Peter Madeleka: Kutishia watu kuwapeleka Magereza ili wateseke ni Ushamba na ulimbukeni. Kuuza bandari za Watanganyika ni ufisadi

Hilo tangazo ni zuga tu, Dp world ameshapewa Bandari
 
Ujumbe wa kijinga.
 
Kuna ukosoaji na kuna matusi na kejeli. Hata hivyo kumlinganisha ni Magufuli kwa uvumilivu ni uwongo. Mama ana uwezo mkubwa wa uvumilivu
Ile hotuba ya juzi iliyojaa mipasho imedhihirisha kwamba hana ngozi ngumu.
Huko mbele ataanza kuwashughulikia wapinzani kama ilivyokua kwa magufuli.
Time will tell
 
Kuna ukosoaji na kuna matusi na kejeli. Hata hivyo kumlinganisha ni Magufuli kwa uvumilivu ni uwongo. Mama ana uwezo mkubwa wa uvumilivu
We kenge unayefikiri kwa makario muda wote ni chuki dhidi ya shujaa wa Afrika. Pumbavu mkubwa
 
Ile hotuba ya juzi iliyojaa mipasho imedhihirisha kwamba hana ngozi ngumu.
Huko mbele ataanza kuwashughulikia wapinzani kama ilivyokua kwa magufuli.
Time will tell
Huko mbele ndiyo wapi? Kuna tusi gani hawa wapinzania ambalo wamebakiza kutukana?

Kuhusu hotuba yake inayoiita ya "mipasho" basi ile ndiyo silaha yao. Na imewafikia vilivyo
 
Sidhani kama kuna haja yakufwatikia mtu anafanya kazi gani,kwasababu binadamu wanabadilika wakati wowote.Cha msingi kwenye hii dunia hakuna sababu yakuweka imani kwa binadamu yoyote bali angalia anachokisema na kukitenda.Akisema ujinga achana nao akisema cha maana kielewe,akifanya ujinga mpuuzie akifanya cha maana kizingatie.
 
Sijui Kala maharage ya wapi huyu
 
Watu hao wanaomtakia mabaya huyu wakili utawakuta wanaswali kila ijumaa, wanafunga, hawali nyama ya nguruwe na wamekwenda kuhiji kutumia pesa za wizi.
 
Wewe nawe ulienda shule kweli ? Hakuna anayekataa ubinafishaji wa Bandari, kinacholeta ukakasi ni maudhui ya mkataba wenywe.
 
Kwani CHADEMA kuna ni cha ajabu huko ? Wote hao walishalambishwa asali tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…