Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

Hata kuchezesha dimba la kati ni wewe. Yeye katulia tu kama robota
Hii ndio ilinifanya nisiwe na stimu tena na wadangaji .

Yaani unaingia gharama zote hizo za pesa ila limekaa kama gogo tu. Hata hata kushika maika kuchana mistari. Au kuupanda mnazi kwa juu.

Siku hizi nikiwa na mizuka sana nauliza kabisa vipi una chana mistari!? Baiskeli unaendesha akino HAPANA. Nakula kona.
 
HIli bango ni changamsha genge, halitambadilisha mwanaume yoyote mwenye uwezo wa kufanya hayo yote hapo.
Huu ujumbe ni maalum kwa vijana ambao bado wanajitafuta, ambao hata uwezo wa kujitunza mwenyewe hana.
Naona unajipa moyo wa kuendelea kudanga.

Fool.
 
Tafuta pesa kijana hayo ni matumizi ya kawaida sana kwa mwanaume rijali
Seleman alikuwa na wanawake mia 200.na bado alikuwa tajiri.yesu alikuwa hana hata mke mmoja kafa masikini hata pa kulala hakuwa napo.
 
Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).

Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.

Ila kwakuwa kichwani mwa kijana mpumbavu kumejaa uchafu hakuna shida atalipia lodge, atampa nauli ya kuja na kurudi huyo binti. Binti atanunuliwa chips na kuku na kama mlevi basi atamlewesha na mwisho wa safari itambidi ampe pesa ya kumuhonga na binti malaya asiye na aibu, aliyekosa mafundisho sahihi atapokea pesa mimacho imemtoka na ataanza kutaja shida zake zingine.

Kijana amka.

Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara.

Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe. Si lazima ufanye sherehe. Hata kusogezana sio mbaya ilimradi tu mumeelewana na wazazi wenu wanatambua. Ndoa sio ile sherehe na makamera. Ile ni sherehe tu. Nendeni kwa mchungaji awafungishe ndoa ofisini kwake au mwiteni ustadhi awafungishe ndoa nyumbani kwenu.

Zinaa inaondoa baraka. Zinaa inakusogeza karibu na kifo.
Wanaume wengi including wazazi wetu sio kwamba wamekuwa maskini kwa sababu ya kukosa fursa bali hata ile fursa ndogo waliyopata walitumia kwa starehe na wanawake.

Hakuna kijana asiye pata pesa.

Hizo kidogo anapeleka wapi?
 
Kulipia mazingira ya kumla manzi kama lodge, msosi, vinywaji n.k hapa tusiwaonee wanawake

Tunachokataa ni kutafutana baada ya kumlala sijui mambo za gas imeisha, saloon, vocha, vikoba, nguo, king'amuzi, kodi ya nyumba/chumba, mafuta ya gari n.k vijana wa hovyo wanaita kuhudumia hapo ni BIG NO
 
Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).

Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.

Ila kwakuwa kichwani mwa kijana mpumbavu kumejaa uchafu hakuna shida atalipia lodge, atampa nauli ya kuja na kurudi huyo binti. Binti atanunuliwa chips na kuku na kama mlevi basi atamlewesha na mwisho wa safari itambidi ampe pesa ya kumuhonga na binti malaya asiye na aibu, aliyekosa mafundisho sahihi atapokea pesa mimacho imemtoka na ataanza kutaja shida zake zingine.

Kijana amka.

Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara.

Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe. Si lazima ufanye sherehe. Hata kusogezana sio mbaya ilimradi tu mumeelewana na wazazi wenu wanatambua. Ndoa sio ile sherehe na makamera. Ile ni sherehe tu. Nendeni kwa mchungaji awafungishe ndoa ofisini kwake au mwiteni ustadhi awafungishe ndoa nyumbani kwenu.

Zinaa inaondoa baraka. Zinaa inakusogeza karibu na kifo.
Kwa sifa hizo, hicho ni chombo cha starehe!
 
Kulala 10/15
Chakula na vinywaji 30,000/-
Ali request ukalpa 8,000/-
Nauli ya kurud 8000
Pocket money 30000/-

Jumla laki chin ya 24hrs pesa unaisaka ndan ya siku 7

Love is scammer

Tafuta malayai nunua k 3000/5000
Kila siku matumiz ya juu siku 7 (35000/-)

Una bima yakutibu gono kijana[emoji23]
 
Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).

Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.

Ila kwakuwa kichwani mwa kijana mpumbavu kumejaa uchafu hakuna shida atalipia lodge, atampa nauli ya kuja na kurudi huyo binti. Binti atanunuliwa chips na kuku na kama mlevi basi atamlewesha na mwisho wa safari itambidi ampe pesa ya kumuhonga na binti malaya asiye na aibu, aliyekosa mafundisho sahihi atapokea pesa mimacho imemtoka na ataanza kutaja shida zake zingine.

Kijana amka.

Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara.

Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe. Si lazima ufanye sherehe. Hata kusogezana sio mbaya ilimradi tu mumeelewana na wazazi wenu wanatambua. Ndoa sio ile sherehe na makamera. Ile ni sherehe tu. Nendeni kwa mchungaji awafungishe ndoa ofisini kwake au mwiteni ustadhi awafungishe ndoa nyumbani kwenu.

Zinaa inaondoa baraka. Zinaa inakusogeza karibu na kifo.
Siwaelewi nyie ndugu zangu. Unaambiwa mtafuta cha uvunguni sharti ainame.

Tujiulize kwanza, nani anamtafuta mwenzake. Ukweli ni Mwanaume anatafuta K.

Kwa vile mwanaume unatafuta K, lazima utumie mbinu za ushawishi ili uipate hiyo K. Kitu cha kwanza jiulize wakati unataka kula K, si mara nyingi Mwanaume unamvua nguo mwanamke? Je, mkimaliza kukiwasha, mwanaume huwa anamvalisha mwanamke? Si yeye kwanza anakufuta na baada ya kukufuta anavaa nguo zake.

Kwa misingi hiyo ili ukojoe ndani ya mwili wa mtu, lazima ugharamikie. Na gharama zake ni kama zilivyo katika mada. Tatizo kubwa ni watu kutafuta vinavyowazidi uwezo. Ukiona mtu analalamika kuhusu mafuta ya gari, jua hajawa na uwezo wa kumiliki gari. Ili aishi kwa raha, ni vyema akanunua baiskeli.

Kama huna hela ya loji, ni vyema ukaenda kimboka ukalipa kidogo ukakojolea ndani ya mwili wa binadamu anayeitwa Changudoa. Hiyo ndiyo saizi yako. Na ndiyo maana wapo.

Kwa mantiki hiyo, ukiona mwanamke ni kausha damu, jua wewe si saizi yako.
 
Back
Top Bottom