Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Wapuuzi ni nyinyi mliokuwa mkiwasambazia ujinga watanzania kwamba bandari yao kauziwa mwarabu!.Ulivyompuuzi unadhania bandari inauzwa kama mchele sokoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapuuzi ni nyinyi mliokuwa mkiwasambazia ujinga watanzania kwamba bandari yao kauziwa mwarabu!.Ulivyompuuzi unadhania bandari inauzwa kama mchele sokoni.
Siamini usemacho bila proof,I don't know why but huyu jamaa huwa nahisi bado ni mtu wa system.... Nashangaa wapinzani wanaji attach naye sana, he might be the mole in the opposition. Maana aliminywa maslahi yake akiwa kwenye mfumo akakosana nao so simply akirudishiwa maslahi yake anaweza kuplay double agent.
We should be very careful na Hawa moles wa CCM.
Kwa mujibu wa RIPOTI ya CAG ya mwaka 2020/2021, ni kwamba, MAGEREZA yote Tanzania, YAKIJAA, yanauwezo wa KUBEBA watu 35,000 tu. Uwanja wa MKAPA-DSM, UKIJAA, unaweza KUBEBA watu 60,000. Tanzania ina watu 60 MILIONI. Kwa hiyo, KUTISHIA watu MAGEREZA, ni USHAMBA na ULIMBUKENI.
View attachment 2748697
Proof ya Nini, mbona watu walisema patrobas ni double agent mapema kabisa ila baadae ikawa dhahihiri. Ni muhimu sana chama kujiweka mbali na Hawa moles kutoka TISS hata huyo Mwabukusi wafanye naye kazi ila akiwa huko huko NCCR sio tena aingizwe CHADEMA.Siamini usemacho bila proof,
Alikuwa jeshi la uhamiaji ,kabla yakuamua aachane na kazi malipo kiduchuWakili huyu kwanini anaandamwa sana na serikali hii? Ana siri gani anazozijua wakihofu kuendelea kuzilipua hadharani hadi wakeshe wakifikiria namna ya kumrejesha gerezani? Kwanini wananchi wasiamini serikali hii imejaa uonevu kwa kutumia kichaka cha demokrasia ambayo ni garasha tupu?
Serikali acheni kumtesa wakili huyu kutokana na madhaifu yenu na watu wenu
Askofu Maxmillian... Loh, nimemzooooom!!Proof ya Nini, mbona watu walisema patrobas ni double agent mapema kabisa ila baadae ikawa dhahihiri. Ni muhimu sana chama kujiweka mbali na Hawa moles kutoka TISS hata huyo Mwabukusi wafanye naye kazi ila akiwa huko huko NCCR sio tena aingizwe CHADEMA.
Nimeona hata kina Mwamakula sijui Askofu Maxmillian yaani watu sketchy sketchy wanakaribishwa Hadi jikoni. Lazima chama ki separate mambo ya jamii na harakati za chama. Ni ajabu sana Lissu anaenda ngorongoro alafu anasindikizwa na watu ambao sio wanachama!!
This should stop otherwise tutakuja malizwa kizembe.
Aibu kabisa kubambikia wananchi kesi ili kuficha ufisadi unanavanywa na walioaminiwa maofisini.Kwa mujibu wa RIPOTI ya CAG ya mwaka 2020/2021, ni kwamba, MAGEREZA yote Tanzania, YAKIJAA, yanauwezo wa KUBEBA watu 35,000 tu. Uwanja wa MKAPA-DSM, UKIJAA, unaweza KUBEBA watu 60,000. Tanzania ina watu 60 MILIONI. Kwa hiyo, KUTISHIA watu MAGEREZA, ni USHAMBA na ULIMBUKENI.
View attachment 2748697
Madeleka ni fisadi fulani tu ambaye alikuwa Polisi na mke wake alikuwa ofisa Ujamiaji Arusha.Kwa mujibu wa RIPOTI ya CAG ya mwaka 2020/2021, ni kwamba, MAGEREZA yote Tanzania, YAKIJAA, yanauwezo wa KUBEBA watu 35,000 tu. Uwanja wa MKAPA-DSM, UKIJAA, unaweza KUBEBA watu 60,000. Tanzania ina watu 60 MILIONI. Kwa hiyo, KUTISHIA watu MAGEREZA, ni USHAMBA na ULIMBUKENI.
View attachment 2748697
Sijui kwanini unaishi maisha ya hofu sana, unachoandika hapa ni kama vile huiamini intelijensia ya Chadema, kitu ambacho binafsi sioni maana yake.Proof ya Nini, mbona watu walisema patrobas ni double agent mapema kabisa ila baadae ikawa dhahihiri. Ni muhimu sana chama kujiweka mbali na Hawa moles kutoka TISS hata huyo Mwabukusi wafanye naye kazi ila akiwa huko huko NCCR sio tena aingizwe CHADEMA.
Nimeona hata kina Mwamakula sijui Askofu Maxmillian yaani watu sketchy sketchy wanakaribishwa Hadi jikoni. Lazima chama ki separate mambo ya jamii na harakati za chama. Ni ajabu sana Lissu anaenda ngorongoro alafu anasindikizwa na watu ambao sio wanachama!!
This should stop otherwise tutakuja malizwa kizembe.
Nadhani wanashindwa kuzijibu hoja zake ndio upelekea huo msuguanoWakili huyu kwanini anaandamwa sana na serikali hii? Ana siri gani anazozijua wakihofu kuendelea kuzilipua hadharani hadi wakeshe wakifikiria namna ya kumrejesha gerezani? Kwanini wananchi wasiamini serikali hii imejaa uonevu kwa kutumia kichaka cha demokrasia ambayo ni garasha tupu?
Serikali acheni kumtesa wakili huyu kutokana na madhaifu yenu na watu wenu
🤣🤣Come back ya verse moja light........Kwa mujibu wa RIPOTI ya CAG ya mwaka 2020/2021, ni kwamba, MAGEREZA yote Tanzania, YAKIJAA, yanauwezo wa KUBEBA watu 35,000 tu. Uwanja wa MKAPA-DSM, UKIJAA, unaweza KUBEBA watu 60,000. Tanzania ina watu 60 MILIONI. Kwa hiyo, KUTISHIA watu MAGEREZA, ni USHAMBA na ULIMBUKENI.
View attachment 2748697
Mahakamani ni sehemu huru ukitaka unakimbia , unatembea au ukiamua unatoka hata unatambaa?huyu si ndie alikimbia mahakamani baada ya kuachiwa
Vyombo vya habari siku hizi vimekuwa vya hovyo sana, vinaandika umbea wa kumfurahisha mtawala tu, ndio maana nimefuta app zote za news kwenye simu yangu, anzia Mwananchi, Ayo wote...huyu si ndie alikimbia mahakamani baada ya kuachiwa
Huo ushindani wa wazi wa namna ya kuwapata waendeshaji hizo gati wenye tija ya kiuchumi na viwango vya ubora vya mikataba yenyewe hata kama unakodisha ndiyo matatizo yanakoanzia. Huo uchumi wa wapi unaousema?Hakuna anayeweza kuuza bandari ni uelewa wetu kuwa mdogo na kuwasikiliza sana wanaharakati wenye kupotosha jamii wakiwa na malengo maalum.
Bandari inakodishwa, hii ya Dar inakwenda kuwa na wapangaji wawili DPW na mwingine wa magati namba nane mpaka namba kumi na moja.
Ile ya Tanga inakwenda kuwa na mwendeshaji mmoja, ile ya Bagamoyo inakwenda kuwa na mwendeshaji mwingine.
Haya ni masuala ya kiuchumi yenye kuhitaji mtu kuyatazama kiuchumi, mtu tu layman mwenye uelewa mdogo wa masuala nyeti hawezi kuelewa nini haswa kinachotafutwa.
Tunatoka katika mfumo wa mmiliki wa bandari kuendelea kumiliki yeye kama yeye tunaingia katika mfumo wa Land lord Port ambao mwendeshaji mkuu TPA anakuwa na wapangaji wengine ili kuongeza ufanisi na kurahisisha mzigo mwingi sana uliopo ndani ya Tanzania na nchi zinazotuzunguka kuweza kuyafikia mataifa ya nje haraka.
Kuna tani zaidi ya milioni 30 za mizigo mbalimbali inayotakiwa itoke huko bara na kwenda nje ya nchi, huo ni mzigo mwingi sana na kwa aina ya uendeshaji wa kizamani wa bandari tulionao hakuna nafasi ya kitaifa kuweza kuinuka kiuchumi.
Haya ni masuala ya kiuchumi yenye kutaka ufafanuzi wa kina wa kiuchumi, huu sio wakati wa kufikiria kizamani halafu matokeo ya ufikiriaji huo yawe na mashiko kwenye maisha ya kisasa.
Nani alikuambia sisi hatuwezi? Au kwa kuwa sisi ni wezi!, Kwa nini tusikodishe menejimenti wakati tunajenga uwezo wa kuendesha wenyewe? Kwa utaratibu huo unadhani lini tutakuwa na uwezo wa kuendesha wenyewe? Tusiwe wajinga hao tunaodhani wanaweza Kuna mahali walianzia hapo ndio tunapataka. Zamani tuliambiwa hatuwezi kujenga Barbara ya Rami Leo tunaweza baada ya mkapa kuthubitu,tuliambiwa hatuwezi kujenga BWAWA la Nyerere Magufuli akathubutu tunaelekea kuweza kwa mifano hiyo hakuna tusichoweza.Hakuna anayeweza kuuza bandari ni uelewa wetu kuwa mdogo na kuwasikiliza sana wanaharakati wenye kupotosha jamii wakiwa na malengo maalum.
Bandari inakodishwa, hii ya Dar inakwenda kuwa na wapangaji wawili DPW na mwingine wa magati namba nane mpaka namba kumi na moja.
Ile ya Tanga inakwenda kuwa na mwendeshaji mmoja, ile ya Bagamoyo inakwenda kuwa na mwendeshaji mwingine.
Haya ni masuala ya kiuchumi yenye kuhitaji mtu kuyatazama kiuchumi, mtu tu layman mwenye uelewa mdogo wa masuala nyeti hawezi kuelewa nini haswa kinachotafutwa.
Tunatoka katika mfumo wa mmiliki wa bandari kuendelea kumiliki yeye kama yeye tunaingia katika mfumo wa Land lord Port ambao mwendeshaji mkuu TPA anakuwa na wapangaji wengine ili kuongeza ufanisi na kurahisisha mzigo mwingi sana uliopo ndani ya Tanzania na nchi zinazotuzunguka kuweza kuyafikia mataifa ya nje haraka.
Kuna tani zaidi ya milioni 30 za mizigo mbalimbali inayotakiwa itoke huko bara na kwenda nje ya nchi, huo ni mzigo mwingi sana na kwa aina ya uendeshaji wa kizamani wa bandari tulionao hakuna nafasi ya kitaifa kuweza kuinuka kiuchumi.
Haya ni masuala ya kiuchumi yenye kutaka ufafanuzi wa kina wa kiuchumi, huu sio wakati wa kufikiria kizamani halafu matokeo ya ufikiriaji huo yawe na mashiko kwenye maisha ya kisasa.
Wakili huyu kwanini anaandamwa sana na serikali hii? Ana siri gani anazozijua wakihofu kuendelea kuzilipua hadharani hadi wakeshe wakifikiria namna ya kumrejesha gerezani? Kwanini wananchi wasiamini serikali hii imejaa uonevu kwa kutumia kichaka cha demokrasia ambayo ni garasha tupu?
Serikali acheni kumtesa wakili huyu kutokana na madhaifu yenu na watu wenu
Njia ya manunuzi iliyompata DP World ni single source procurement method, ilitumika baada ya TPA kugundua kuwa mwarabu ndio mwenye mzigo kule Rwanda na DRC hivyo hapakuwa na sababu ya kumshindanisha na washindani wengine.Huo ushindani wa wazi wa namna ya kuwapata waendeshaji hizo gati wenye tija ya kiuchumi na viwango vya ubora vya mikataba yenyewe hata kama unakodisha ndiyo matatizo yanakoanzia. Huo uchumi wa wapi unaousema?
Dunia ya kisasa haikusubiri wewe mpaka uweze kujiendesha mwenyewe. Sababu za mheshimiwa Rais kuamua kuja na mfumo wa kisasa wa Landlord Port ni kuweza kuendana na ushindani wa bandari wa kidunia.Nani alikuambia sisi hatuwezi? Au kwa kuwa sisi ni wezi!, Kwa nini tusikodishe menejimenti wakati tunajenga uwezo wa kuendesha wenyewe? Kwa utaratibu huo unadhani lini tutakuwa na uwezo wa kuendesha wenyewe? Tusiwe wajinga hao tunaodhani wanaweza Kuna mahali walianzia hapo ndio tunapataka. Zamani tuliambiwa hatuwezi kujenga Barbara ya Rami Leo tunaweza baada ya mkapa kuthubitu,tuliambiwa hatuwezi kujenga BWAWA la Nyerere Magufuli akathubutu tunaelekea kuweza kwa mifano hiyo hakuna tusichoweza.