Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hii ndio ilinifanya nisiwe na stimu tena na wadangaji .Hata kuchezesha dimba la kati ni wewe. Yeye katulia tu kama robota
Mabikra 72 wenye macho kama vikombe vya chai vikubwa vile.Ngono raha bana, ndio maana kuna dini zinaendekeza ngono, unaskia peponi ni kugegeda mabikira kila siku, milele....
Naona unajipa moyo wa kuendelea kudanga.HIli bango ni changamsha genge, halitambadilisha mwanaume yoyote mwenye uwezo wa kufanya hayo yote hapo.
Huu ujumbe ni maalum kwa vijana ambao bado wanajitafuta, ambao hata uwezo wa kujitunza mwenyewe hana.
Seleman alikuwa na wanawake mia 200.na bado alikuwa tajiri.yesu alikuwa hana hata mke mmoja kafa masikini hata pa kulala hakuwa napo.Tafuta pesa kijana hayo ni matumizi ya kawaida sana kwa mwanaume rijali
Wanaume wengi including wazazi wetu sio kwamba wamekuwa maskini kwa sababu ya kukosa fursa bali hata ile fursa ndogo waliyopata walitumia kwa starehe na wanawake.Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).
Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.
Ila kwakuwa kichwani mwa kijana mpumbavu kumejaa uchafu hakuna shida atalipia lodge, atampa nauli ya kuja na kurudi huyo binti. Binti atanunuliwa chips na kuku na kama mlevi basi atamlewesha na mwisho wa safari itambidi ampe pesa ya kumuhonga na binti malaya asiye na aibu, aliyekosa mafundisho sahihi atapokea pesa mimacho imemtoka na ataanza kutaja shida zake zingine.
Kijana amka.
Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara.
Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe. Si lazima ufanye sherehe. Hata kusogezana sio mbaya ilimradi tu mumeelewana na wazazi wenu wanatambua. Ndoa sio ile sherehe na makamera. Ile ni sherehe tu. Nendeni kwa mchungaji awafungishe ndoa ofisini kwake au mwiteni ustadhi awafungishe ndoa nyumbani kwenu.
Zinaa inaondoa baraka. Zinaa inakusogeza karibu na kifo.
Namdangia baba yako..anatoa bila malalamiko.Naona unajipa moyo wa kuendelea kudanga.
Fool.
Hahaha we jamaa Mabikra walikukosea nini?Ngono raha bana, ndio maana kuna dini zinaendekeza ngono, unaskia peponi ni kugegeda mabikira kila siku, milele....
Waambie hao kukuMwaga pesa zako kitandani uzilale.
PESA TUNATAFUTA,MWANAMKE NDO STAREHE YENYEWE.
Kwa sifa hizo, hicho ni chombo cha starehe!Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).
Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.
Ila kwakuwa kichwani mwa kijana mpumbavu kumejaa uchafu hakuna shida atalipia lodge, atampa nauli ya kuja na kurudi huyo binti. Binti atanunuliwa chips na kuku na kama mlevi basi atamlewesha na mwisho wa safari itambidi ampe pesa ya kumuhonga na binti malaya asiye na aibu, aliyekosa mafundisho sahihi atapokea pesa mimacho imemtoka na ataanza kutaja shida zake zingine.
Kijana amka.
Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara.
Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe. Si lazima ufanye sherehe. Hata kusogezana sio mbaya ilimradi tu mumeelewana na wazazi wenu wanatambua. Ndoa sio ile sherehe na makamera. Ile ni sherehe tu. Nendeni kwa mchungaji awafungishe ndoa ofisini kwake au mwiteni ustadhi awafungishe ndoa nyumbani kwenu.
Zinaa inaondoa baraka. Zinaa inakusogeza karibu na kifo.
Kulala 10/15
Chakula na vinywaji 30,000/-
Ali request ukalpa 8,000/-
Nauli ya kurud 8000
Pocket money 30000/-
Jumla laki chin ya 24hrs pesa unaisaka ndan ya siku 7
Love is scammer
Tafuta malayai nunua k 3000/5000
Kila siku matumiz ya juu siku 7 (35000/-)
Hao wageni hawawezi kuwa sababu ya kuwepo kwa nyumba nyingi za wageni. Mtu yeyote asielala kwake ni mgeniLodge Zina matumizi mengine nje ya ngono Mkuu. Zile ni nyumba za wageni.
Siwaelewi nyie ndugu zangu. Unaambiwa mtafuta cha uvunguni sharti ainame.Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).
Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.
Ila kwakuwa kichwani mwa kijana mpumbavu kumejaa uchafu hakuna shida atalipia lodge, atampa nauli ya kuja na kurudi huyo binti. Binti atanunuliwa chips na kuku na kama mlevi basi atamlewesha na mwisho wa safari itambidi ampe pesa ya kumuhonga na binti malaya asiye na aibu, aliyekosa mafundisho sahihi atapokea pesa mimacho imemtoka na ataanza kutaja shida zake zingine.
Kijana amka.
Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara.
Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe. Si lazima ufanye sherehe. Hata kusogezana sio mbaya ilimradi tu mumeelewana na wazazi wenu wanatambua. Ndoa sio ile sherehe na makamera. Ile ni sherehe tu. Nendeni kwa mchungaji awafungishe ndoa ofisini kwake au mwiteni ustadhi awafungishe ndoa nyumbani kwenu.
Zinaa inaondoa baraka. Zinaa inakusogeza karibu na kifo.
[emoji419][emoji419]Mtu anayefanya hayo jua ana uwezo wa kufanya hayo na hiyo pesa haimuumi.
Siku zote sisi tusiokuwa na pesa tukiona mwenye pesa anatumia pesa zake tunasema anatumia vibaya.
Damn fool. Malaya mkubwa wewe.Namdangia baba yako..anatoa bila malalamiko.