Hivi CCM kupandika mapicha picha kwenye majengo ya watu bila ridhaa, na hii imekaaje? Tena kipindi cha uchaguziKosa hilo kuharibu Mali Wakili mpumbavu huyo Penal Code S. 326 na S. 299 RE 2023
Shida ni kama atapata bahati ya kufikishwa mahakamani !Ni kosa kisheria. Madeleka ni busybody advocate and populist.
Hilo ndo kosa la CCM na hii serikali yao!Shida ni kama atapata bahati ya kufikishwa mahakamani !
Yes mkuu kuharibu mali iko S.326 ya Penal code anaweza kunyoa hata miaka 7 watu wanachukulia poa umeenda ume spray mali si ya kwako? Bila ruhusa yoyote? Ananyoa hiyo
Uharibifu wa Mali? Ama tress passing?Aliyeandika kwenye ukuta wa ccm akamatwa na polisi.
My worries: watamuua kama Chaula!
View attachment 3683739
Hii ni sahihi hata kwa akili ya kawaida. Inahitaji ridhaa ya mwenye mali.hivi huyo magereka ndio yule wakili mlevi anaeogopa polisi sanaaa, right?
environmental pollutions ni kosa baya zaidi ikithibitika kutendwa kwa makusudi na kwa dhamira ovu ikiwa ni pamoja na kuudhi au kuumiza wengine kwa mujibu wa sheria.
na ikiwa imefanyika bila ridhaa ya mwenye wall ni mbaya zaidi 🐒
NAWAZA KWA SAUTI.
1. Huyu jamaa aende s Offisi za CHADEMA aandike Free Tundu Lissu.
Je atatafutwa na kukamatwa na police?
2.Aende kwenye Offisi za CHADEMA aandike Free polepole
Je atakamatwa na police
3. Au aende offisi za CCM aandike Jemedari Dr Samia suluhu hassan miysno 5 tena Sijui atakamatwa?
Nawaza kwa sauti nchi yetu ilipofika
"Kama kuna neno Moja nataka kuwaambia Neno moja tu ningewaambia Pambaneni mpate katiba Mpya"
Emmanuel Nchimbi.
Yes,Hii ni sahihi hata kwa akili ya kawaida. Inahitaji ridhaa ya mwenye mali.
Lkn pia hili halijaja kwa bahati mbaya bali litatumika kama mfano siku zijazo, hasa nyakati za chaguzi. CCM ni vinara wa kubandika mabango yao sehemu yoyote wanayoona inawafaa tena bila ridhaa ya wenye mali.
Mf. Mwaka jana alikamatwa raia mmoja kwa tuhuma za kuchana kipeperushi/bango la Samia kilichobandikwa kwenye uzio wa nyumba yake.
relax gentleman with pointless comment 🐒Kwenda zako na wewe,usinipite mwokozi!
Hiyo ya kubandika banduka mabango ya CCM kwenye kuta za watu bila ridhaa yao ndiyo hoja.Yes,
kuchana zana za kazi za mwanachama wa chama cha siasa kisichokuhusu ni kosa kisheria. Hujuma hiyo ikithibitika pasina shaka yoyote ni lazima ulipe fidia ya gharama alizotumia uliomchania mabango au vipeperushi vyake.
ni makosa mabaya zaidi kuvamia na kuchafu mazingira ikiwa ni pamoja na kupaka rangi ukuta bila ridhaa ya wenyewe.
Usithubutu kufanya hiyo nonsense, itakugharimu kisheria plz 🐒
hiyo ni porojo tu gentleman,Hiyo ya kubandika banduka mabango ya CCM kwenye kuta za watu bila ridhaa yao ndiyo hoja.
Mpumbavu kivip?kasema qnasubiri watamshitqki kwa kosa lipi/gani iliaangaliie namna ya kumwakilishaKosa hilo kuharibu Mali Wakili mpumbavu huyo Penal Code S. 326 na S. 299 RE 2023
Nimeshafanya zaidi ya marae 1hiyo ni porojo tu gentleman,
but nakushauri usiwahi kujaribu kufanya hiyo nonsense 🐒
okay,Nimeshafanya zaidi ya marae 1
Hapo ingekuwa ameandika SAMIA MITANO TENA au ASANTE MAMA KWA UONGOZI WAKO ULIOTUKUKA wala asingesumbuliwa.Aliyeandika kwenye ukuta wa ccm akamatwa na polisi.
My worries: watamuua kama Chaula!
View attachment 3683739
Kwa reasoning yako, huna ushauri wa kukumbukwa.okay,
kumbe your days are numbered ee,
keep it up na utakumbuka ushauri wangu mujarabu kwako 🐒