St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Asante sana mkuu.. Ndio maisha..
Pole mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu
Huyo mama mwenyewe anabiashara kibao za PETRO STESHENI(SHERI)Pesa imefichwa nyuma ya pazia la Mama anaupiga mwingi, diplomasia za kidijitali za kuifungua nchi na vitu kadha wa kadha vinavyofanania na hivyo.
Mbna teremko Kali hvyo balaah snaaNafikiri nimedrop more than 70%
Hii sio afya kiuchumi
Naomba unifungue macho.Nadeal sana na £€ chamoto nakiona though hazina scarcity.
So Mabayo msaliti wetu?Huyo mama mwenyewe anabiashara kibao za PETRO STESHENI(SHERI)
Ila tunajua kiasi gani anamikiki vituo vya mafuta
Kiasi kingine kakifungua PUA na MDOMO na lango la bandari
Huyo mama nchi hii anaipeleka pabaya sahau kuhusu bei ya MAFUTA kushuka
Wanakopeshana mapesa wenyewe VIBOPA
Yaan kwa sasa PENGO kati ya masikini na tajiri linaongezeka kwa kasi
wakati utawala wa MAGUFURI lilipungua kwa kiasi kikubwa
Ukiona watu wamefungua BIASHARA kubwa usiige mtego huo hao mi mafisadi wanatumia mgongo wa hiyo BIASHARA kutakatisha FEDHA
Haiwezekani kila kona SHERI yaan hadi sehemu ukutegemea kuwe na SHERI kuna SHERI
basi hapo kwenye SHERI ndipo kwenye UFISADI mkubwa ulipofichika kila KIBOPA au Kiongozi yumo humo
Mafuta yapo JUU
Dora imeadimika
Umeme shida
Sekta ya AFYA ndo hvyo imezingua na BIMA
Unadhani kuna biashara itakayokwenda sawa
Wewe unafuata sheria mwenzio anapinda KONA
Unadhani mtakuwa sawa
Huyu MAMA akufaa kuwa RAISI
Gen MABEYO bora ungemsikiliza BASHIRU na MAJARIWA walikuwa na maono makubwa
Au Ungeichukua wewe tu kuliko hii SHIDA uliyotuletea ni tabu tupu aisee
Faida au mauzo yoteMm Hadi mda huu nimeuza laki 1k
Jusi nilikwenda kufanya interview baada kuonaa biahsra sielewi kbsaMifereji ya pesa imeelekea kwenye mifuko ya watu wa chache. Huku majority tukibaki hoehae. Kiufupi hali ni mbaya hakuna kitu kibaya kwenye biashara kama mzunguko kushuku unaweza tamani ukimbie Biashara
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Na akaanza kuchungulia account za watu na kuchukua hela kibabeMagufuli's Administration in Economy ilikua total failure kwa siku za usoni! Sera zake hazikua rafiki kwenye kuponya majeraha ndio maana nayeye ilifikia hatua serikali yake ilikopa hadi taasisi za biashara zenye riba kubwa sana na mikopo ya muda mfupi!! Imagine huu utawala unalipia mikopo iliyoiva aliyokopa Magufuli!
Sasa si wangechota tu Huko kwanin wanatusumbua ss na pesa kuto kuonekana mtaaniTunakusanya pesa ya kufanikisha ushindi kwenye uchaguzi
Ni mjinga mpuuz snaHata ukitaka $2000 benki ni shida huyu wa BOT atakueleza nini kama hilo tu linawashinda? Mtu wa BOT anasema eti hela zimefichwa sio kwamba hakuna, sasa wewe mwenye mamlaka unatuambia hela zimefichwa sisi wananchi tunazihitaji tukaingie kwenye majumba ya watu?
Hizo akili hawanaaUchaguzi pesa zitaenda kwenye kandarasi ya kuchapa karatasi lakini nyingi zitakuja mtaani.
AFCON ndio janga watspewa kandarasi wageni, hivyo watachota hazina yetu.
Wangekuwa na akili wangeajiri consultants pekee ujenzi zipewe kampuni za kizawa pesa ibaki
Ukweli usemweMbna teremko Kali hvyo balaah snaa
Ajira hakunaSio siri pesa imekuwa ni ngumu mtaani kwa sasa kila mtu ni mfanyabiashara matokeo yake ndio haya hakuna mgawanyo wa kazi
Mwananchi anakamuliwa kama mzazi wa vitoto vya mbwa wanashika nyonyo zote kwa pamojaBila shaka mafisadi, wageni na wapiga dili wameamua kubeba hela zote aisee! Mtaani hali si hali. Biashara nyingi zimedoda. Halafu wakati huo huo unatakiwa ulipe kodi TRA, na pia marejesho ya benki kila mwezi!!
Tunapitia moto mkali sanaMy turnover dropped by 60% comparing to Magufuli era.........dont know what gonna happen,future looks bleak!
DPW Imeanza kazi. Hakuna hata bidhaa za polomosheni mitaani.Nimejaribu kila mbinu, hela haionekani. Naanza kujiuliza nimekosea wapi? Why now? Lakini pia kila ninaemuuliza anasema sio wewe tu hali imekuwa mbaya. But why? What has happened?
Mlizowea mteremko, mama kaanza kukaba mpaka penalty.Mwananchi anakamuliwa kama mzazi wa vitoto vya mbwa wanashika nyonyo zote kwa pamoja