Pre GE2025 Peter Msigwa hayuko huru, anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala. Ushahidi wa video huu hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona Jamaa kamwandikia hujamtaja mama Samia tutapunguza M100 Kwenye Usajili wako
 


Vi memo kwenye vikao au during press briefing mbona jambo la kawaida sana, haijalishi nani anaongea, hata Mh. Rais au Waziri Mkuu akiwa anaongea sehemu yoyote hata bungeni anapewa vi memo ili aongezee anachoongea..!! Hakuna tatizo lolote, Mchungaji Msigwa tumempokea CCM, hivyo kupewa ki memo na Makala ni sawa kabisa..!!

Mchungaji Msigwa hayuko Chadema tena, naona Chadema bado hamkubali hali halisi, mmeshapigwa goli moja takatifu sana na Mh. Rais wetu Mama Samia, tuseme ukweli, 2025 Chadema mkipata hata mbunge mmoja, itakuwa bahati sana na mgombea Urais kwa upande wa Chadema akipata hata 5% za kura zitakazopigwa basi atakuwa kajitahidi sana..!!

Nawasihi Chadema, Mchungaji Msigwa mtoeni katika akili zenu, naona bado mnaumia sana, tayari Msigwa ni CCM na anawarushia makombora kama CCM yeyote yule, hivyo acheni dhana labda bado yuko Chadema..!!
 
Hakuna kitu kigumu kuelekezwa jinsi ya kula matapishi yako!
Unbeliavable kama huyo ni Msigwa!
Nitamkumbuka aliposema kama sikosei "The insanity keep doing the same then you espect different results?"
Now this time is to join insanity to keep doing the same may be there can be different results!
 


Who told you to believe in human beings? You have been wrong from the beginning..!!
 
Mtajuana wenyewe h
Mtajuana wenyewe hakina Sisi tuliachana na chadema wakati Mbowe na genge lake walipoamua kubadilisha gia angani kwa kulamba matapishi yao wenyewe,tokea hapo niliacha kumwamini mwanasisa wa Tanganyika,Slaa aliwaambia kuwa waliamua kuchota mavi chooni na kupeleka sebreni hiyo nyumba haiwezi kukalika kamwe, Sasahivi chadema inamongonyoka taratibu,licha mwanzoni walikuwa wakimsingizia Magufuli kuwa ndiye aliyekuwa ananunua wapinzani.
 
Mas
Masikini wee,ningekuwa mimi ndo msigwa,ningerudi kuwa mtumishi wa Mungu
nibatize watu,nifungishe ndoa kama kuhubiri injili nitashindwa.
2Petro.2:22
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…