Mkuu bahati nzuri mimi ni First born,huwezi amini nmepata baadhi ya madini ya kuanza nayo kwenye kufanya maamuz ynguHuyu atakuwa last born,hataki kujua majukumu yake ngoja jf wafanyie na kumpangia majukumu....
Na huyo mwanamke siku jamaa akija kuchacha....bomu litakalolipuka apo hatari
Laki 8 unaacha nyumbani...!!!? Afu unakuja kulialia kwa watu wanao Acha laki 2 adi laki 1 kwa mwezi...!!
Mkuu, umetaja ENEO, pia kujua matumizi ya fedha! Ni sahihi sana!Hutaweza kutatua tatizo lako mpaka pale utakapotaka kujua matumizi sahihi ya hizo hela,
Mkuu, umetaja ENEO, pia kujua matumizi ya fedha! Ni sahihi sana!
Tsh 800,000 kwa mwezi, watoto wawili, mama pengine na beki 3, inatosha sana kwa masuala ya maakuli!
Masuala ya sijui Bima, Ada, Bill za umeme, maji na ving'amuzi zisiwe sehemu hiyo ya 800k.
Zaidi, kama huyo mkeo naye ni mtafuta kipato, yaani masaa pengine 9 ya siku anaiacha familia mikononi mwa beki 3 na walimu, basi 800k inatosha sana tu; palipobakiwa atajazia yeye.
- Bima na Ada, mtakaa mezani kuona namna nzuri ya ku-cover
Vyovyote wasemavyo, usiruhusu kipato cha mwanamke kipotelee kusikojulikana, mpe majukumu ya kifamilia, angalau nusu ya kipato chake chote kitumike kwenye familia.
laki 4 na elfu 50 kwa wastani kila siku atakuwa anatumia shilingi elfu 15 zitamtosha kabisa.Nilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili
Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua
Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo:
Kodi, bima za afya za watoto na mama yao, maji, umeme, ving'amuzi, ada ya mtoto aliyeanza kusoma, mavazi na mengineyo
Je ni kiasi gani kinafaa kumwachia mwanamke ya kuweza kuwalisha ile standard kabisa kwa maisha yetu haya ya kitanzania kwa mwezi
Nunua nahitaji yote muhimu Kama unga, mchele, sukari, mafuta, gesi na mengineyo, lipa bili za maji, umeme na Kodi ya nyumba. Machine pesa zikiwemo za dharula Kama itatokea ugonjwa akimatumia vibaya juu yakeNimekuwa nikifanya hivyo kumpa bila kumkadiria but ninayompatia unakuta haifiki hata mwezi anasema imeisha na kwavile mimi nafanyia shughuli zangu nje ya Dar,kurudi kwangu huwa ni weekend tu
Pia kuna sehemu kasema anaacha 800kHuyo muhusika ameshasema ni muajiriwa;
Hii nilikuwa sijui, sasa mbona maisha yao ni mazuri sana kulinganisha na 900k kwa mwezi!Takriban 70% ya wafanyakazi wana take home ya approximate 900,000shs kurudi chini.
basi mshahara wako gawa by %ge,Nashukuru mkuu kwa ushauri wako,mimi ni mwajiriwa so kipato cha mwezi ni constant
soma ulichoandika kwenye Uzi wako ....MKuu sijamuacha,ila kazi ndo imenitenganisha na familia,mimi nafanya kazi Dom,familia inaishi Dar
kwa sababu anahisi unayo zaidi, hivo anakukomoa,.pia si unatujua sisi wanawake, ye umemuacha dar we upo dom, lazima aoneshe matashtiti kwa mashoga zake na majirani kua nina bwana wa maana yuko dom, ananipa kila nachotaka, ana mihela, nakula vizuri nkShida pesa ninayomkabidhi anamaliza kabla ya mwezi kuisha so inabidi nitume nyingine ndo maana nimeuliza kwa ndugu zangu wa JF,kama ninaweza kupata mwongozo kidogo
Wewe ndo mwenye tatizo siyo yeye,baba ni kiongozi.Hapo umeshindwa kuonesha kuwa wewe ni kiongozi.Familia yangu ina watu 16-20 lkn natumia 170000 kwa wiki.Mkuu mambo hayo mengine kuhusu mambo ya jikon sihusiki nayo,ndo mana niwe mkwel kwa mwezi namwingiziaga laki 8 bank,nikijua kwa maisha yetu ya kitanzania itamtosha but mwezi unakuta hauishi anadai hela imeisha,ndo maana nimeuliza wadau ili niambulie mawili matatu ili nipate pa kuanzia
Sasa mkuu budget ya familia inakushindaje kupanga....!!.au mna share income mkeo,au mkeo ndo mwenye sauti ndani....bado nawaza sipati jibuMkuu bahati nzuri mimi ni First born,huwezi amini nmepata baadhi ya madini ya kuanza nayo kwenye kufanya maamuz yngu
Laki 8 kuna kajamaa lazima kana hongwa shituka mapema.Mkuu mambo hayo mengine kuhusu mambo ya jikon sihusiki nayo,ndo mana niwe mkwel kwa mwezi namwingiziaga laki 8 bank,nikijua kwa maisha yetu ya kitanzania itamtosha but mwezi unakuta hauishi anadai hela imeisha,ndo maana nimeuliza wadau ili niambulie mawili matatu ili nipate pa kuanzia
Mkuu hyo laki 8 ni kwa ajili ya chakula na vitu vidogo vidogo.hizo bili nyingine nazilipa mimiMkuu, umetaja ENEO, pia kujua matumizi ya fedha! Ni sahihi sana!
Tsh 800,000 kwa mwezi, watoto wawili, mama pengine na beki 3, inatosha sana kwa masuala ya maakuli!
Masuala ya sijui Bima, Ada, Bill za umeme, maji na ving'amuzi zisiwe sehemu hiyo ya 800k.
Zaidi, kama huyo mkeo naye ni mtafuta kipato, yaani masaa pengine 9 ya siku anaiacha familia mikononi mwa beki 3 na walimu, basi 800k inatosha sana tu; palipobakiwa atajazia yeye.
- Bima na Ada, mtakaa mezani kuona namna nzuri ya ku-cover
Vyovyote wasemavyo, usiruhusu kipato cha mwanamke kipotelee kusikojulikana, mpe majukumu ya kifamilia, angalau nusu ya kipato chake chote kitumike kwenye familia.
Mkuu kwa ayo makisio yako au takwimu zako nitakuwa kwenye hyo 30%.hoja iliyopo mkuu ni hayo matumizi ya wife kutokutosha mpka kudai nyongeza nyingneHuyo muhusika ameshasema ni muajiriwa; hivi mnafaham mishahara ya Wafanyakazi waliowengi au mnaongelea wale wachache. Takriban 70% ya wafanyakazi wana take home ya approximately 900,000shs kurudi chini.
Sasa sijui kama yupo kwenye 30% ya wenye mishahara yenye nafuu au yupo kwenye 70%