Chief yamekuwa hayo tenalaki tano elfu sitini na sita, na hamsini point sufuri.
tulia..Chief yamekuwa hayo tena
Nimekuwa nikifanya hivyo kumpa bila kumkadiria but ninayompatia unakuta haifiki hata mwezi anasema imeisha na kwavile mimi nafanyia shughuli zangu nje ya Dar,kurudi kwangu huwa ni weekend tuni ngumu kumkadiria kwa kweli..mpe akihitaji wala usipige mahesabu sana itakuchanganya
ongeza bidiiNimekuwa nikifanya hivyo kumpa bila kumkadiria but ninayompatia unakuta haifiki hata mwezi anasema imeisha na kwavile mimi nafanyia shughuli zangu nje ya Dar,kurudi kwangu huwa ni weekend tu
Nunua mahitaji ya vyakula ambavyo vinakaa kwa muda mrefu,Nimekuwa nikifanya hivyo kumpa bila kumkadiria but ninayompatia unakuta haifiki hata mwezi anasema imeisha na kwavile mimi nafanyia shughuli zangu nje ya Dar,kurudi kwangu huwa ni weekend tu
Umefikiria vibaya mkuu,hujui kuwa kuna baadhi ya wanawake wana matumizi mabayaMwanaume hawezi uliza swali Kama hili maana hatoweza ongoza familia
Ni kula tu pekee mkuu?Chief yamekuwa hayo tena
Umefikiria vibaya mkuu,hujui kuwa kuna baadhi ya wanawake wana matumizi mabaya
Kwahiyo,hao uliowataja ndio formula ya maisha?Kama Billnass na nandy wanatumia milioni3 kwa mwezi na wana mtoto mdogo kabisa basi kwa wewe mkuu fanya milioni7.
Kwa maana hiyo matumizi mazuri unayajua. Basi acha kiasi kinachotosheleza hayo matumizi.Umefikiria vibaya mkuu,hujui kuwa kuna baadhi ya wanawake wana matumizi mabaya
Mkuu mambo hayo mengine kuhusu mambo ya jikon sihusiki nayo,ndo mana niwe mkwel kwa mwezi namwingiziaga laki 8 bank,nikijua kwa maisha yetu ya kitanzania itamtosha but mwezi unakuta hauishi anadai hela imeisha,ndo maana nimeuliza wadau ili niambulie mawili matatu ili nipate pa kuanziaNunua mahitaji ya vyakula ambavyo vinakaa kwa muda mrefu,
Kama vila Maharage,Mchele na vinginevyo,kama anayo Friji/Freezer,unanunu nyama,Kuku na Samaki unaweka kwenye freezer,
Inabaki unampa hela ya matumizi madogomadogo tu kama vile kununua Gesi,viungo vya chakula..
Pia unakua unampa extra money for emergency,hii njia itakupunguzia gharama pia.
Mkuu ndo mana nmesema maisha yetu sisi watanzania kwa wingi wetu tunayoishi kuafford basics needs na kubakiwa na savings kdgoKama Billnass na nandy wanatumia milioni3 kwa mwezi na wana mtoto mdogo kabisa basi kwa wewe mkuu fanya milioni7.
Kama huhusiki na kutaka kujua jinsi ya matumizi ya hiyo hela basi sina cha kukusaidia,na inawezekana usipate msaada wowote humu,Mkuu mambo hayo mengine kuhusu mambo ya jikon sihusiki nayo,ndo mana niwe mkwel kwa mwezi namwingiziaga laki 8 bank,nikijua kwa maisha yetu ya kitanzania itamtosha but mwezi unakuta hauishi anadai hela imeisha,ndo maana nimeuliza wadau ili niambulie mawili matatu ili nipate pa kuanzia