Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

Pesa imefichwa nyuma ya pazia la Mama anaupiga mwingi, diplomasia za kidijitali za kuifungua nchi na vitu kadha wa kadha vinavyofanania na hivyo.
Huyo mama mwenyewe anabiashara kibao za PETRO STESHENI(SHERI)
Ila tunajua kiasi gani anamikiki vituo vya mafuta
Kiasi kingine kakifungua PUA na MDOMO na lango la bandari
Huyo mama nchi hii anaipeleka pabaya sahau kuhusu bei ya MAFUTA kushuka

Wanakopeshana mapesa wenyewe VIBOPA

Yaan kwa sasa PENGO kati ya masikini na tajiri linaongezeka kwa kasi
wakati utawala wa MAGUFURI lilipungua kwa kiasi kikubwa
Ukiona watu wamefungua BIASHARA kubwa usiige mtego huo hao mi mafisadi wanatumia mgongo wa hiyo BIASHARA kutakatisha FEDHA
Haiwezekani kila kona SHERI yaan hadi sehemu ukutegemea kuwe na SHERI kuna SHERI
basi hapo kwenye SHERI ndipo kwenye UFISADI mkubwa ulipofichika kila KIBOPA au Kiongozi yumo humo

Mafuta yapo JUU
Dora imeadimika
Umeme shida
Sekta ya AFYA ndo hvyo imezingua na BIMA
Unadhani kuna biashara itakayokwenda sawa
Wewe unafuata sheria mwenzio anapinda KONA
Unadhani mtakuwa sawa

Huyu MAMA akufaa kuwa RAISI
Gen MABEYO bora ungemsikiliza BASHIRU na MAJARIWA walikuwa na maono makubwa
Au Ungeichukua wewe tu kuliko hii SHIDA uliyotuletea ni tabu tupu aisee
 
So Mabayo msaliti wetu?
 
Mifereji ya pesa imeelekea kwenye mifuko ya watu wa chache. Huku majority tukibaki hoehae. Kiufupi hali ni mbaya hakuna kitu kibaya kwenye biashara kama mzunguko kushuku unaweza tamani ukimbie Biashara

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Jusi nilikwenda kufanya interview baada kuonaa biahsra sielewi kbsa
 
Magufuli's Administration in Economy ilikua total failure kwa siku za usoni! Sera zake hazikua rafiki kwenye kuponya majeraha ndio maana nayeye ilifikia hatua serikali yake ilikopa hadi taasisi za biashara zenye riba kubwa sana na mikopo ya muda mfupi!! Imagine huu utawala unalipia mikopo iliyoiva aliyokopa Magufuli!
Na akaanza kuchungulia account za watu na kuchukua hela kibabe
Magufuli alikua anaenda kufail vibaya sana
Samia anataka kuibadilisha nchi haraka haraka ndo anapofeli
 
Hata ukitaka $2000 benki ni shida huyu wa BOT atakueleza nini kama hilo tu linawashinda? Mtu wa BOT anasema eti hela zimefichwa sio kwamba hakuna, sasa wewe mwenye mamlaka unatuambia hela zimefichwa sisi wananchi tunazihitaji tukaingie kwenye majumba ya watu?
Ni mjinga mpuuz sna
 
Back
Top Bottom