Kweli mkuu tunabangaiza hivyo ili maisha yasonge nashukur kwa mawazo yako mkuuMkuu majibu yako yaonyesha wewe ni mbangaizaji mwenzetu, kwa hiyo mpe 300,000 hadi 500,000 ila uridhike na chochote atakachopika manake bajeti yako ni ndogo na familia ni kubwa ili iwatoshe kumaliza mwezi
Mkuu sometimes busara inabidi itumike huwezi kumwacha mwanamke eti kisa ana matumizi mabaya,utaacha wangapi.kila mtu ana mapungufu yakeThen usiulize, tafuta mwenye matumizi mazuri, Man up Dogo, wanawake ni washenzy sana we never negotiate; we just lead them the way we see it fit!
Sasa shida ni nn km umekuachia na anapanga vizuri?Mkuu hivyo vitu vyote nmempa uhuru yeye wa kutomwingilia hayo mambo ya jikoni
Mkuu sometimes busara inabidi itumike huwezi kumwacha mwanamke eti kisa ana matumizi mabaya,utaacha wangapi.kila mtu ana mapungufu yake
Nashukur mkuu kwa ushauri wako nimeupokeaHivi,kuna kitu wanaume wengi hawajui. Mwanamke akiamua kukukomoa,utakufa kabla ya siku zako. Je,hakuna wengine wasiopata hata laki 3 na wanaishi? Kama una uhakika biashara aliua mwenyewe, basi jiandae. Ila mi ningekupa tu ushauri. Mtafutie kitu kinachouzika nyumbani hapo hapo,akapate hela ya mboga. Mahitaji mengine ya kukaa mda mrefu,nunua mwenyewe. Si yeye amefeli? Af kwa atakachokuwa anapata,utajua kipi kinaendelea. Wapo wengine hawana uchungu na jasho unalotumia kupata hiyo pesa. Na ukiuliza imefanya kazi gani,hawana majibu. Hapo ikishindikana we lea watoto wako. Japo pia kwa upande mwingine kuna sehemu mnakosea. Unazaa na mtu,watoto wawili,unamuacha unaenda kuoa kwingine. Unategemea nini? Kama si mkeo,lazima nae awe na akili ya kutafuta kianzio cha maisha. Hapo anakusanya mtaji,ili ukizingua ajue anaanzia wapi. Kwa upande mwingine namuelewa. Mi kama naona siwezi kuishi na wewe,hata kugegedana lazima niwe makini. Maswala ya mimba usikopenda,ujue utateseka mpaka unakata upepo. Labda kama watoto huwakubali.
Akifanya hivi miezi mitatu tu atapata kujua wastani wa matumizi ya familia yake kwa mweziunampaje mzazi mwezako Hela za watoto ,fanya hivi mwezi ujao usitoe hela nunua vyakula mkabidhi nafaka
Unataka tukupangie badget wakati hujatupa muongozo;Mkuu hapo umekosea mawazo yako ni muhimu katika kusaidia kuchukua maamuzi
Mkuu kwani vibaya kumwachia wife pesa ya chakula na mengine madogo madogo,shida ni aina ya matumizi anayoyafanyaunampaje mzazi mwezako Hela za watoto ,fanya hivi mwezi ujao usitoe hela nunua vyakula mkabidhi nafaka
Nimekupata mkuuAkifanya hivi miezi mitatu tu atapata kujua wastani wa matumizi ya familia yake kwa mwezi
Hili nalo ni la ku google kweli?Nilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili
Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua
Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo:
Kodi, bima za afya za watoto na mama yao, maji, umeme, ving'amuzi, ada ya mtoto aliyeanza kusoma, mavazi na mengineyo
Je ni kiasi gani kinafaa kumwachia mwanamke ya kuweza kuwalisha ile standard kabisa kwa maisha yetu haya ya kitanzania kwa mwezi
Shida pesa ninayomkabidhi anamaliza kabla ya mwezi kuisha so inabidi nitume nyingine ndo maana nimeuliza kwa ndugu zangu wa JF,kama ninaweza kupata mwongozo kidogoSasa shida ni nn km umekuachia na anapanga vizuri?
Kivipi mkuu,sijakuelewaHili nalo ni la ku google kweli?
vyepesi tu ,ajiulize yafuatayoAkifanya hivi miezi mitatu tu atapata kujua wastani wa matumizi ya familia yake kwa mwezi
Mkuu nimeshasema awali bills nyingine zote naclear kama umeme,mqji mkUnataka tukupangie badget wakati hujatupa muongozo;
Hatujui huwa mnapendelea kula nini?
Kama mboga saba je?
Kama mnaenda supermarket au sokoni?
Kama kila week mnafanya shoppings za mavazi?
Hatujui matumizi yenu ya umeme, maji?
Matumizi ya data, Huenda mkeo anashinda TIKTOK?
Kiufupi kaa na mkeo chini muangalie matumizi ya msingi zaidi myatengee bajeti, Yale yasiyo ya msingi mjitahidi kuyapunguza au muachane nayo.
Kila mtu ana level yake ya Matumizi wakishua atakwambia Milioni kadhaa, Wa hali ya chini atakwambia Laki kadhaa, Hilo liko ndani ya uwezo wako mwenyewe.
Huyu atakuwa last born,hataki kujua majukumu yake ngoja jf wafanyie na kumpangia majukumu....Kama huhusiki na kutaka kujua jinsi ya matumizi ya hiyo hela basi sina cha kukusaidia,na inawezekana usipate msaada wowote humu,
Kingine,maisha yanatofautiana kutokana na eneo analoishi muhusika,hapa hata hujasema hiyo familia inaishi wapi,
Hutaweza kutatua tatizo lako mpaka pale utakapotaka kujua matumizi sahihi ya hizo hela,
Huwezi kupanga bajeti bila kujua matumizi yanaenda kutumika kwenye nini na nini.