Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).
Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.
Ila kwakuwa kichwani mwa kijana mpumbavu kumejaa uchafu hakuna shida atalipia lodge, atampa nauli ya kuja na kurudi huyo binti. Binti atanunuliwa chips na kuku na kama mlevi basi atamlewesha na mwisho wa safari itambidi ampe pesa ya kumuhonga na binti malaya asiye na aibu, aliyekosa mafundisho sahihi atapokea pesa mimacho imemtoka na ataanza kutaja shida zake zingine.
Kijana amka.
Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara.
Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe. Si lazima ufanye sherehe. Hata kusogezana sio mbaya ilimradi tu mumeelewana na wazazi wenu wanatambua. Ndoa sio ile sherehe na makamera. Ile ni sherehe tu. Nendeni kwa mchungaji awafungishe ndoa ofisini kwake au mwiteni ustadhi awafungishe ndoa nyumbani kwenu.
Zinaa inaondoa baraka. Zinaa inakusogeza karibu na kifo.
Ni kwel hatakuja kuomba hela ya kula ila atatusababishia "saikolojiko tocha" lwa kutufanya tumuonee huruma akiwa anateseka..huon huko ni kutusumbua?Mbona kama unamfokea mtu anayetumia hela yake?
Kwavile majuto yakimfikia, haji kwako kuomba hela ya kula, acha maisha yamfunze.
Waambie hao kuku
Kama unakiuno kigumu jiandae kupewa jina mtaani hayo yote ni malipoHata kuchezesha dimba la kati ni wewe. Yeye katulia tu kama robota
Muache kuombaomba ovyoPiga vita zinaa
AmenπDamn fool. Malaya mkubwa wewe.
Ndio, na mwanaume ni chombo cha kupigika.So unamkubali kwamba mwanamke ni chombo cha starehe?!
Hatudate na vijana spana mkononi,Ukweli ni kua Vijana Wapumbavu Wapumbavu ndio wako hivo, wanatumia Pesa vibaya sana.
Tafuteni Wanawake ambao hata mara Moja ni yeye wakukutoa Out na analipia Kila kitu.
Msideti CHUMA ULETE mazeee... Kamwee hutasonga mbele, labda usonge ugali
[emoji419][emoji419]Amen[emoji120]
Haya mambo ni ya kawaida tu ukiwa na pesa mkuu.
Makasiriko kama haya inaonyesha bado hujajipata bado.
NAKAZIA SANAUkweli ni kua Vijana Wapumbavu Wapumbavu ndio wako hivo, wanatumia Pesa vibaya sana.
Tafuteni Wanawake ambao hata mara Moja ni yeye wakukutoa Out na analipia Kila kitu.
Msideti CHUMA ULETE mazeee... Kamwee hutasonga mbele, labda usonge ugali
I discovered this kind of scam long time ago. Sex is mutualy pleasure sasa kwanini mwanaume abebeshwe gharama kama vile anafanyiwa favor. Katika mambo ambayo nimeyanyosha ni suala la cost management katika mahusiano. We split all costs or each one should take care of his/her bills. Period!Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).
Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.
Ila kwakuwa kichwani mwa kijana mpumbavu kumejaa uchafu hakuna shida atalipia lodge, atampa nauli ya kuja na kurudi huyo binti. Binti atanunuliwa chips na kuku na kama mlevi basi atamlewesha na mwisho wa safari itambidi ampe pesa ya kumuhonga na binti malaya asiye na aibu, aliyekosa mafundisho sahihi atapokea pesa mimacho imemtoka na ataanza kutaja shida zake zingine.
Kijana amka.
Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara.
Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe. Si lazima ufanye sherehe. Hata kusogezana sio mbaya ilimradi tu mumeelewana na wazazi wenu wanatambua. Ndoa sio ile sherehe na makamera. Ile ni sherehe tu. Nendeni kwa mchungaji awafungishe ndoa ofisini kwake au mwiteni ustadhi awafungishe ndoa nyumbani kwenu.
Zinaa inaondoa baraka. Zinaa inakusogeza karibu na kifo.
Mwamba Natafuta Ajira hupingwiI discovered this kind of scam long time ago. Sex is mutualy pleasure sasa kwanini mwanaume abebeshwe gharama kama vile anafanyiwa favor. Katika mambo ambayo nimeyanyosha ni suala la cost management katika mahusiano. We split all costs or each one should take care of his/her bills. Period!