Nilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili
Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua
Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo:
Kodi, bima za afya za watoto na mama yao, maji, umeme, ving'amuzi, ada ya mtoto aliyeanza kusoma, mavazi na mengineyo
Je ni kiasi gani kinafaa kumwachia mwanamke ya kuweza kuwalisha ile standard kabisa kwa maisha yetu haya ya kitanzania kwa mwezi