Upo sahihi!wana utapeli tu wa kimjinimjini ukijichanganya unapigwa!Joh kasukuma kete zake vizuri sana, Hayo mengine ni hadithi zako tu.
Huyo jamaa angekua na uwezo wa kukata watu vichwa, asingekua anatumia njia ndefu hiyo ya kupata hela.
Akijitahidi sana arudi kwa shekhe Amsomee marijuani.
Mimi na yeye hatujawahi onana tena baada ya kutoka pale benki tuliwasiliana kama siku tatu ananipanga tukazungumze nikaanza pokea na vitisho kutoka kwa Muddy akasema yeye ndio contact nitaona nikaona wasinizingue nikatupa line.Ndiyo hivyo Joh ,japo sikudhani baada ya mimi kama angeendelea na hizo mbishe maana aliapa anaacha ila ndiyo vile tabia ni kama ngozi .
Hayo ni ya kwako mimi yangu nimeshamalizaJoh kasukuma kete zake vizuri sana, Hayo mengine ni hadithi zako tu.
Huyo jamaa angekua na uwezo wa kukata watu vichwa, asingekua anatumia njia ndefu hiyo ya kupata hela.
Akijitahidi sana arudi kwa shekhe Amsomee marijuani.
Oya huruma naona mimiMimi na yeye hatujawahi onana tena baada ya kutoka pale benki tuliwasiliana kama siku tatu ananipanga tukazungumze nikaanza pokea na vitisho kutoka kwa Muddy akasema yeye ndio contact nitaona nikaona wasinizingue nikatupa line.
Kwa hio uliwapa million 2 kwenye million 22 kisha ukaanza kurudisha rejesho la bank na biashara fake na nyumba fake, na rejesho ushamaliza mpaka sasa au bado?Uko sahihi sana!ila nisingeweza kuchafua recoding zangu halafu hao ndio mafia sijui wachukue hela kirahisi wapotee,kikubwa niliwalipa hela yao ya mchakato japo kweli walitangaza state of emergency!
Mimi na yeye hatujawahi onana tena baada ya kutoka pale benki tuliwasiliana kama siku tatu ananipanga tukazungumze nikaanza pokea na vitisho kutoka kwa Muddy akasema yeye ndio contact nitaona nikaona wasinizingue nikatupa line.
Muddy yupo last time alisota kiasi chake pale Central baada ya tukio lingine kwa gabachori wa mbezi walimpiga m70 ,mgao wa afande kilowoko wakala na story zikawa nyingi akamsweka ndani .Mimi na yeye hatujawahi onana tena baada ya kutoka pale benki tuliwasiliana kama siku tatu ananipanga tukazungumze nikaanza pokea na vitisho kutoka kwa Muddy akasema yeye ndio contact nitaona nikaona wasinizingue nikatupa line.
Michezo michezo ya kupigana mchanga wa macho na kuchezeshana akili tu hakuna kitu hapo ila mambo ya biashara na dili chafu inabidi uwe smart uwe safi hutakiwi kuwafanyia wengine mabaya la sivyo kuna tukio mbele linakuja na wewe haujui litatokeaje yaan inaweza ichukue miaka ila kuna tukio mbele utakutana nalo tu ukishaanza kucheza mbaya na wewe jiandae kuchezewa mbayaBoya tu huyo. Ujanja wake mkubwa ni shekhe 😁
Saa ngapi na lini? AhahahYes.
Mkuu unawajua wote,au we mmoja wao japo ushaacha mkuu!Muddy yupo last time alisota kiasi chake pale Central baada ya tukio lingine kwa gabachori wa mbezi walimpiga m70 ,mgao wa afande kilowoko wakala na story zikawa nyingi akamsweka ndani .
Pona yake kilowoko alipotupwa kagera ndiyo kucheza na akina Rashidi akarudi uraiani.
Amejenga kimara mwisho kule bonyokwa karibu na shule ya Midalnds .
Ila Bena the boss yupo mjini hapa hapa japo sikujua bado anaendelea na hizo pigo zake .
Nje ya mada!Aiseee, Mpaji Mungu pitia huku
Dah hapana sio mmoja wao kaka ila majukumu yangu mengine yamenikutanisha na hawa wamba mara zote .Mkuu unawajua wote,au we mmoja wao japo ushaacha mkuu!
Poapoa! Kuna mwana anaitwa Ben'ga vipi unampata au chacha!Dah hapana sio mmoja wao kaka ila majukumu yangu mengine yamenikutanisha na hawa wamba mara zote .
Hivyo sio jina langu nikikutajia hata PM basi kuna tapeli asiyenijua mkuu sababu wengi tunagumiana kwenye utafutaji wa ridhiki .
Unataka kuniexpose mkuu wangu ,nawajua ndiyo ila kama mnawasiliana na msofe muulize vipi baada ya kuwatembezea pila nini kilifuata temeke mikoroshini kwa kile kimada chake ?Poapoa! Kuna mwana anaitwa Ben'ga vipi unampata au chacha!
Kuna mwaka walipiga dili na papa msofe halafu wakataka wamdhulumu! aliwatembezea pila wote.
Wewe unaujua mchoro mzima ulivyoDah hapana sio mmoja wao kaka ila majukumu yangu mengine yamenikutanisha na hawa wamba mara zote .
Hivyo sio jina langu nikikutajia hata PM basi kuna tapeli asiyenijua mkuu sababu wengi tunagumiana kwenye utafutaji wa ridhiki .
Walifanyaje ndio kusema ikawa 20 juu ya 10 au?Unataka kuniexpose mkuu wangu ,nawajua ndiyo ila kama mnawasiliana na msofe muulize vipi baada ya kuwatembezea pila nini kilifuata temeke mikoroshini kwa kile kimada chake ?
Somebody Farida ?