The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Aliyeandika kwenye ukuta wa ccm akamatwa na polisi.
My worries: watamuua kama Chaula!
View attachment 3683739
Ok.Kwa reasoning yako, huna ushauri wa kukumbukwa.
Ni kosa kwa kifungu kipi na sheria ipi? usipotaja wewe ndio busybody na wajinga wenzio huko ccmNi kosa kisheria. Madeleka ni busybody advocate and populist.
machoko mtafuteni elimu vinginevyo mtaendelea kupigwa miti kwenye makorido ya lumumba mpaka muote sugu.Ok.
relax then na itapendeza zaidi gentleman 🐒
kifungu na sheria ipi tutajie usiandike ujinga kama slain chickenHuwezi kusema kuandika ukuta mali ya mtu mwingine sio kosa. Ingekuwa hivyo tuanze kuchora magari ya watu hovyo hovyo.
La muhimu atendewe haki yaani kufikishwa mahakamani
kuchafua ukuta ni kosa gani kwenye sharia ndio maana mawakili wenu wajinga wajinga wanagongwa mahakamani, jielimisheni vinginevyo endeleeni kupigwa miti mpaka mzeeke.Kosa lake ni kumchafua ukuta
pigweni miti kwenye makorido ya lumumba mpaka akili ziwarudi, mnajadili jambo ambalo lipo nje ya uwezo wenu.hivi huyo magereka ndio yule wakili mlevi anaeogopa polisi sanaaa, right?
environmental pollutions ni kosa baya zaidi ikithibitika kutendwa kwa makusudi na kwa dhamira ovu ikiwa ni pamoja na kuudhi au kuumiza wengine kwa mujibu wa sheria.
na ikiwa imefanyika bila ridhaa ya mwenye wall ni mbaya zaidi 🐒
Ameharibu nini? Mbona kama unakurupuka?Kosa hilo kuharibu Mali Wakili mpumbavu huyo Penal Code S. 326 na S. 299 RE 2023
Ungeonekana kichwa chako hakijajaa kamasi kama ungetuwekea hiyo sheria ilovunjwa.Ni kosa kisheria.
wewe ***** kifungu ulichotaja ni Criminal trespass ambacho hakina uhusiano na huo upumbavu wako unaoita kuharibu mali, hiyo mali imeharibiwa wapi, ccm imejaza mapumbavu jf hata kujenga hoja hayajui shenzi kabisa. Endeleeni kupigwa miti hadi akili iwakae sawa.Kosa hilo kuharibu Mali Wakili mpumbavu huyo Penal Code S. 326 na S. 299 RE 2023
Unapopauliza wapi ni hapo mahali alipochora sasa we mpumbavu ku spray rangi mali ya mtu bila ruhusa yake siyo kosa? Kwa style hii kubalini tuu mapenzi ya Jinsia moja kama viongozi wenu!wewe ***** kifungu ulichotaja ni Criminal trespass ambacho hakina uhusiano na huo upumbavu wako unaoita kuharibu mali, hiyo mali imeharibiwa wapi, ccm imejaza mapumbavu jf hata kujenga hoja hayajui shenzi kabisa. Endeleeni kupigwa miti hadi akili iwakae sawa.
Acha kuwa arrogant. Mimi sio mwanasheria mpaka nifahamu exact section. Sheria ni penal code kifungu sikijui. Usitumie makalio kufikiri.Ungeonekana kichwa chako hakijajaa kamasi kama ungetuwekea hiyo sheria ilovunjwa.
Mtu akija kuchora nyumbani kwako akili itakukaa sawa!Ameharibu nini? Mbona kama unakurupuka?
Wapi nimesema Mimi CCM. Ukweli utabaki kuwa ukweli, huwezi chora private property isiwe kosa kisheria.Ni kosa kwa kifungu kipi na sheria ipi? usipotaja wewe ndio busybody na wajinga wenzio huko ccm
Sijui kifungu Mimi sio mwanasheria, lakini sifikiri kama kuku aliyekatwa kichwa, I have common sense.kifungu na sheria ipi tutajie usiandike ujinga kama slain chicken
Wajinga wajinga ukiwaambia ni kosa wanatukana na kulazimisha utaje kifungu.Hilo ni kosa kisheria.
Nafikiri linaangukia kwenye vandalism.
So CCM wakiamua kwenda mahakamani kesi ipo.
Ila kwakua huwezi predict watachoamua ngoja tujionee.
Kwa hiyo mume wako Mwai yeye ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa au Serikali ya kijijiElimu ni muhimu sio mnalopoka tu, Mwaipopo alikuwa sahihi kisheria
Ibara ya 146(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Inazipa Mamlaka za Serikali za Mitaa (Serikali za Vijiji na Mitaa) wajibu wa kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi katika maeneo yao, jambo linalotoa baraka za kisheria kwa uundaji wa vikundi vya ulinzi vya kijamii (kama sungusungu au ulinzi shirikishi wa mtaa)
Kwa hiyo kama ni kosa kisheria hastahili hata kujitetea au kutetewa....!?Ni kosa kisheria. Madeleka ni busybody advocate and populist.