Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Mkuu huwezi kumsaidia mtu kupanga matumizi hata siku1.Kwahiyo,hao uliowataja ndio formula ya maisha?
Nawewe nikuulize, Mleta maada ametuuliza sisi swali, Je sisi ndio formula yake ya Maisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huwezi kumsaidia mtu kupanga matumizi hata siku1.Kwahiyo,hao uliowataja ndio formula ya maisha?
Kabisa ijapo usifuate mkumboo, Kuna matumizi muhimu, Matumizi matamanio na Matumizi yasiyo muhimu kabisa.Mkuu ndo mana nmesema maisha yetu sisi watanzania kwa wingi wetu tunayoishi kuafford basics needs na kubakiwa na savings kdgo
Ndugu yangu wa JD.Nilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili
Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua
Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo:
Kodi, bima za afya za watoto na mama yao, maji, umeme, ving'amuzi, ada ya mtoto aliyeanza kusoma, mavazi na mengineyo
Je ni kiasi gani kinafaa kumwachia mwanamke ya kuweza kuwalisha ile standard kabisa kwa maisha yetu haya ya kitanzania kwa mwezi
Chakula na mambo madogo madogo kama saloon nk,mavazi na vitu vingine kuna bajeti yakeNi kula tu pekee mkuu?
takushauli as my sonNilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili
Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua
Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo:
Kodi, bima za afya za watoto na mama yao, maji, umeme, ving'amuzi, ada ya mtoto aliyeanza kusoma, mavazi na mengineyo
Je ni kiasi gani kinafaa kumwachia mwanamke ya kuweza kuwalisha ile standard kabisa kwa maisha yetu haya ya kitanzania kwa mwezi
takushauli as my sonNilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili
Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua
Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo:
Kodi, bima za afya za watoto na mama yao, maji, umeme, ving'amuzi, ada ya mtoto aliyeanza kusoma, mavazi na mengineyo
Je ni kiasi gani kinafaa kumwachia mwanamke ya kuweza kuwalisha ile standard kabisa kwa maisha yetu haya ya kitanzania kwa mwezi
Mkuu hapo umekosea mawazo yako ni muhimu katika kusaidia kuchukua maamuziMkuu huwezi kumsaidia mtu kupanga matumizi hata siku1.
Nawewe nikuulize, Mleta maada ametuuliza sisi swali, Je sisi ndio formula yake ya Maisha?
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako,mimi ni mwajiriwa so kipato cha mwezi ni constanttakushauli as my son
inategemea na mzunguko wako wa kifedha ulivyo kwa wakati uliopo. Siku unayo ya kutosha wape vya kutosha, even +, siku hauko sawa wahudumie vya muhimu tu.
Lakini, i think budget ya mwezi fanya hivi,
Nunua vyakula vya lazima nyumbani vya mwezi mzima, sjui mchele, ngano nk, ambayo for 2 kids + mama, budget ya 300k is enough, mpe 300k mkeo sjui mchepuko, then yeye ndio atajua anaibudget vipi ili watoto wale vizuri mwezi mzima, chakula cha kutosha na fridge lijae. Akiona ndogo akalalamika, usimuongeze hata cent 1 ili ajue jinsi ya kujibudget, yeye ndo mama, inabidi ajifunze kutumia pesa vizuri maisha yaende, aliua biashara sasa aone vya kuomba vilivyo vigumu.
Maisha ya kawaida ndio yapi hayo? Vipato havifanani, mlo wenu ukoje breakfast ya kawaida kwenu ikoje ina mayai, siagi, jamu, siagi ya karanga mkate, soseji, maziwa na matunda?Nilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili
Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua
Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo:
Kodi, bima za afya za watoto na mama yao, maji, umeme, ving'amuzi, ada ya mtoto aliyeanza kusoma, mavazi na mengineyo
Je ni kiasi gani kinafaa kumwachia mwanamke ya kuweza kuwalisha ile standard kabisa kwa maisha yetu haya ya kitanzania kwa mwezi
Andaa notebook andika vitu muhimu vya kununua Kwa mwez na gharama utazotumiaChakula na mambo madogo madogo kama saloon nk,mavazi na vitu vingine kuna bajeti yake
Mkuu,kawaida yani kama siku familia inatamani kula mlo wa aina flan basi unapatikana bila shida yoyote,hata ulivyoviorodhesha hapo ni vya kawaidaMaisha ya kawaida ndio yapi hayo? Vipato havifanani, mlo wenu ukoje breakfast ya kawaida kwenu ikoje ina mayai, siagi, jamu, siagi ya karanga mkate, soseji, maziwa na matunda?
Lunch na dina inakuwa na nini? Kuku, samaki, ng'ombe matunda na juisi kama ni hivo nahisi unahitaji angalau umpe tsh 1,400,000 kwa mwezi.
Ila kama milo yenu haina hayo mambo, ama yapo siku moja moja nadhani 500,000 ni fair
Mkuu majibu yako yaonyesha wewe ni mbangaizaji mwenzetu, kwa hiyo mpe 300,000 hadi 500,000 ila uridhike na chochote atakachopika manake bajeti yako ni ndogo na familia ni kubwa ili iwatoshe kumaliza mweziMkuu,kawaida yani kama siku familia inatamani kula mlo wa aina flan basi unapatikana bila shida yoyote,hata ulivyoviorodhesha hapo ni vya kawaida
Mkuu hivyo vitu vyote nmempa uhuru yeye wa kutomwingilia hayo mambo ya jikoniAndaa notebook andika vitu muhimu vya kununua Kwa mwez na gharama utazotumia
Vya kununua
Mchele
Unga
Ngano
Mafuta ya kula,sukari
Viungo nunua pia na mboga zinazotunzika kma nyama ya kuku na nyombe Kisha tunza kumbukumbu then Mpe mkeo pesa budget kwaajili ya emergency matunda na mbogamboga
Anza kuangalia mzunguko huo wa vitu utaishia wapi na Kwa muda gani
Vikiisha kati kati ongeza Tena had mwez ukamilike
Rudi kwenye note book Yako piga hesabu kias chotr na hali ya maisha ilivokuwa km mlikulaa vizuri bas ni sawa kma Ilikuwa nyanya mchuz mwing bas ongeza bajet pia utakuwa ushajua Nini kinatosha Kwenye nyumbayako kwa mwez japo Kwa kukisia kunakoendana na uhalisia