Kifungu hichi hapa. Watu wanaongea hisia hawazingatii uhalisia na ukweliSijui kifungu Mimi sio mwanasheria, lakini sifikiri kama kuku aliyekatwa kichwa, I have common sense.
Anastahili sana. Ndio maana nasema wamfikishe mahakamani lakini Kuna watu humu wanasema sio kosa jambo ambalo hata common sense inakataa.Kwa hiyo kama ni kosa kisheria hastahili hata kujitetea au kutetewa....!?
Kwa hiyo vikundi vya kigaidi vinaimarisha ulinzi...??Elimu ni muhimu sio mnalopoka tu, Mwaipopo alikuwa sahihi kisheria
Ibara ya 146(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Inazipa Mamlaka za Serikali za Mitaa (Serikali za Vijiji na Mitaa) wajibu wa kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi katika maeneo yao, jambo linalotoa baraka za kisheria kwa uundaji wa vikundi vya ulinzi vya kijamii (kama sungusungu au ulinzi shirikishi wa mtaa)
Unalifafanuaje neno "Makusudi" katika jicho la kisheria....!?Kifungu cha 326 (1) – Uharibifu wa Mali kwa Makusudi (Malicious Damage to Property)
Chini ya kifungu hiki: [1]
- Kosa: Mtu yeyote ambaye kwa makusudi na kinyume cha sheria anaharibu au kudhuru mali yoyote, anatenda kosa la jinai.
Changamoto za kisiasa ndiyo zinafanya hata namna ya kufikiria tudumazwe.Wa
Wajinga wajinga ukiwaambia ni kosa wanatukana na kulazimisha utaje kifungu.
Sheria inasema kuwa kwa makusudi.....sasa anatakiwa mlalamikaji aithibitishie mahakama kuwa mtuhumiwa alikusudia kufanya tukio hiloAnastahili sana. Ndio maana nasema wamfikishe mahakamani lakini Kuna watu humu wanasema sio kosa jambo ambalo hata common sense inakataa.
hiyo ndiyo busara hasa inayotakiwa. hsyo mambo mtaano huku yapogo sana na yanamalizwa ki utu uzima. Tatizo hili litakuzwaaaa na kuonekana kaonewa na mambo kama haya ya vyama. ila naamini lengo lake hasa limefikishwaHuyu SI wanatakiwa kumsimamia TU afute tangazo kwenye ukuta wa watu then wanaachana naye kiroho safi TU.
Mh!!...Mali ya mama yako mzazi??
Unatafsiri hovyo.Elimu ni muhimu sio mnalopoka tu, Mwaipopo alikuwa sahihi kisheria
Ibara ya 146(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Inazipa Mamlaka za Serikali za Mitaa (Serikali za Vijiji na Mitaa) wajibu wa kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi katika maeneo yao, jambo linalotoa baraka za kisheria kwa uundaji wa vikundi vya ulinzi vya kijamii (kama sungusungu au ulinzi shirikishi wa mtaa)
Madeleka bhanaNi kosa kisheria. Madeleka ni busybody advocate and populist.
Madeleka bhanaNi kosa kisheria. Madeleka ni busybody advocate and populist.
Upande wote wote unaweza kumshtaki tu mkuuNAWAZA KWA SAUTI.
1. Huyu jamaa aende s Offisi za CHADEMA aandike Free Tundu Lissu.
Je atatafutwa na kukamatwa na police?
2.Aende kwenye Offisi za CHADEMA aandike Free polepole
Je atakamatwa na police
3. Au aende offisi za CCM aandike Jemedari Dr Samia suluhu hassan miysno 5 tena Sijui atakamatwa?
Nawaza kwa sauti nchi yetu ilipofika
"Kama kuna neno Moja nataka kuwaambia Neno moja tu ningewaambia Pambaneni mpate katiba Mpya"
Emmanuel Nchimbi.
wewe ndio mpumbavu section 299 cap. 16 R.E. 2023 haizungumzii hicho unachowadanganya wapumbavu wenzio, by the way mapenzi ya jinsia moja waulize wafuasi wenu akina mafwele wanaotekeleza mipango yenu ya jinsia moja ya kufira watu hadi wale wageni wa kenya. nguruwe wa kizimkazi wewe.Unapopauliza wapi ni hapo mahali alipochora sasa we mpumbavu ku spray rangi mali ya mtu bila ruhusa yake siyo kosa? Kwa style hii kubalini tuu mapenzi ya Jinsia moja kama viongozi wenu!
Hakuna sheria inayotambua kosa linaitwa vandalism, hapo amevandalize nini unaelewa maana ya vadalism au ni fikra zako tu humu jf, nyie wajinga wa ccm mtazeekea jf hadi muwe vikongwe jielimisheni.Hilo ni kosa kisheria.
Nafikiri linaangukia kwenye vandalism.
So CCM wakiamua kwenda mahakamani kesi ipo.
Ila kwakua huwezi predict watachoamua ngoja tujionee.
hivi huyo magereka ndio yule wakili mlevi anaeogopa polisi sanaaa, right?
environmental pollutions ni kosa baya zaidi ikithibitika kutendwa kwa makusudi na kwa dhamira ovu ikiwa ni pamoja na kuudhi au kuumiza wengine kwa mujibu wa sheria.
na ikiwa imefanyika bila ridhaa ya mwenye wall ni mbaya zaidi 🐒
Nani kalalamika polisi?Huwezi kusema kuandika ukuta mali ya mtu mwingine sio kosa. Ingekuwa hivyo tuanze kuchora magari ya watu hovyo hovyo.
La muhimu atendewe haki yaani kufikishwa mahakamani
Mlalamikaji ni nani?Kosa lake ni kumchafua ukuta
Tuhuma za kuchafua mali ya taasisi.Aliyeandika kwenye ukuta wa ccm akamatwa na polisi.
My worries: watamuua kama Chaula!
View attachment 3683739
if you are using common sense and not law please use your common sense in connection to reality and with your common sense the inference you make should not be legal one because you do not have specific provision of the law to arrive to that effect.Sijui kifungu Mimi sio mwanasheria, lakini sifikiri kama kuku aliyekatwa kichwa, I have common sense.
CCM chama changuMlalamikaji ni nani?
Kuharibu mali/ miundombinukuchafua ukuta ni kosa gani kwenye sharia ndio maana mawakili wenu wajinga wajinga wanagongwa mahakamani, jielimisheni vinginevyo endeleeni kupigwa miti mpaka mzeeke.