Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Understanding power dynamics isn't cynical, it's practical. You can choose to play ethically while still recognizing how influence actually works.Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara
Sahihi kabisa. Barua isiyo na msingi wa kisheria wala kibali cha Wizara haina uzito, huwezi kufunga kanisa kwa njia za panya, sheria lazima ifuatwe.Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara
Na polisi cm wa kafaifantia kazi barua feki... 😁 😁 😁 Hapa tumlaumu nani hapa sasa!Yani aliyeleta barua kanisani na kusambaa mitandao huku waziri wa mambo ya ndani kufungia ila baada ya kuona maji shingoni wanasema hii barua kutotamburika wizarani.
Na aliyepost Mirrad Ayo
CCM Akili walishazikaWakili Peter Kibatala anayesimamia Kesi ya kufungiwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima ametoa mrejesho wa mwenendo wa Kesi hiyo ambapo amesema;
"Barua inayodaiwa ndio msingi wa rufaa ni barua ambayo sio halali na haitambuliki na Wizara hasa kwa kuzingatia kuwa barua hiyo haijasainiwa na Msajili wa Jumuiya za Kiraia"
"Barua ile vyovyote ilivyo imesainiwa au haijasainiwa imeelekezwa kwa watu ambao wanaitwa Glory Of Christ Church ilipaswa ipelekwe kwa bodi ya wadhamini lakini ukiona pale imeandikwa Bishop Josephat Gwajima, hata kama ni sahihi kisheria kwa sababu yeye ndio mkuu wa kanisa lakini kanisa lililotajwa sio la kwetu"
Muliro ndio aliandika ile baruaKamanda Muliro analielewa hilo? Asije akategua nyonga za waumini.
Juzi Kati RPC mzima anasema uongo kuwa bwana yule wa Igunga alijiita OCD uongo haulipiNa polisi cm wa kafaifantia kazi barua feki... 😁 😁 😁 Hapa tumlaumu nani hapa sasa!
2 Chronicles 20:22 (NIV): "As they began to sing and praise, the LORD set ambushes against the men of Ammon and Moab and Mount Seir who were invading Judah, and they were defeated."
Sadaka ya partner ndo niliiskia kwa kuhani Musa mpk laki tano niliduwaakwahiyo kiba kesho tukaliamshe dude?tukafufue zetu watu sio?
Sasa kibao tufungue Kesi ya madai kanisa limepoteza mapato ya 1.)sadaka,
2.)mafungu ya kumi
3.)zaka
4.)sadaka za shukrani
5.)pesa ya kuonana na watu ana Kwa ana
6.)pesa za kuinua mikono ya askofu
6.)mbegu za kujiungamanisha
7.)pesa za kujimaliza
7.)sadaka za partners
8.)Visitors Toka nje ya nchi
9.)pesa za kuendesha media
10.)sadaka mtandaoni nk.nk
TOTAL NI BILIONI 50 NA CHENJI...WATAJUA HAWAJUI