BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Kibatala tena kwenye 1 and 2!
Makanisa yanatengeneza pesa kuliko viwanda mjomba. Huyo kuhani Msa bonge la msanii alikuwa anakula demu miaka minne bila kuoa na wanapigana mapicha mpaka zilivyovuja alafu anahubiri kilaleo kanisani na kutoa maunabii na mapepo dadadadadekiii!Sadaka ya partner ndo niliiskia kwa kuhani Musa mpk laki tano niliduwaa
Hivi hawa madenzi wa polisi walifuata ninj pale kuweka utepe????Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa jina la Kanisa la Ufufuo na Uzima.
Ameyazungumza hayo leo Jui 13, 2025 Jijini Dodoma baada ya kutoka katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kwenye kesi ya kupinga kufutwa kwa kanisa hilo, ambapo Kanisa hilo linaiomba Mahakama kutoa amri ya muda itakayoruhusu kuendelea kwa ibada na shughuli nyingine za kidini, hadi pale rufaa iliyowasilishwa kupinga hatua ya Serikali kufungia kanisa hilo itakaposikilizwa na kuamuliwa rasmi.
Wakili Kibatala amesema "Barua inayodaiwa ndio msingi wa rufaa ni barua ambayo sio halali na haitambuliki na Wizara hasa kwa kuzingatia kuwa barua hiyo haijasainiwa na Msajili wa Jumuiya za Kiraia."
"Barua ile vyovyote ilivyo imesainiwa au haijasainiwa imeelekezwa kwa watu ambao wanaitwa Glory Of Christ Church ilipaswa ipelekwe kwa bodi ya wadhamini lakini ukiona pale imeandikwa Bishop Josephat Gwajima, hata kama ni sahihi kisheria kwa sababu yeye ndio mkuu wa kanisa lakini kanisa lililotajwa sio la kwetu"
Walioandika barua ya kumfungia kanisa Gwajima ndo walioandika barua ya Ndugai kujiuzuluWafungiaji wameshaingia kwenye mfumo
Rule of law vs influenceUnderstanding power dynamics isn't cynical, it's practical. You can choose to play ethically while still recognizing how influence actually works.
Yule SI teja mabange yulena kuna yule mee hananje anasemaje juu ya hii?
Ni kikundi cha watu wachache ambao huwa wanakurupuka bila kufanya jambo. mara nyingi kwa amtukio tofauti wamekuwa wakikurupukaWalioandika barua ya kumfungia kanisa Gwajima ndo walioandika barua ya Ndugai kujiuzulu
Huyo haongeagi mpaka alewe!na kuna yule mee hananje anasemaje juu ya hii?
Serikali ya kinafiki sana. Wale maaskari na walitumwa na nani? Je wangeumiza au kuuwa leo wangeeleza nini dunia.Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa jina la Kanisa la Ufufuo na Uzima.
Ameyazungumza hayo leo Jui 13, 2025 Jijini Dodoma baada ya kutoka katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kwenye kesi ya kupinga kufutwa kwa kanisa hilo, ambapo Kanisa hilo linaiomba Mahakama kutoa amri ya muda itakayoruhusu kuendelea kwa ibada na shughuli nyingine za kidini, hadi pale rufaa iliyowasilishwa kupinga hatua ya Serikali kufungia kanisa hilo itakaposikilizwa na kuamuliwa rasmi.
Wakili Kibatala amesema "Barua inayodaiwa ndio msingi wa rufaa ni barua ambayo sio halali na haitambuliki na Wizara hasa kwa kuzingatia kuwa barua hiyo haijasainiwa na Msajili wa Jumuiya za Kiraia."
"Barua ile vyovyote ilivyo imesainiwa au haijasainiwa imeelekezwa kwa watu ambao wanaitwa Glory Of Christ Church ilipaswa ipelekwe kwa bodi ya wadhamini lakini ukiona pale imeandikwa Bishop Josephat Gwajima, hata kama ni sahihi kisheria kwa sababu yeye ndio mkuu wa kanisa lakini kanisa lililotajwa sio la kwetu"
Polisi tusiwalaumu hawanaga akili wale!Na polisi cm wa kafaifantia kazi barua feki... 😁 😁 😁 Hapa tumlaumu nani hapa sasa!!
Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa jina la Kanisa la Ufufuo na Uzima.
Ameyazungumza hayo leo Jui 13, 2025 Jijini Dodoma baada ya kutoka katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kwenye kesi ya kupinga kufutwa kwa kanisa hilo, ambapo Kanisa hilo linaiomba Mahakama kutoa amri ya muda itakayoruhusu kuendelea kwa ibada na shughuli nyingine za kidini, hadi pale rufaa iliyowasilishwa kupinga hatua ya Serikali kufungia kanisa hilo itakaposikilizwa na kuamuliwa rasmi.
Wakili Kibatala amesema "Barua inayodaiwa ndio msingi wa rufaa ni barua ambayo sio halali na haitambuliki na Wizara hasa kwa kuzingatia kuwa barua hiyo haijasainiwa na Msajili wa Jumuiya za Kiraia."
"Barua ile vyovyote ilivyo imesainiwa au haijasainiwa imeelekezwa kwa watu ambao wanaitwa Glory Of Christ Church ilipaswa ipelekwe kwa bodi ya wadhamini lakini ukiona pale imeandikwa Bishop Josephat Gwajima, hata kama ni sahihi kisheria kwa sababu yeye ndio mkuu wa kanisa lakini kanisa lililotajwa sio la kwetu"
Kwanini barua ilipotoka mitandaoni wao wizara hawakutokea kukanusha kwamba sio wao?Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa jina la Kanisa la Ufufuo na Uzima.
Ameyazungumza hayo leo Jui 13, 2025 Jijini Dodoma baada ya kutoka katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kwenye kesi ya kupinga kufutwa kwa kanisa hilo, ambapo Kanisa hilo linaiomba Mahakama kutoa amri ya muda itakayoruhusu kuendelea kwa ibada na shughuli nyingine za kidini, hadi pale rufaa iliyowasilishwa kupinga hatua ya Serikali kufungia kanisa hilo itakaposikilizwa na kuamuliwa rasmi.
Wakili Kibatala amesema "Barua inayodaiwa ndio msingi wa rufaa ni barua ambayo sio halali na haitambuliki na Wizara hasa kwa kuzingatia kuwa barua hiyo haijasainiwa na Msajili wa Jumuiya za Kiraia."
"Barua ile vyovyote ilivyo imesainiwa au haijasainiwa imeelekezwa kwa watu ambao wanaitwa Glory Of Christ Church ilipaswa ipelekwe kwa bodi ya wadhamini lakini ukiona pale imeandikwa Bishop Josephat Gwajima, hata kama ni sahihi kisheria kwa sababu yeye ndio mkuu wa kanisa lakini kanisa lililotajwa sio la kwetu"
Hahahaha kumbe secretarybird anaagiza asali kutoka mwambani anatumiwa kwa ndege,Makanisa yanatengeneza pesa kuliko viwanda mjomba. Huyo kuhani Msa bonge la msanii alikuwa anakula demu miaka minne bila kuoa na wanapigana mapicha mpaka zilivyovuja alafu anahubiri kilaleo kanisani na kutoa maunabii na mapepo dadadadadekiii!
Nadhani ni wale tunaowaita intellectual disabilities (wahafidhina wenye utindio wa ubongo) hawataki kubadilika wanadhani nchi bado ipo katika u-communistNi kikundi cha watu wachache ambao huwa wanakurupuka bila kufanya jambo. mara nyingi kwa amtukio tofauti wamekuwa wakikurupuka
Hawajipangi, hawa plan, hawapimi outcomes pro and cons . Is why yakifika mahakamani wanaaibika
Ni kikundi cha watu wachache ambao huwa wanakurupuka bila kufanya jambo. mara nyingi kwa amtukio tofauti wamekuwa wakikurupuka
Hawajipangi, hawa plan, hawapimi outcomes pro and cons . Is why yakifika mahakamani wanaaibika
Ulichelewa wapi mkuu 😂.Hahahaha kumbe secretarybird anaagiza asali kutoka mwambani anatumiwa kwa ndege,
Nao hao ndio wako katika nafasi nyeti za kimaamuzi, is why unashangaa taasis zinapokurupuka na maamuzi ya ajab ajabNadhani ni wale tunaowaita intellectual disabilities (wahafidhina wenye utindio wa ubongo) hawataki kubadilika wanadhani nchi bado ipo katika u-communist
Acha nibaki na utajiri wangu sihami kanisa mkuuUlichelewa wapi mkuu 😂.
Yani aliyeleta barua kanisani na kusambaa mitandao huku waziri wa mambo ya ndani kufungia ila baada ya kuona maji shingoni wanasema hii barua kutotamburika wizarani.
Na aliyepost Mirrad Ayo