Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Pale nilikuwa sijakutambua bado.
Ingekuwa tuna ongea PM, kuongopeana 'I luv yuu' ungenikamata vizuri tu hili parody...πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜†πŸ˜†
Ile unaiomba kwa mtu wako bila kujua, yeye anakuchora tu.
Mi mtu akiniambia I love you namuogopa 😹😹😹

Ningecheka sana ningeona mtongozo wako aiseee..!!
 
Na wanajua kumwaga hela hawana baya!Wanajua kuzitumbua haswaaa
 
Poapoa! Kuna mwana anaitwa Ben'ga vipi unampata au chacha!
Kuna mwaka walipiga dili na papa msofe halafu wakataka wamdhulumu! aliwatembezea pila wote.
Sio
Sio walimu tu; kuna mwamba alimsokota mdada wa watu;tena inspector na cheo chake akavuta 11mil akapewa mwamba msukuma moja hivi. Akalala mbele na mpunga. Mama kaambiwa ngoja nikafanyebiashara ya Ng'ombe. Mama alihadaiwa na mapenzi moto moto; mixer ndoa na nini na nini. Cha ajabu mama aliachana na mumewe wa kwanza nae alikuwa poti. Ogopa mama aliamua na Jamaa mpya waishi wote na mhabeshi akahamia kwenye kotaz zao zile bila hiyana. Lakini muhabeshi hakuogopa gwanda Wala cheo. Kapiga hela alafu mama ana cheo central moja kubwa hapo kanda ya ziwa. Yupo anapambana na marejesho benki mpaka leo hii.

Aisee watu wana roho ngumu. Sembuse useme wewe yatima.

Maneenah. Wahabesh. Hatari na nusu
 
Kuna lingine pale stop over like barabarani tu waliuzwa wakiwa ndani mpaka leo wanahangaika nadhani hata mwenye kiti aliyeuza keshastaafu,kajamba kawaachia shuziπŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹😹 Mjini raha sana..!!
Hapo mwenyekiti anachekea pembeni..!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hao wa kuitwa wahabeshi ni changamoto
 
Benki rejesho ni kwenye simu,tatizo wale watu hawakunitilia sana maanani yaani walijua dili lazima itiki,mimi ni mtaratibu sana kwenye ulimwengu halisi ninapokuwa na watu ambao sijawazoea,hivyo walijua mimi ni mshamba mmoja tu
Hongera sana. Hii lifestyle yako ni kama yangu. Mimi hadi namaliza chuo nilikuwa naitwa mpole. Kuna mama yangu mdogo hadi alikuwa ananitolea maneno ya kashfa kuwa nimezubaa. Nilipoanza biashara yangu binafsi ndo polepole jina la mpole likaanza kutoweka. Kwenye awamu ya pili ya JK kuna tenda jamaa mmoja aliyekuwa anasifiwa mjanja hatari akawa kamaliza kuongea na wahusika kilichokuwa kimebaki ni yeye kukamilisha taratibu fulani na kusaini tenda. Siku moja kabla ya tukio nikajitokeza kimyakimya na kuibeba hiyo tenda. Kilichofuatia ni mayowe maana ilikiwa ni hela nyingi. Kwa mimi ndo ilikuwa hela yangu nyingi ya kwanza. Kutokea hapo hadi leo wanaoniita mpole ni wale hawanijui kabisa.
 
Wale ukidate nao ukimfumania unapewa ticket ya pole ukapumzike Dubai na shopping juu 😹😹

Ukidate nao usiwe na wivu, ujue pesa yake ndo inakudate..!!

Pesa kwao kila muda inaitika, na tabia ya pesa bana inafata wanaozichezea..!!
hiyo aya ya mwisho bhana msumari wa moto sana yaani kameniumaa
 
Wale ukidate nao ukimfumania unapewa ticket ya pole ukapumzike Dubai na shopping juu 😹😹

Ukidate nao usiwe na wivu, ujue pesa yake ndo inakudate..!!

Pesa kwao kila muda inaitika, na tabia ya pesa bana inafata wanaozichezea..!!
Alooooh!wivu wa nini J mimi?nitakula wivuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ye nikimfumania animation tu ticket ya EK!
 
Vibuyu kama vibuyu!hawana gharama wale pesa zao ndogo ndogo sanaπŸ˜‚
Wale ukimpa bia 2 na kitimoto ukamjaza na laki aahh yako yanakuendea..!! 😹😹

Vibuyu mpaka mganga mzuri wa kukusaidia wanamjua wanakupa connection..!!

Kuna story moja ya mimi na bff wangu tulienda kwa mganga mmoja tukawakuta wadada wanataka dawa za kumroga boss wa Simba tulicheka sana maniner..!!

Halafu wadada wamesimama pesa ipo lakini bado wanahitaji zingine..!! Aiseee! Dar ina mambo mengi sana..!! 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…