MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Napamiss sana hapo town ,nahisi kama isingekuwa misala kazini na mwisho kutupwa chimbo kwa akina Mwaisa huku ,hao wamba wangekuwa wamenimaliza kama sio kwa shaba basi kunikata kichwa kabisa au kuniroga maana niliwapelekea moto kama kama dragon .Namshukuru sana sir God yaani
Kwa hyo mzee wakakuchomoa dar mpaka mbeya,Napamiss sana hapo town ,nahisi kama isingekuwa misala kazini na mwisho kutupwa chimbo kwa akina Mwaisa huku ,hao wamba wangekuwa wamenimaliza kama sio kwa shaba basi kunikata kichwa kabisa au kuniroga maana niliwapelekea moto kama kama dragon .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Binafsi nilipotea mjini sana!hawa ndio wanaoondoka na vichwa na kwenda kuficha kusikojulikana....ukisikia pah,usiwakalie kooni mbogamboga mji una mengi huuNapamiss sana hapo town ,nahisi kama isingekuwa misala kazini na mwisho kutupwa chimbo kwa akina Mwaisa huku ,hao wamba wangekuwa wamenimaliza kama sio kwa shaba basi kunikata kichwa kabisa au kuniroga maana niliwapelekea moto kama kama dragon .
Daktari ,daktari daktari ,nimekuita mara tatu meza fundo kakaKwa hyo mzee wakakuchomoa dar mpaka mbeya,
Agiza bia nakulipia mkuu.Daktari ,daktari daktari ,nimekuita mara tatu meza fundo kaka
Mh ,tunawahimiza watu wasinywe pombe kulinda Figo zao na maini alafu wewe daktari unaniqgizia bia kaka?😀Agiza bia nakulipia mkuu.
Hiku Kuna nn ,MamiiNyie wenye jiji lenu mbona siwaoni kwenye mastory ya town ? Lamomy Tresor Mandala Grahams ERoni ila nimemkumbuka sana Analyse
Limshangazi fulani tapeli🤣🤣🤣Mbona mapema sana na Savana jamani?au na wewe ndio mmoja wa wale mashangazi mnakula tu bata mjini?
Sis nimesoma huku nacheka sana huwezi amini aiseee..!! 😹😹Nyie wenye jiji lenu mbona siwaoni kwenye mastory ya town ? Lamomy Tresor Mandala Grahams ERoni ila nimemkumbuka sana Analyse
Kumbe majibu unayo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Binafsi nilipotea mjini sana!hawa ndio wanaoondoka na vichwa na kwenda kuficha kusikojulikana....ukisikia pah,usiwakalie kooni mbogamboga mji una mengi huu
Hongera sanaWe acha ni hatari sana hakuna kuzubaa