Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

Kuna kaukweli kijana mdogo miaka 24 hana kazi ya kueleweka hana mshahara ila ana mademu wa 4 masikini zaidi yake wasio na kazi pia. Hapa kuna tatizo.
Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).

Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.

Ila kwakuwa kichwani mwa kijana mpumbavu kumejaa uchafu hakuna shida atalipia lodge, atampa nauli ya kuja na kurudi huyo binti. Binti atanunuliwa chips na kuku na kama mlevi basi atamlewesha na mwisho wa safari itambidi ampe pesa ya kumuhonga na binti malaya asiye na aibu, aliyekosa mafundisho sahihi atapokea pesa mimacho imemtoka na ataanza kutaja shida zake zingine.

Kijana amka.

Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara.

Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe. Si lazima ufanye sherehe. Hata kusogezana sio mbaya ilimradi tu mumeelewana na wazazi wenu wanatambua. Ndoa sio ile sherehe na makamera. Ile ni sherehe tu. Nendeni kwa mchungaji awafungishe ndoa ofisini kwake au mwiteni ustadhi awafungishe ndoa nyumbani kwenu.

Zinaa inaondoa baraka. Zinaa inakusogeza karibu na kifo.
 
Ukweli ni kua Vijana Wapumbavu Wapumbavu ndio wako hivo, wanatumia Pesa vibaya sana.

Tafuteni Wanawake ambao hata mara Moja ni yeye wakukutoa Out na analipia Kila kitu.

Msideti CHUMA ULETE mazeee... Kamwee hutasonga mbele, labda usonge ugali
Hatudate na vijana spana mkononi,
 
Ukweli ni kua Vijana Wapumbavu Wapumbavu ndio wako hivo, wanatumia Pesa vibaya sana.

Tafuteni Wanawake ambao hata mara Moja ni yeye wakukutoa Out na analipia Kila kitu.

Msideti CHUMA ULETE mazeee... Kamwee hutasonga mbele, labda usonge ugali
NAKAZIA SANA
 
Ila serikali SIKIVU ya mama Kizimkazi ifanye namna kwenye maboresho ya kiuchumi Kwa vijana wetu Hali sio shwarii....Chonde chochde mama waangaliwe Kwa jicho la tatu
 
Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).

Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.

Ila kwakuwa kichwani mwa kijana mpumbavu kumejaa uchafu hakuna shida atalipia lodge, atampa nauli ya kuja na kurudi huyo binti. Binti atanunuliwa chips na kuku na kama mlevi basi atamlewesha na mwisho wa safari itambidi ampe pesa ya kumuhonga na binti malaya asiye na aibu, aliyekosa mafundisho sahihi atapokea pesa mimacho imemtoka na ataanza kutaja shida zake zingine.

Kijana amka.

Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara.

Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe. Si lazima ufanye sherehe. Hata kusogezana sio mbaya ilimradi tu mumeelewana na wazazi wenu wanatambua. Ndoa sio ile sherehe na makamera. Ile ni sherehe tu. Nendeni kwa mchungaji awafungishe ndoa ofisini kwake au mwiteni ustadhi awafungishe ndoa nyumbani kwenu.

Zinaa inaondoa baraka. Zinaa inakusogeza karibu na kifo.
I discovered this kind of scam long time ago. Sex is mutualy pleasure sasa kwanini mwanaume abebeshwe gharama kama vile anafanyiwa favor. Katika mambo ambayo nimeyanyosha ni suala la cost management katika mahusiano. We split all costs or each one should take care of his/her bills. Period!
 
Mwamba Natafuta Ajira hupingwi
 
Back
Top Bottom