Pesa ya kujikimu kwa wanafunzi ipunguzwe wapewe elfu 5 ikizidi sana elfu 6, pia pesa ya books and stationary iondolewe au nayo ipunguzwe.

acha wivu!!!!.......mbona wabunge wanalipwa pesa kibao wanalala bungeni na wanaiba wake za wa2!!
 
Sina mood...... 😀 😀
 
My take
Kuwe na need ya kuwa na AI hapa jamii forums itakayo filter useless posts like this one.
1. Kabla ya yote bro umesoma wapi, expenses zako zilkuaje.
2. Ume focus kwenye chakula na stationery my brother umesahau kodi,bundle, sanitary equipment and others.
3. Life la chuo ni tough more than you think, ukishashiba makande tafta mahali ulale.
 
Kama hoja yako ni pesa kupelekwa kwenye maendeleo ya wananchi kwa nini isiwe wabunge wanao kula pesa za bure pale bungeni ndio wapunguziwe posho na mishahara yao hadi uanze kuwazia wanafunzi ambao hizo pesa wengine wanachangia kwenye familia zao na pesa zenyewe ni mkopo sio msaada, hoja yako haina mashiko inapaswa kupuzwa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…