi ya thamani, si kwa kuvumilia kila jambo, na hapo ndipo nguvu yake halisi inapodhihirika.
I will beg to differ on that. It depends na malezi na kama ana experience ya kushika pesa hiyo before au hajatokea kwenye shida.Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii.
Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na sauti na msimamo, si kwa sababu ya majivuno, bali kwa sababu ya kujua thamani yake.
Pesa humsaidia mwanamke kuweka mipaka iliyo wazi katika mahusiano na mazingira yake. Haoni tena ulazima wa kuvumilia dharau, unyanyasaji, au tabia zisizo na heshima. Badala yake, anachagua yale yanayomjenga na kumuinua.
Hii si kiburi, bali ni ishara ya kujiheshimu na kujilinda dhidi ya mambo yanayoweza kumuumiza.
Kwa upande mwingine, jamii mara nyingi huchanganya kujiamini kwa mwanamke mwenye pesa na kiburi.
Mwanamke anaposema “hapana” au kusimama kwa haki yake, huonekana kama ana majivuno. Ukweli ni kwamba pesa zimempa nafasi ya kutokubali ujinga na hali zinazomshusha hadhi.
Hivyo, kile kinachoonekana kama kiburi ni ujasiri wa kusimamia ukweli wake.
Pesa si chanzo cha kiburi kwa mwanamke bali ni nyenzo ya kumwezesha kuishi maisha yenye heshima na uhuru.
Zinampa uwezo wa kuchagua, kujilinda, na kuthamini utu wake. Mwanamke mwenye uwezo wa kifedha anaishi kwa misingi ya thamani, si kwa kuvumilia kila jambo, na hapo ndipo nguvu yake halisi inapodhihirika.
If u tell me yours I'll tell you mine
Kipindi niko kweny bingo za road construction nilkutana na bi mdashi flan hivi anawawe kinoma akasema tumjengee lami kwake.. Kutoka getini mpk usawa wa barabara tukadhani labda anamakuu ila she was one of the humblest person. Mumewe haukuwa na mawe kumzidi ila alimnyenyekea as if utadhani karogwa.I will beg to differ on that. It depends na malezi na kama ana experience ya kushika pesa hiyo before au hajatokea kwenye shida.
Kama ametoka kwenye familia duni, akashika pesa kidogo tu. Kiburi chake si cha hii because anakuwa hana descpline, hana control
For those waliotoka kwenye successful family hutoona hizo tabia or huwa wana react kawaida
So kusema hawavumiilii ujinga ni massive hoax