mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,517
- 6,074
Mara baada ya kuzagaa kwa taarifa ya kufungiwa shughuli za ibada katika kanisa la ufufuo na uzima, chanzo changu makini kilinipenyezea kuwa hiyo barua ilikuwa ni fake, ilitengenezwa na kikosi ambacho kinaongoza operatio za tekateka makusudi kabisa ili kumpa jamba jamba askofu mwenye kanisa lake ili ajue wakiamua chochote hakuna kitu atawafanya.
Ukiiangalia ile barua haikuwa na sahihi yoyote, baada ya watu wengi kuhoji wakatupia kijibarua kingine chenye sahihi ambacho kimsingi kilikuwa ni fake kabisa, ukitaka kujua vizuri kuna kiongozi mwandamizi wa police force ya Afghanistan alijua kinachoendelea akawachimba biti na kuweka utepe kuzingira mahali pa kusujudu kwa kiongozi wa kiroho, but chanzo changu kiliniambia ni mchongo tu, wala hakuna kinachoendelea, chanzo kilisisitiza tulia watu waende kwa court yatavumbuka mengi, now binadamu wote mmejionea.
My take, moderators msiwe mnafuta au kuunga nyuzi za watu kwa kuweka kumbukumbu sawa.