Matokeo mnaanza kusingiziwa nyinyi๐๐๐Haya mambo ni hatari sana. Dhuluma town ni kitu cha kawaida. Binafsi kwa mjini nimekuwa nikikwepa mno hela za madili... 40 ikifika huwa ni mbaya inavuruga kabisa mwelekeo mzima wa maisha yaliyobakia.
Benki rejesho ni kwenye simu,tatizo wale watu hawakunitilia sana maanani yaani walijua dili lazima itiki,mimi ni mtaratibu sana kwenye ulimwengu halisi ninapokuwa na watu ambao sijawazoea,hivyo walijua mimi ni mshamba mmoja tuDah,
We ni jasiri sana aisee.
Kwenye ile benki uliyochukua mkopo ulikuwa huendi tena?
Hawakujua ilipo biashara yako wala nyumbani kwako?
Hujui ukiitiwa fursa, wewe ndo fursa..!! ๐น๐น๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUnajua kilichoniuma ni kuwa kwenye game kumbe we mwenyewe ndio target!dah tuangushie file ikikupendeza mdogo wangu tu enjoy mambo ya waabeshi
Washarudishwa sana..!! ๐น๐น๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ dah kwa hiyo unaambiwa lipia kilemba na frame hupewi?dah lazima urudi Tunduma
Hata nikisema mm n yatima bado watanipiga? ๐Washarudishwa sana..!! ๐น๐น
Juzi kati kuna dogo kapigwa 300M
Watu hawaogopi hata ukisema utawaroga..!!
Wenyeviti vibuyu kweli. ๐น๐นKabisa kabisa yaani!hamna watu washenzi kama wenyeviti siku ile tunaondoka wanasisitiza wapelekwe wateja wengine kuna majumba mazuri mazuri yanatoa hadi 200M๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃnikasema makibuyu!
Na humo Kariakoo kwenu ndio hatari na nusu!uzuri wako mdogo wangu mtukutu tukutu ndio pona yako!si unanijuaga mimi kale ka uoga kangu๐๐๐Hujui ukiitiwa fursa, wewe ndo fursa..!! ๐น๐น
Hao waabeshi ninaowajua washawahi kuwapiga hadi WAZITO. Hawa wanaojiita mapapaa na madezee mjini ndo waabeshi wenyewe OG achana na huyo kaka Muddy na Bena..!!
Kuna waziri kipindi cha JK aliwahi kuletewa mganga feki watoto wa mjini wakapiga pesa wakatambaa..!!
Hivi unawajua waabeshi wewe?Hata nikisema mm n yatima bado watanipiga? ๐
Huku kuna michezo ya kupewa dollar fake sio poa..!! ๐น๐นNa humo Kariakoo kwenu ndio hatari na nusu!uzuri wako mdogo wangu mtukutu tukutu ndio pona yako!si unanijuaga mimi kale ka uoga kangu๐๐๐
La Mchaga mmoja hivi lipo KorogweNi lile la stop over la mnyalu ??
Anyway, Hujanijibu kule kwenye gitaa ๐ธHivi unawajua waabeshi wewe?
Watakachokusaidia nauli ya kurudi kwenu..!! ๐น๐น
Tena kipindi hiki wapo wengi si mianya imeachiwa..!! Kipindi cha Magu wengi walikimbia. Awamu ya JK na hii watu watatapeliwa sana..!!Waabeshi wana roho ngumu sana ๐
Km upuuzi sijibu. Ngoja nikaangalie..!!Anyway, Hujanijibu kule kwenye gitaa ๐ธ
๐๐๐Wenyeviti vibuyu kweli. ๐น๐น
Kimara washawahi kuuza ghorofa la mtu na wenyewe wakiwa ndani..!!
Ishu yenyewe kupiga gitaa unategemea nnKm upuuzi sijibu. Ngoja nikaangalie..!!