Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Godamn right brother lakini such souls are very rareKipindi niko kweny bingo za road construction nilkutana na bi mdashi flan hivi anawawe kinoma akasema tumjengee lami kwake.. Kutoka getini mpk usawa wa barabara tukadhani labda anamakuu ila she was one of the humblest person. Mumewe haukuwa na mawe kumzidi ila alimnyenyekea as if utadhani karogwa.
What I learned is that a woman with integrity and wisdom hawezi kuwa na uhuru kupindukia kumzidi mwanaume especially in the house. Anajua position yaje
I wish universe iniletee such a soul brother.Godamn right brother lakini such souls are very rare
Everybody knows mine!If u tell me yours I'll tell you mine
It tells alot about how the man treats her, hii ndio part ambayo wengi tutaiskip kuizungumzia hapa.Kipindi niko kweny bingo za road construction nilkutana na bi mdashi flan hivi anawawe kinoma akasema tumjengee lami kwake.. Kutoka getini mpk usawa wa barabara tukadhani labda anamakuu ila she was one of the humblest person. Mumewe haukuwa na mawe kumzidi ila alimnyenyekea as if utadhani karogwa.
What I learned is that a woman with integrity and wisdom hawezi kuwa na uhuru kupindukia kumzidi mwanaume especially in the house. Anajua position yaje
Why don't you think of her first mpk uende kwenye hiyo perspective?It tales alot about how the man treats her, hii ndio part ambayo wengi tutaiskip kuizungumzia hapa.
Also ile point ya survival nilikujibu kule kwenye uzi wa prida. Sijui ulicheck?It tales alot about how the man treats her, hii ndio part ambayo wengi tutaiskip kuizungumzia hapa.
Ngoja nikaangalie.Also ile point ya survival nilikujibu kule kwenye uzi wa prida. Sijui ulicheck?
You have a good point. Naelewa kuna mambo ambayo ili yaende ni lazima mtu uzingatie/usimamie kile unachotoa na si unachopokea.Why don't you think of her first mpk uende kwenye hiyo perspective?
Kwanini tusifikiri ya kuwa, she has wisdom and integrity ya Kujua anahitaji mwanaume wa aina gani? Ambae anajua madhaifu ya mumewe na bado akayabeba? Ambaye anajua kuwa a man in the house is a leader and good leadership means I have to create room for that to my man!?
I got you, just like the way you got meYou have a good point. Naelewa kuna mambo ambayo ili yaende ni lazima mtu uzingatie/usimamie kile unachotoa na si unachopokea.
But submission, utii or whatever we call it sio inborn , ni learned behavior. By this naona huyo mwanadada anamuheshimu/mnyenyekea mumewe sababu mumewe kuna namna anamfanyia, binadamu katika ubinadamu wake hawezi kusubimit kwa” muda mrefu” sehemu ambayo ina kasheshe kwake, hata kama mtu huyo ana tabia nzuri kiasi gani (ambayo umeiita wisdom/integrity)
Labda ujinga ni kulewa akiwa na hela.Kabla yayote mkuu niambie maan ya ujinga nini???